DJ D Ommy ajiunga na Crown FM kutoka Clouds FM

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,497
8,364
Kituo cha Redio kinachomilikiwa na Nyota wa Bongo Flava pamoja na Mtangazaji Salim Kikeke kimemchukua DJ D Ommy aka “The INTERNATIONAL DJ! JITU na sasa ni “Head of Music Department” hapa CROWN Media. @djdommy pale ni Nyumbani.

WIKI YA MATUKIO Imeanza na TUKIO la kwanza la Kimkakati Limepigwa 92.1 MIKOCHENI, Dar es Salaam 👑


Pia Soma: DJ D Ommy aondoka Clouds
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom