kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Agiza simu kutoka china kwa bei ya viwandani na kampuni ya AA Tanch Trading na upate offer ya kipindi hiki

    Haya ni maneno kutoka kwa moja ya wateja wetu: Wa kampuni ya AA Tanch Trading Company. Kwanza nianze kwa kusema mimi mwenyewe pia, nlikua moja ya watu wanaotafuta kampuni nzuri na ya kuaminika. Ya kuagiza vifaa mbali mbali kutoka china. Lakini baada ya kusikia kampuni hii ya AA Tanch Trading...
  2. F

    Pele kuruhusiwa kutoka hospitalini baada ya opereshen nakuonesha furaha kubwa

    hapa akiwa na binti yake. hapa akichekeasha yuko tayari kucheza dk 90 na extra time.
  3. Manyara: Maji yarejeshwa katika shule ya msingi Endiamtu baada ya kuripotiwa kukosekana kwa miaka mitano

    Maji yanapatikana hivi sasa shule ya msingi Endiamtu Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wanafunzi wanaishukuru Serikali Kwa kuwapatia maji ila vyombo vya habari Kwa kuripoti tukio hilo. WANAFUNZI wa msingi Endiamtu, Kata ya Endiamtu, Mji mdogo wa Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara...
  4. Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

    Hello wana bodi, natumai wote mko poa karibuni kwenye hii thread ambayo kwa namna 1 au nyingine inaweza kukupa idea ya kufanya biashara ya kuuza mtumba: A. SIFA ZA MTUMBA WA CHINA Belo za mtumba wa China uko vzuri na unatofautiana Kati ya supplier na supplier na wao wana chukua nguo Asia...
  5. Tanzania kupokea dozi milioni 2 za chanjo aina ya Sinopharm

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya...
  6. INAUZWA AC inauzwa kwa bei nafuu

    Outdoor Air Condition Gas Imejaa sana ni Mpya kama inavyoonekana wakuu. usafiri unapewa buku 5. Ipo Kijitonyama (Kijitonyama iko Dar es salaam kwa wenzangu na mm wa mikoani) Bei laki Tatu na Nusu tu Namba ya mwenye mali ninayo nakuunganisha fresh
  7. R

    Kudorora mapokezi ya Rais Samia kutoka Marekani Tatizo limeanzia hapa...

    Sote ni mashahidi tangu juzi kuna kakikundi ambako sidhani kama ni watanzania kweli au wachumia tumbo tu wanaolipwa kushibisha nafsi zao au la! Tangu juzi tumeshuhudua kukurukakara za hapa na pale za kutaka kuaminisha watanzania wachache kuwa Rais Samia Suluhu alitoa hotuba ya kihistoria. Ile...
  8. Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

    Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa 66% kutoka TZS 300K mpaka 100K || Tanzania kununua mashine 7,000 kwaajili ya dialysis === Dialysis ni kitendo cha kuondoa Sumu,Uchafu na ziada ya maji kwenye damu ya binadamu baada ya figo kufeli kufanya kazi hiyo au simply ni kitendo cha...
  9. M

    Kutoka Kambini Baharini: Kuna Mtu kakimbia baada ya Mganga kusema anatakiwa Yeye kwa Kafara ili Mfalme wa Nyika Afe Jumamosi

    Si ulisema kuwa huko ndiko ulikokuwa ukikupenda? Sasa mbona tokea jana unaogopa Kusogelea hiyo Kambi baada ya kuambiwa unaweza ukaondoka duniani Kikafara ili unaowapenda Washinde Jumamosi? Na Mightier nimetonywa kuwa Option ziko Mbili tu ama itafutwe Maiti ya hivi karibuni ikafukiwe Temeke...
  10. KUTOKA ZANZIBAR: Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi awaaga madaktari bingwa wa kichina waliomaliza muda wao

    Sehemu ya matukio katika picha ambapo mheshimiwa rais wa Zanzibar Dr. Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na madaktari bingwa kutoka nchini china walipokuja Ikulu Zanzibar kumuaga baada ya kufanya kazi ya kutoa huduma ya Afya katika kisiwa cha Unguja kupitia hospitali ya Mnazi mmoja na...
  11. M

    Chukueni hii kwani ni ya Moto Moto bado na nimeipata kutoka ndani (jikoni) Kwao kabisa

    Ukiwa na Marafiki ( Maswahiba ) wengi ndani ya Kambi ya Maadui zako wakubwa ni Raha sana. Haya Taarifa iwafikie kuwa huko Baharini Kambini Kumeshakucha na kuna Mtu hatakiwi tena. Baada ya kuona hatakiwi huku wengine Wakimsusa na hana kwa Kwenda sasa analazimisha Kukubalika na Oya Oya wengi...
  12. Wakulima wa chai huko India wanalia kwamba chai kutoka Kenya ina bei ndogo kwa hivyo inawafanya kukosa biashara

    Hehehe. Nyang'au sisi hatutambui chochote linapokuja swala la biashara. Tunafinya mpaka Wahindi wa huko India. Wakulima wao wanalia kwamba chai kutoka Kenya inauzwa bei ya chini na kuwaharibia biashara. Wanataka serikali yao iingilie kati. Hehehe waendelee kulia tu, sisi tutaendelea kuwafinya...
  13. J

    Fuatilia taarifa za COVID-19 kutoka katika vyanzo vinavyoaminika

    Kumekuwa na kasi ya usambaaji wa taarifa na propaganda nyingi kuhusu ugonjwa wa Corona, chanjo na virusi vipya vinapoibuka ulimwenguni. Propaganda hizo zimeibua nadharia nyingi na taharuki miongoni mwa jamii. Shirika la Afya ulimwenguni limefanya jitihada mbalimbali katika kudhibiti ueneaji wa...
  14. Kwenu wanawake mlio kwenye ndoa, inakuaje inakuwa rahisi kwenu kutoka kimapenzi na vijana mliowazidi umri?

    Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii inayomzunguka itamchukuliaje. Nimeona kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ana watoto watatu na kwa chini ya kapeti...
  15. Nilichokigundua Kutoka Simba Mpya - Simba 0 - 1 TP Mazembe

    Leo nilipata wasaa wa kushuhudia Tamasha la Vichekesho kutoka kwa watani zangu pale Taifa. Maana ilikuwa sio Tamasha bali ni vibweko tosha, hata ilikuwa bado kidogo nisahau kuwa ninapaswa kutazama Mwanajangwani aliyepoteza uelekeo kule Port Harcout - Nigeria. Kiufupi kichekesho kimojawapo...
  16. Cha Kujifunza Mwananchi Kutoka Port Harcoat - Rivers United 1 - 0 Young Africans SC

    1. Licha ya usajii mzuri hatukuwa tumeyachukulia serious michuano ya CAF. 2. Mafanikio ya Simba SC ya msimu uliopita yalifanya ionekane ni rahisi zaidi kuweka jitihada zisizo thabiti kufika mbali kwenye michuano ya CAF. 3. Pilika za usajili zilifanya tupoteze focus kwenye kuhakikisha ushiriki...
  17. FBI yataifisha fedha za watu kutoka banki ila waliothibitisha uhalali wake mahakama imeamuru warudishiwe haraka sana

    After the FBI seized Joseph Ruiz's life savings during a raid on a safe deposit box business in Beverly Hills, the unemployed chef went to court to retrieve his $57,000. A judge ordered the government to tell Ruiz why it was trying to confiscate the money. It came from drug trafficking, an FBI...
  18. U

    Taarifa ya Mkutano wa Injili Mubashara Kutoka Nyamongo Tarime Kanisa la Waadventista Wasabato Kewanja

    Unaweza fuatilia mahubiri haya kupitia Hope Channel au Mitandao ya Kujamii ya Facebook au Instagram Karibuni Wapendwa Wana JF Mpate neno la uzima Mungu kwanza mengine baadaye
  19. TAMISEMI na wizara ya elimu igeni hili kutoka wizara ya afya

    Katika jitihada za kupunguza tatizo la upungufu wa watumishi wa afya, serikali kupitia wizara ya afya imezindua mpango maalum wa kuajiri kwa muda wahitimu wa kozi mbali mbali za afya ambao watakuwa wanafanya kazi kwa kujitolea katika hospitali na vituo vya kutolea huduma Ni mpango mzuri kwani...
  20. Serikali ya awamu ya tano ilikusanya kodi Trilioni 1.3 kwa mwezi, leo awamu ya sita yakopa fedha hizohizo kutoka IMF kwa matumizi yaleyale

    Katika kile serikali inachoamini kufufua uchumi ulokwamishwa na janga la UVIKO-19, mapema mwezi ulopita wa August iliandika barua ya kuomba mkopo IMF. Katika barua hiyo ambayo iliandikwa na waziri wa fedha Mwigulu Nchemba na Gavana wa BOT Florens Luoga, serikali imeahidi matumizi mazuri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…