Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.
Nimekuwa mara kadhaa nikifutilia ukurasa wa Matangazo ya live (Youtube) ya Ikulu Mawasiliano. Tangu kipindi cha Msigwa na hata sasa kipindi cha Zuhura Yunus.
Leo nimeona tatizo linaendelea sasa naomba nikiri wazi kuna mambo yanakwenda ovyo sana kwenye urushaji wa matangazo Youtube live kipindi...
Jumatatu, Mei 16, DP alikuwa katika kaunti ya Kajiado ambapo yeye, pamoja na mgombea mwenza wake aliyeteuliwa hivi karibuni Rigathi Gachagua na viongozi wengine walikuwa wakijipigia debe.
Hata hivyo, walipokuwa wakiondoka Rongai, wenyeji waliachwa kwa mshangao baada ya mmoja wa wasaidizi wa...
Jarida maarufu duniani la 'The New Yorker' lililoasisiwa mwaka 1925 nchini Marekani limeongelea ziara ya Rais Samia Central Park, Marekani. Jarida limemtaja Rais Samia kama Rais wa kwanza mwanamke Tanzania ambae alifika nchini Marekani kuupamba Utalii, kuonana na Kamala Harris na kuhudhuria...
Wakuu mpo
Kuna shida uku wadau Sisi wengine kubana matumizi ni pambo la lazima sasa kuna shida huku Kuna ofisi mbili zinajitegemea na zipo mbali mbali ila tunashare internet ya ZUKU.
Main router ipo ofisi moja sisi tuka connect na ethernet cable tukaonga na router nyingine Kuenye ofisi...
Tayari lile jambo letu limekuwa 23.3%
Kama tujuavyo mshahara unavyopanda na Makato,
Kodi, bima, n.k nayo yanapanda.
Kwakuwa CWT inajiweza na Ina wanachama wengi (pengine kuliko Chama chochote Cha wafanyakazi) hapa nchini,
Basi nao wapunguze asilimia 1.5
Ibaki 0.5%
Ili kusudi nyongeza hii...
Hakuna matamko tena kutoka kwa makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Lissu
Hakuna kikao alichoshiriki tena kama ilivyokuwa awali kipindi cha uchaguzi n.k
Hakuna andiko lolote tena linaloihusu Chadema kutoka kwa M/kiti msaidizi, ni kiimyaaa!; kulikoni?
Chadema mko salama huko?
Inakuwaje wadau...
Kwa Tanzania kitendo cha kutoa mimba bila sababu za kitabibu ambazo hazikwepeki kufanya hivyo kwa faida ya mwanamke aliyebeba ujauzito ni kosa kisheria.
Pamoja na hivyo, bila kujali mimba imetoka yenyewe au imetoka bahati mbaya au imetolewa makusudi, hiyo haiondoi huduma ambayo mwanamke...
Tanzania inatarajiwa kuanza kununua sukari kutoka Uganda ikiwa ni ishara ya kuashiria kulegea kwa moja ya migogoro ya kibiashara iliyodumu kwa takriban miaka mitatu.
Rais Samia Suluhu, katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku mbili Nchini Uganda alikubaliana na mwenyeji wake Rais Yoweri...
Kampuni ya uzalishaji wa magari ya Toyota imesema itasitisha shughuli za uzalishaji katika viwanda vyake nchini Japan mwezi huu kutokana na marufuku ya kutoka nje kwa #Covid mjini Shanghai.
Hii ni kampuni kubwa ya pili ya magari kutangaza kuwa inaathiriwa na marufuku ya kutoka nje ya Covid-19...
Habari wakuu…
Mama anaupiga mwingi kuelekea golini kwake.
Sasa Wakuu mimi sijajiunga na huduma zozote tigo kuomba hizi sms. Cha ajabu kila baada ya dakika kadhaa natumiwa sms "PATAPATA"
Nimeajaribu kublacklist lakini sms hazina namba imeniwia vigumu.
Bunge litaendelea na vikao vyake leo na kubwa linalotarajiwa kutokea ni mrejesho wa hatua ambazo Serikali inatarajiwa kuchukua kukabiliana na kupanda kwa kasi bei za mafuta kunakotajwa kusababishwa na vita ya Urusi na Ukraine. Hali hiyo ilipelekea ongezeko la nauli kwenye daladala ambalo mara ya...
Wasiojulikana walifanya ukatili mkubwa sana juu ya binadamu; ghafla mtandao wao ukakosa wakuwaunga mkono na may be hata ahadi walizopewa zikayeyuka. Mwenyenzi Mungu aliumba mwanadamu lakini akumkabidhi mwanadamu Haki na mamlaka ya kuuwa wengine.
Mamlaka ya kisiasa iliyokosa baraka za Mungu...
Majibu yangu......
Endapo Simba SC itamfunga Ruvu Shooting FC Siku ya Jumapili tofauti ya Alama ( gap ) na Yanga SC itakuwa ni Alama ( Points ) Kumi ( 10 )
Endapo katika hizi Tano kati ya Saba Yanga SC ilizozibakisha atakazocheza na Prisons, Mbeya City, Coastal Union, Mtibwa Sugar na Biashara...
Kuna KITU Cha kujifunza Kwa Rais wa Ukraine. Mwanzoni mwa uvamizi wa Russia nchini Ukraine, niliona Jeshi kubwa ambalo Kwa mategemeo yangu niliona kabisa mwisho wa zelensky na Ukraine.
Hata pale alipo wahamasisha wananchi kutoogopa niliona kabisa kwamba jamaa anajidanganya. Wote tulishuhudia...
TAARIFA KWA UMMA.
Dar Es Saalam.
Chama cha Mapinduzi kinachukua nafasi hii kuwapongeza wafanyakazi kwa tamko lao la kuunga mkono kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan juu ya nyongeza ya mshahara alilolitoa katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani...
Mamlaka za Serikali Nchini Misri imewaachia huru waandishi wa habari watatu ikiwa ni mwendelezo wa Rais wa Nchi hiyo, Abdel Fattah el-Sisi kumalizana na wakosoaji wake.
Waandishi hao ni Ammer Abdel-Moneim, Hany Greisha na Essam Abdeen waliruhusiwa kutoka jela jana Mei Mosi, 2022 baada ya kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.