kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Imani yangu naamini kila mwezi kuna mtu kutoka Kundi la waloitwa WASIOJULIKANA anaaga Dunia

    Wasiojulikana walifanya ukatili mkubwa sana juu ya binadamu; ghafla mtandao wao ukakosa wakuwaunga mkono na may be hata ahadi walizopewa zikayeyuka. Mwenyenzi Mungu aliumba mwanadamu lakini akumkabidhi mwanadamu Haki na mamlaka ya kuuwa wengine. Mamlaka ya kisiasa iliyokosa baraka za Mungu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Japo Mimi ni Simba SC lia lia, ila kwanini nimesikitika Yanga SC juzi kutoka Sare ma Ruvu Shooting FC Kigoma?

    Majibu yangu...... Endapo Simba SC itamfunga Ruvu Shooting FC Siku ya Jumapili tofauti ya Alama ( gap ) na Yanga SC itakuwa ni Alama ( Points ) Kumi ( 10 ) Endapo katika hizi Tano kati ya Saba Yanga SC ilizozibakisha atakazocheza na Prisons, Mbeya City, Coastal Union, Mtibwa Sugar na Biashara...
  3. ward41

    JamiiForums Tanzania Kwanini inakuwa hivi?

    Inakuwaje kataifa kadogo kama Israel kanakuwa na uchumi mkubwa. Ina maana sisi hatufanyi kazi ISRAEL ECONOMY
  4. ward41

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza kitu kutoka kwa Zelensky

    Kuna KITU Cha kujifunza Kwa Rais wa Ukraine. Mwanzoni mwa uvamizi wa Russia nchini Ukraine, niliona Jeshi kubwa ambalo Kwa mategemeo yangu niliona kabisa mwisho wa zelensky na Ukraine. Hata pale alipo wahamasisha wananchi kutoogopa niliona kabisa kwamba jamaa anajidanganya. Wote tulishuhudia...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kutoka CCM

    TAARIFA KWA UMMA. Dar Es Saalam. Chama cha Mapinduzi kinachukua nafasi hii kuwapongeza wafanyakazi kwa tamko lao la kuunga mkono kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Samia Suluhu Hassan juu ya nyongeza ya mshahara alilolitoa katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Misri: Waandishi watatu waachiwa huru kutoka jela

    Mamlaka za Serikali Nchini Misri imewaachia huru waandishi wa habari watatu ikiwa ni mwendelezo wa Rais wa Nchi hiyo, Abdel Fattah el-Sisi kumalizana na wakosoaji wake. Waandishi hao ni Ammer Abdel-Moneim, Hany Greisha na Essam Abdeen waliruhusiwa kutoka jela jana Mei Mosi, 2022 baada ya kuwa...
  7. stanleyRuta

    JamiiForums Tanzania Tigo kuhama kutoka Derm complex kwenda pssf towers

    Hatimaye skyscraper hili refu nalo litapata mpangaji kidogo wa maana ,asee linatia huruma kwa sasa.
  8. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    JamiiForums Tanzania ZANTEL wamepunguza bundle la Wiki kutoka GB 2.2 kwa Tsh 3,000 hadi GB 1.9 kwa Tsh 3,000

    Daahhh sisi tunaotegemea kujifunza, kufanya marketing na sales kwa njia ya mtandao gharama zimepanda tena. Leo naamka nakuta kifurushi cha Wiki cha ZANTEL ambacho ilikuwa unapewa GB 2.2 kwa Tsh 3,000 (Hapo kilipunguzwa pia kutoka GB 2.5) kwa sasa unapewa GB 1.9 tu. Sasa na haya mambo ya YouTube...
  9. Mwegole

    JamiiForums Tanzania Msaada: Utaratibu wa kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi

    Samahani naomba ufafanuzi kuhusu kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi,hatua za kufuata Ni zipi
  10. Fedora

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha kutoka vidonda vidogo kwenye ulimu

    Habari, Mara kwa mara nimekuwa nikitokwa na kipele kimoja au viwili kwenye ulimi ambavyo vinadumu kwa siku 3-7 kisha kutoweka vyenyewe, vinanipa maumivu sana kiasi hata cha kusindwa kuongea vizuri au kula Sijawahi kutumia dawa yoyote na hutokea wakati wowote, msaada kwa anayejua tatizo hili.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwa nini naona Watanzania Bara tumenufaika sana na Muungano zaidi sana wa Wazanzibar - wametuokoa mara mbili kutoka shimo lenye giza nene!

    Mimi ni Mtanzania bara. Nimetafakari sana juu ya kile watu wa Tanzania bara wanaita kero za Muunganom au kupendelewa kwa Wazanzibar katika muungano. Utaona kwamba ni mambo madogodogo sana, vitu kama fedha za misaada sijui, Wazanzibar kuwekeza bara na kununua ardhi tofauti na watu wa bara...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hawa wachawi / walozi waliorejea nchini kutoka sauzi iwe mwiko kushirikishwa shughuli za misikitini na makanisani

  13. C

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja Bunju km 1 kutoka barabarani & nyumba kwa mnada

    Karibu MUDU COMPANY LTD tunauza Nyumba na viwanja maeneo mabalimbali dar kwa mnada.#contact 07676055856.mfano tuna huu Uwanja upo BUNJU B BEI 30M 1529 Square meter
  14. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Laweza neno jema kutoka Nazarethi

    ANDIKO LA MSINGI: Yohana 1:43-46. Biblia inasema hivi “43. Siku ya pili yake alitaka kuondoka kwenda Galilaya, naye akamwona Filipo. Yesu akamwambia, Nifuate. 44. Naye Filipo alikuwa mtu wa Bethsaida, mwenyeji wa mji wa Andrea na Petro. 45. Filipo akamwona Nathanaeli, akamwambia, Tumemwona yeye...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dunia inasubiri Taarifa moja tu ya kutisha kutoka Russian federation

    Wengi uwenda hawato amini na uwenda wengi watafikiri ni uchawi ila jambo zito kutoka ndani ya Russia Federation lita iyacha dunia midomo wazi na vita kusimama. Habari ambazo sio Rasmi upo uwezekani Kremlin ikapigwa na kitu kizito mpaka sasa ninavyo andika majasusi wa dunia wakiongozwa na Team...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amani DRC: Rais Uhuru aongoza viongozi wa EAC kutoa onyo kwa waasi

    Waasi waamrishwa waamue moja, kati ya makubaliano ya amani au watembezwe kichapo kutoka kwa jeshi la pamoja la EAC. ======== East African leaders on Thursday issued a warning to armed groups in the Democratic Republic of Congo, urging them to choose dialogue or be considered enemies of all...
  17. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ufisadi: Inasemekana kila mwanakikundi wa ngoma kutoka Bagamoyo walioenda Marekani matumizi kwa siku ni milioni 3!

    Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani. Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel. Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki...
  18. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Salamu za pasaka kutoka katika taasisi za Serikali zinasikitisha

    .
  19. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mechi ya kesho dhidi ya Simba Orlando pirates wamepata advantage kubwa ya match fitness kutoka kwa Mamelodi Sundowns.

    Save water drink beer. 🥃🥃 Pasaka njema mimi nimeshaanza kuzitwanga.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2020/21

    Charles Kichere (CAG) Hii ndiyo ripoti kamili ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kwa Mwaka wa Fedha 2020/21, imewekwa hadharani Jumanne Aprili 12, 2022. Baadhi ya mambo yaliyoguswa: Mashirika ya Umma kutopeleka michango Sh bilioni 129.33 Mashirika ya umma...
Back
Top Bottom