Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,820
- 4,572
Maji yanapatikana hivi sasa shule ya msingi Endiamtu Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wanafunzi wanaishukuru Serikali Kwa kuwapatia maji ila vyombo vya habari Kwa kuripoti tukio hilo.
WANAFUNZI wa msingi Endiamtu, Kata ya Endiamtu, Mji mdogo wa Mirerani, Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara, walikabiliwa na ukosefu wa maji baada ya bomba lililokuwepo kukatwa kwa zaidi ya miaka mitano iliyopita.
Mwalimu mkuu wa shule hiyo Evetha Kyara, alisema shule hiyo yenye wanafunzi 894 Walikuwa wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa maji baada ya maji ya bomba yaliyokuwepo awali kukatwa.
PIA SOMA> Manyara: Shule yakosa maji kwa zaidi ya miaka mitano