kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. technically

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu mpya kutoka Kanda ya Ziwa ili kuinusuru CCM

    Lazima Waziri Mkuu mpya atoke Kanda ya Ziwa Ili kuinusuru CCM lazima Waziri Mkuu anayefuata baada ya Majaliwa atoke Kanda ya Ziwa. Sijasema Majaliwa atafukuzwa hapana me nasema baada ya Majaliwa Waziri mkuu ajaye anatakiwa kutoka Kanda ya Ziwa nafikiri nimeeleweka!
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania 96.8% ya wakazi wa Dar wanapata maji safi yaliyoko ndani ya mita 500 kutoka walipo

    Sio mimi, hiyo ni ripoti ya NBS ya 2020/21 imeonesha wakazi wa Dar wanapata maji safi na salama ndani ya mita 500 tu. Usiniulize kuhusu mabowser au wauza maji wanaozurura na matorori, nazungumzia kilichooneshwa.
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Miti inakua kutoka wapi? Mbona hatuoni shimo pale ulipotoka?

    Habari wakuu sana. Eti wakuu. Miti inakua kutoka wapi? Mbona unakuta mti mkubwa sana. Una kilo hata milioni moja(ukiwa mkavu), lakini pale ulipotoka hatuoni kama kuna kilo milioni moja zimetoka. Mti unatoka wapi?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kero za meseji taka (spams) kampuni za simu muwe na utaratibu kupata ridhaa kutoka kwa mtumiwaji

    Kumekuwa na tabia ya kampuni nyingi za simu kuingia ubia na baadhi kampuni ambazo wamekuwa wanatuma meseji taka mbalimbali mara kubeti, bahati nasibu, n.k. kwenda kwenye namba za wateje bila ridhaa ya wateja wenyewe. Nasema ni kero kwakuwa, unaweza ukakuta kwenye simu yako msg kama 10...
  5. Pro Biznesi

    JamiiForums Tanzania Je, ukipokea pesa kutoka nje ya nchi kunamakato ya kodi? Ni lazima ukatwe kama mtu wa mshahara?

    Nahitaji kujua ni makato gani mtu anakatwa akiwa anapokea pesa illiyotumwa kutoka nje ya nchi? Na kama yapo, anaweza kufanya nini ili pesa isikatwe sana au isikatwe kabisa akiipokea..??
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ukraine lawafutia vibali baadhi ya wanahabari wa vyombo vya magharibi kuripoti kutokea Kherson

    Waandishi wa habari wa CNN NA SKynews wamevuliwa wadhifa kwa kuripoti kutokea mji wa Kherson unaotajwa kukombolewa na Ukraine. Ukiacha waandishi hao mashirika mengi mengine ya Ukraine na nchi za nje yamewakemea waandishi wao kwa kosa hilo hilo. Kisingizio kilichotolewa na mashirika hayo ni...
  7. Execute

    JamiiForums Tanzania Namba hazidanganyi, Mwinyi aliitoa Tanzania kutoka GDP ya dola bilioni 13.5 mwaka 1985 mpaka dola bilioni 5.7 mwaka 1995

    Hizo ndio takwimu zinavyoonesha. Nchi iliporomoka vibaya sana katika miaka hiyo kumi alipokuwa anaongoza rais mstaafu Mwinyi. Alishindwa kufanya makubaliano mazuri ya kiuzalendo na IMF na WB ili uchumi usiporomoke Mwaka 1985 Mwaka 1995
  8. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Binafsi press conference ya Zuhura Yunusu sijaiekewa, alielewa anifafanulie mambo haya matatu

    1. Mikataba 15 iliyosainiwa na serikali haikutajwa.kuna haja gani kuita press conference ukashindwa kuainisha mikataba. Kama kuna alieielewa anisaidie humu Mh Waziri wetu wa fedha ameulizwa zaidi ya parachichi na mabondo ni bidhaa gani zaidi zimeruhusiwa. Jibu akasema ni bidhaa za majini kama...
  9. Kollebundle

    JamiiForums Tanzania Arusha na Moshi ndio moyo wa Dar es Salaam, pasipo mapato kutoka hizi sehemu mbili Dar maendeleo yake yangekuwa taabani sana

    ✓Rejea kichwa Cha habari Apo juu Ni ukweli usio pingika imebainika wazi wazi tokea kitambo ( Uhuru) mpaka Hivi Sasa, Mapato mengi Sana yanayo tokana na sekta ya UTALIII yamekuwa yanatolewa upande wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka mkoa wa (KILIMANJARO), na (JIJI LA ARUSHA), Kwani sehemu...
  10. emmarki

    JamiiForums Tanzania Apple (tunda) za kutoka Afrika Kusini kwanini haziendelei kuiva au kuharibika

    Nimenunu tunda la apple la rangi ya nyekundu, ni siku ya tano sasa haliendelei kuiva wala kuharibika. Ni teknologia gani inatumika kufanya haya matunda kutoka kwa mzee madiba kuacha kuharibika licha ya kukaa muda mrefu
  11. Execute

    JamiiForums Tanzania Siku si nyingi namuoa binti mwenye asili ya Kiarabu kutoka Tanga, amekubali kubadilisha dini

    Huyu binti nilimkubali sana tangu nilipomuona mwaka jana na tumekuwa na mahusiano murua. Ni binti mpambanaji tofauti na wengi kutoka mkoa huo. Baba yake alikuwa msambaa asilia (alishafariki) lakini mama yake ni chotara wa kiarabu na hivyo binti amekuwa na hizo elements za kiarabu katika...
  12. ninosi

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kutoka timu za Tanzania ambazo zimefuzu group stages za CAFCC na CAFCL

    Mwaka jana vijana wangu wawili walikuwa wanafanya mitihani yao ya Taifa. Mkubwa alikuwa akifanya mitihani ya kidato cha 4 na huyu wa mwisho alikuwa akifanya mitihani ya darasa la 4. Matokeo yao yalipotoka mwaka huu yalikuwa hivi:- 1. Huyu wa darasa la 4 alifaulu kwa kupata A zote. Nyumbani...
  13. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Bora uchelewe kuoa au kuolewa ili ukutane na yule mtakaependana kutoka moyoni

    Ndoa nyingi siku hizi zimekuwa zikivunjika mapema sana yaani watu wanaowana baada ya miaka miwili tu ndoa inavunjika na muda mwingine unakuta harusi pamoja na maandalizi mengine yalikuwa ni ya gharama kubwa saana. Tatizo kubwa nililokuja kuliona asilimia kubwa ya waolewaji wengi wanaolewa na...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yaanza mchakato wa kuunda Satelaiti yake

    Serikali imesema inatambua umuhimu wa nchi kuwa na satelaiti na kwamba katika mwaka huu wa fedha imeanza kuandaa utaratibu wa awali utakaowezesha kuunda na kurusha satelaiti yake angani. Aidha, imesema ili kuwezesha kufikia azma hiyo tayari imeunda andiko dhana na kuunda timu ya watalaamu...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kwa hasira Waacha gesi ya kwenye mabomba wanunua ya mgando LNG kutoka huko huko

    Katika mwezi Oktoba pekee mauzo ya gesi ya Urusi yamepanda kwa asilimia 1.1 kutoka 4.3 ya kabla yake. Wateja wakubwa wa gesi ya Urusi ni mataifa ya Ulaya karibu yote. Katika kuiunga mkono Ukraine mataifa hayo isipokuwa Bulgaria yaliamua kutonunua gesi ya Urusi inayotiririka kwenye mtandao mpana...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Mfano Ndege iliyoanguka ingekuwa ni Ndege ya Adui kutoka Taifa jirani ingechukua Muda gani kukabiriana nayo?

    Wakuu nimejaribu kuwaza kiusalama zaidi. Mungu si athmani hii iliyoanguka na kuchukua muda mrefu kuokolewa kama ingekuwa ni ndege ya kivita kutoka kwa maadui wetu jirani. Kwa mfano lakini. Ingechukua muda gani kukabiriana na adui huyo? How fast is our rapid response teams for any aspect of...
  17. ndiuka

    JamiiForums Tanzania Wachunguzi wa Ufaransa, Canada na Italia wawasili kusaidia uchunguzi ajali ya Precision Air

    Taarifa ya Kamishna Mkuu wa Ufaransa Nabil Hajlaoui inasema timu kutoka Ofisi ya Uchunguzi na Uchambuzi wa Usalama wa Usafiri wa Anga ya Ufaransa itasaidia katika uchunguzi wa ajali hiyo. Tayari timu nyingine ya washauri wa kiufundi kutoka kampuni ya Franco-Italia, ATR, imewasili nchini...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye Tangazo la Pole kutoka kwa ATCL kwenda kwa Precision Air aniwekee hapa tafadhali

    Zawadi Nono itatolewa na Wadau.
  19. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Kibongobongo biashara ipi rahisi kutoka? Uzalishaji, Uchuuzi au Udalali?

    Howdy, Wakuu hivi tuseme ule ukweli, kibongobongo ni aina ya biashara ipi rahisi kutusua kati ya uzalishaji, uchuuzi(ulanguzi) au udalali? By kutusua simaanishi Levo za kina Mo na bakhresa. Namaanisha zile level za kujisustain middle income, nyumba kali ila sio mansion, ndinga kali ila siyo...
  20. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Epuka windows iliyochakachuliwa inayoweza kuwa na virusi au matatizo, piga windows original na kui activate kwa njia salama

    Kuna hizi windows za kudownload kutoka mitandaoni hususan kwenye torrents huwa zimekuwa cracked, pre activated na nyingine zipo modded Ndizo windows ambazo wengi hutumia hapa bongo sababu kuu ni kukwepa gharama ya window original, bei imechangamka inafikia takribani laki 3, hata baadhi ya ofisi...
Back
Top Bottom