Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.
Ni sheria zipi zinazosimamia saa kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano ya Kazi ya mwaka 2004, muda wa kazi Tanzania ni masaa nane na Kiwango cha juu cha muda wa kufanya kazi kwa siku kilichoelezwa na sheria
ni masaa tisa (9) kwa siku. Pamoja na kutamkwa na sheria kuna kazi na ajira...
Maeneo kadhaa huko Mbopo, Kinondo na sehemu fulani huko Mabwepande shirika la DDC linadaiwa kuvamia raia na kuyapora maeneo wakidai ni ya kwao. Nyumba zinavunjwa viwanja walivyonunua wananchi kwa taratibu kabisa na uwepo wa wajumbe wa maeneo husika lakini wanakuja kuwapora huu ni uvunjifu wa...
Wakati Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ukieleza sababu ya ujenzi wa barabara njia nane kutoka Kimara jijini Dar es Salaam hadi Kibaha mkoani Pwani kuchelewa, ujenzi huo unatarajiwa kukamilika Aprili 15 mwaka huu.
Ujenzi wa barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 19.2 unaofanywa na kampuni...
Salaam wakuu.
Naomba kusaidiwa na yeyote humu ambaye ni mzoefu wa kusafirisha percel kutoka Marekani kuja Tanzania, kwa kutumia makampuni kama DHL na mengineyo hasa napenda kufahamu gharama za kusafirisha simu, ziko mbili kutoka Ohio Cleaveland kuja Tanzania ina gharimu kiasi gani KWA uzoefu...
Nilipata safari nikaenda Uswisi kwenye miji ya Zurich na Bern ila niliporudi baada ya wiki mbili niliona Dar ni chafu kupitiliza.
Ilifika mahali nikaanza kumwambia yule dereva teksi aliyenibeba pale JK Nyerere airport kwamba natamani nirudi ulaya maana huku kunatisha.
Baada ya muda nilizoea...
Kuna hii tabia ya baadhi ya wanawake kutoka nje ya ndoa sababu tu ya kuwakomoa waume zao baada ya kugundua kwamba waume zao wanatoka nje ya ndoa.
Kiukweli sisi wanaume tunaumia sana kuliko hata nyinyi mnavyoumia pindi tukigundua kwamba mnatoka nje ya ndoa.
Kwanini tunaumia? Tunaumia kwasababu...
Wakati watu tunalia vitu kupanda bei bila kujali uchumi wa wenye nchi, Polisi wamepandisha Bei ya stika ya Saloon car hadi Tsh. 7,000 kutoka Tsh. 3,000.
Ukiwauliza hizi stika zinapunguzaje ajali, wanakuwa wakali.
Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundombinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1.
Makamba amesema iwe Mjini au Kijijini Gharama za kuunganisha Umeme wanazotumia Tanesco ni wastani wa tsh...
Waziri wa mambo ya nje wa Argentina Santiago Cafiero amesema tayari ameshamjulisha mwenzake wa Uiengereza James Cleverly nia ya nchi yake kujitoa kwenye mkataba wa mashirikiano uliosainiwa mwaka 2016.
Wakati wa utawala wa Margret Thatcher nchi hizo mbili ziliwahi kupigana mwaka 1982 kuhusiana...
Siku chache baada ya kuachia ngoma mpya ya “Red Ruby Da Sleeze”, Rapa huyo kutoka Marekani ameweka wazi ujio wa Label kupitia #QueenRadio inayoruka kupitia Amazon Amp.
Amesema Lable hiyo itakuwa chini ya #RepublicRecords na tayari amewasaini wasanii chipukizi ambao ni London Hill, Tate Kobang...
Mbunge wa Viti Maalum CCM - Kagera Mhe. Neema Kichiki Lugangira, Anaandika;
Namshukuru Mhe. David Kihenzile, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo kwa kunipa fursa ya kuwasilisha Mada kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika CAADPBR kwa Tanzania...
"Kwa Miezi hii Mitano tu nimefanikiwa Kupambana na Uchumi wa Kenya kwani Serikali iliyopita imetuachia Deni Kubwa la Urefu wa kutoka hapa Nairobi hadi Johannesburg" amesema Rais wa Kenya Ruto.
Chanzo Taarifa: Radio One Nipashe
GENTAMYCINE sijashangaa sana kwani kuna Rais wa nchi moja (...
Mada hii inahusu majadiliano kuhusu mahusiano na jinsi ya kujifunza kutoka kwa wengine. Tunaweza kuzungumzia mambo kama vile jinsi ya kuwasiliana na mpenzi wako, jinsi ya kutatua migogoro na jinsi ya kudumisha mapenzi yako. Kila mtu ana uzoefu tofauti katika mahusiano, na kwa kushirikisha uzoefu...
Supapawa anapata tabu sana, mpaka amefuata msaada kwa wakimbizi na magaidi wa kidini......
Most Palestinians sent to the front lines in Ukraine are from Ein Al-Khalwa, the biggest camp for Palestinian refugees in Lebanon
Russian organizations reportedly offered $350 to convince Palestinian...
Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda?
=======
Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari 2023, nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika itapiga kura kumchagua rais wao ajaye, Makamu wa Rais...
Serikali ya Tanzania imefikia makubaliano na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya kutoa mkopo wa dola milioni 151 ili kusaidia kuimarisha ukuaji wa Uchumi wake uliopata changamoto za majanga ya kimataifa ambayo yamepunguza ukuaji.
Ikumbwe tayari Tanzania imekopa kiasi kingine cha...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema awamu ya pili ya ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo haraka kutoka Gerezani hadi Mbagala Rangi tatu, utakamilika Aprili.
Mradi huo unahusisha ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilomita 20.3. Pia ujenzi wa vituo 27 vya mabasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.