kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simu kutoka mkoani: Tuliooa/olewa na wachaga ndoa zipo mashakani

    Kila mzazi au ndugu wa ndugu yake aliyeowa mchaga roho iko juu juu ya trend yanayotaokana na kuowa mchaga au kuolewa na mchaga Hofu imetanda kila mmoja akowaza hatma yake siku za usoni je nitaliki au nikomae maana jamii imejaWa sumu kali juu ya hao jamaa Kila mtu roho ipo juu wazazi wanapiga...
  2. JamiiForums Tanzania NIPO DUBAI 🇦🇪 — Unaweza Kuagiza iPhone, Samsung, Google Pixel na Electronics Nyingine GENUINE.

    🇦🇪 NIPO DUBAI! NAKULETEA SIMU NA ELECTRONICS DAR ES SALAAM KWA UAMINIFU SAMSUNG GALAXY USED Galaxy S10 128GB — TSh 180,000 Galaxy S10+ 128GB — TSh 200,000 Galaxy S20 128GB — TSh 230,000 Galaxy S20+ 128GB — TSh 270,000 Galaxy S20 Ultra 128GB — TSh 300,000 Galaxy S21 128GB — TSh 250,000...
  3. JamiiForums Tanzania Angelelli Automobile kutoka Rome, Italia, Wamezindua Kijigari Tipo 829. Wapenzi wa Manual Transmission ili sio la Kulikosa.

    Angelelli Automobile ni kampuni kutoka Italia, linalotengeneza sana hyper car and supercars. Na sasa Wamewaletea Tipo 829. Hivi vigari ni manual transmission, na vitakuja options tatu, zipo za 4-cylinders na V6, zikiwa na engine kuanzia 2.0 L hadi 3.2 L na zitatoa 420 HP hadi 500 HP, na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ufafanuzi wa mabadiliko ya gharama za masomo UDSM

    Habari zenu, ndugu zangu wanafunzi. Ninaomba nirejee suala hili kwa mara nyingine, nikitumaini kwamba sasa nitaeleweka vizuri. Naomba mnipatie nafasi nieleze kwa kina kuhusu mabadiliko ya gharama za chuo chetu. 1. Sababu za mabadiliko ya gharama za chuo Kwanza, mabadiliko haya hayajafanyika...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kichaga hasa hawa kutoka Machame ndiyo wanawake wife material

    Kiukweli hawa wanawake wa kichaga hasa hawa wanawake wa kutoka Machame ndiyo wife material kiukweli yaani mimi baada ya kumpiga chini yule Mnyantuzu nikaenda kwa hawa wanawake wa kichaga kutoka Machame kiukweli nimepata amani ya moyo na maisha yangu yanaenda sawa nimejenga nyumba 2 Machame...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ilianzia Kama Utani: Raia wa Nigeria Afariki Angani Akirejea Nyumbani Ndani ya Ndege ya Kenya Airways"

    Tukio la kusikitisha limetokea angani ndani ya ndege ya shirika la Kenya Airways (KQ) iliyokuwa ikisafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA), Nairobi kuelekea Lagos, Nigeria, baada ya abiria mmoja wa kiume kupoteza maisha kabla ya ndege hiyo kutua. Jinsi Tukio...
  7. JamiiForums Tanzania TRC mliwaza nini kuondoa route ya saa 3 asubuhi ya SGR kutoka Morogoro kwenda Dar ? Mjibuni Afande Sele!

    .
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kubadili kozi katika Chuo Kikuu cha Dodoma

    Namna ya kubadili kozi kutoka sanaa ya kiswahili kwenda bachelor of arts with education
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA Simiyu haifanyi kazi, abiria wanatozwa nauli ambazo haziendani na umbali wa safari

    Mamlaka ya Usafirishaji Simiyu haifanyi kazi kwa usahihi, kwani abiria wamekuwa wakitozwa nauli ambazo haziendani na umbali wanaosafiri. Mfano, umbali kutoka Bariadi mpaka Dutwa ni km 38, ambapo nauli inayotozwa ni Sh3,000, huku umbali kutoka Mwakibuga wa km 6 ukitozwa Sh2,000. Umbali kutoka...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Nutrition and Catering with Education ya Sokoine inahusu nini?

    Habari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini?
  11. JamiiForums Tanzania Acheni kuwabagaza wanawake kutoka hilo kabila tukufu

    Kumekua na mijadala na hoja kadha wa kadha za kuwasagia kunguni wanawake wa kimatumbi toka kabila moja tukufu hapa nchini kwamba hawafai kufanywa wake wa ndoa. Wapo wanaodai kwamba wanawake hao ni vibaka wakuzaliwa na kwamba wanapita na chochote ulichonacho. Hata kama mwanaume unamiliki buku...
  12. JamiiForums Tanzania Plasduce Mbossa: Bandari ya Dar es Salaam imepanda Kimataifa kutoka nafasi ya 360 hadi 255 katika ufanisi wa kuhudumia makasha

    MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia katika hatua ya ziada ya kuboresha ufanisi wa huduma na kupanua miundombinu ya bandari zake, huku ikilenga kukabiliana na ongezeko kubwa la meli na mizigo pamoja na kuimarisha ushindani wa bandari nchini katika soko la kimataifa...
  13. JamiiForums Tanzania As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Nimeona ni muhimu sana kuwajulisha na kuwaandaa kisaikolojia, ili wakati muafaka ukifika msione kama ni surprise. Chama hakina pesa kwa sasa na sio siri tena, chama kinapitia ukata mkali wa pesa za matumizi ya kawaida ya kuendesha chama kwa kiwango kibaya sana, na mchango wako wa hali na mali...
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni zenye mabasi ya Scania kutoka kiwanda cha kuunda mabodi Gemilang

    Nchini Tanzania, neno "Gamelang" (au linalojulikana rasmi kama Gemilang) linarejelea mabasi yenye muundo wa bodi (body) kutoka kampuni ya Gemilang Coachworks ya Malaysia, ambayo mara nyingi huwekwa kwenye chasis za Scania. Kampuni maarufu za usafiri nchini zilizowahi au zinazoendelea kutumia...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tabata Barakuda maji yanasumbua, inaweza kupita wiki 2 hadi 3 bila kutoka

    Kero yetu kwa upande wa Tabata, maji hayaotoki jamani tunakaa mpaka wiki mbili hadi tatu. Mitaa ya Barakuda mpaka Shule mbona maji ya shida? Siku yakirudi yanarudi usiku Saa 10 mpaka Saa 11 alfajiri.
  16. JamiiForums Tanzania TRC: Tumepokea maoni ya Afande Sele kuhusu ratiba ya Treni ya SGR kutoka Morogoro

    Baada ya Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Selemani Msindi "Afande Sele" kutoa maoni yake kuhusu ratiba ya treni ya SGR kutokea Mkoano Morogoro kuelekea Dar es Salaam. ufafanuzi umetolewa na Shirika la Reli Tanzania (SGR). Alichokisema Afande Sele kipo hapa ~ Afande Sele: TRC mliwaza nini kuondoa...
  17. JamiiForums Tanzania Ikikulazimu kununua gari ya Umeme (EV) used kutoka Japan, hizi hapa za kuzitupia jicho.

    Wakuu. Ikitokea, haujaridhishwa na mwenendo wa Bei ya mafuta, na unataka gari ambalo 99% misele Yako ni mjini bila kwenda nje ya mkoa wako, na unakaa Nyumba ambayo unaweza kupark gari na kuchaji, basi moja kati ya EV hizi zitakufaa; 1. Nissan Leaf (2018 - 2024) Ni vizuri kuanza na gari...
  18. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini: nchi ilyoinuka kutoka kwenye majivu na kuishangaza Dunia

    Mwaka 1953, Pyongyang ilikuwa mrundikano wa majivu na kifusi. Marekani ilikuwa imedondosha tani elfu kadhaa za mabomu hivi kwamba hakukubaki hata jengo moja refu lililokuwa salama. Leo, taifa hilo lililowekewa vikwazo vikali zaidi duniani si tu kwamba linatengeneza makombora ya nyuklia, bali...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuongezeka kwa gharama za maisha chuo cha UDSM (Direct cost)

    Chuo kimepitisha waraka mpya unaoainisha kuongezeka kwa gharama za kuishi hostel, kulipia mitihani na mambo mengine hadi kufikia zaidi ya laki tano na hii ni njee ya ADA hivyo inatuthiri sisi wanafunzi tuliokuwa tunategemea BOOM ili kulipa ADA ambapo hatukupata asilimia mia moja lakini na muda...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu tulioajiriwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC) mwaka wa pili sasa hatuna fedha za kujikimu

    Walimu walioajiriwa hivi karibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC), huu ni mwaka wa pili sasa hatujapewa fedha za kujikimu, licha ya kuona watumishi wa idara nyingine wakilipwa. Tunaomba mamlaka husika itusaidie kufuatilia suala hili na kuhakikisha na sisi walimu tunapatiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…