TANESCO wakiri kutoa huduma mbovu, ambao wameutaja kama udhaifu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
1,147
2,000
TANESCO wamekiri kutokuwa na uwezo wa uhifadhi ambao umeshauriwa kimataifa ambao ni 15%. Katika mpango mkakati wa 2020 - 2025 wamekiri kuwa utoaji wa huduma mbovu kuwa kati ya udhaifu walionao

Kwa maneno ya moja kwa moja ni kuwa wamekuwa na panda shuka ya kutoa huduma ya umeme inayosababishwa na ubora usiridhisha wa huduma zao. Mbali na hayo kumekuwa na upotevu wa umeme katika usafirishaji wa umeme ambao ni mkubwa kuliko kiwango kinachopendekezwa cha 9%

Mwaka 2019 TANESCO walipoteza umeme 16.2%

Matatizo mnayoyaona na wao wanayajua
 
thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
7,585

Source ya taarifa,isje kuwa ni taarifa toka kwa wanabodi wapya au mkurugenzi mkuu mpya.
Sijawahi ona mtu anaoponda sehemu anayoitumikia ,
Changamoto hazikosagi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom