kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Benki zilizoongoza kwa kutoa mikopo ya Nyumba na Makazi Tanzania 2022

    1. CRDB- Bilioni 193 2. Stanbic- Bilioni 41 3. Azania - Bilioni 36 4. NMB - Bilioni 34 5. NCBA - Bilioni 23 6. TCB - Bilioni 21 7. Exim- Bilioni 20.6 8. 1st Housing*-Bilioni 16.2 9. KCB- 15B 10. DCB- 13.8B THE CHANZO/ BoT
  2. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Afariki dunia akijaribu kutoa ujauzito

    Imenibidi nisubiri tuzike kwanza ili machungu yaishe, Kisha nilete Uzi hapa. Ni ndugu yangu, ki ukoo yeye ni dada yangu, lakini upande wa mama huko. Mimi niliambiwa tu huyu ni dada yako na sikutaka kujua zaidi maana ishu za ukoo zinanichanganya sana. Tumeonana December mwishoni tulipoenda...
  3. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mbona mama huwa anachelewa Sana kutoa salami za rambirambi?

    Rais kwa kuwa ni rais namba moja, inabidi awe wa kwanza kutuma hizi rambirambi, sio kwa ubaya.
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania EU: Mwaka 2025 Simu zote zitarejeshwa kwenye mfumo wa Betri za kutoa (𝗥𝗲𝗽𝗹𝗮𝗰𝗲𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗕𝗮𝘁𝘁𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀)

    Baada ya USB-C kulazimika kuwa ndio port ambayo itakuwa katika simu zote duniani na kampuni kama Apple kukubali kuanza kutengeneza iPhone ambazo zitakuwa na port na cable ya USB-C; kinachofuata ni replaceable batteries. 𝗥𝗲𝗽𝗹𝗮𝗰𝗲𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗕𝗮𝘁𝘁𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀 𝗻𝗶 𝗻𝗶𝗻𝗶? Kwa wale ambao wameanza kutumia simu tangu...
  5. Acehood

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kutoa ya moyoni

    Malizia hasira zako kwenye huu uzi. Ropoka yote yanayokusumbua, iwe mwenye nyumba, timu, mchezaji, mwana jf, mwanasiasa n.k
  6. M

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Gari kutoa moshi mweupe (mawingu) baada ya kuwashwa

    Wakuu habari za majukumu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Nina Gari spacio new model nilipata Ajali nikapinduka nayo matairi juu baada ya kuparamia gema, haikuchukua dk kumi nikasaidiwa Gari tukainyanyua. Engine haina mbinyo wowote isipokuwa rejeta imesogea kidogo na iliingiwa na udongo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania RC Amos Makalla hawezi hata kutoa hotuba!

    Tangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile Mtangulizi wake alianzisha kampeni ya kupanda miti ya mapambo kwenye barabara zote na sehemu za njia panda (roundabouts) zilipambika kweli kweli. Lkn Amos Makalla amefika miti yote imekauka. Amos Makalla aliazisha...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mashahidi 14 kutoa ushahidi kesi ya dawa za kulevya za Sh559 milioni

    Aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na dawa za kulevya (ADU), Godrey Nzowa anatarajia kutoa ushahidi katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Cocaine zenye thamani ya Sh559 milioni inayomkabili raia wa Liberia, Ndjane Abubakar. Abubakar anadaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mtanzania atakupa umbea unaotoa ushahidi lakini hatakubali kukusaidia kutoa ushahidi huo mahakamani

    Watanzania ni watu waajabu sana atakupa taarifa in detail ya jambo lolote la kiuhalifu lililotokea lakini ukimuambia sasa naomba taarifa hizi ukanisaidie kuwa shahidi mahakamani hatakubali kwà uoga hii inaumiza sana.
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimesitisha kutoa mahari

    Tarehe 20 ya mwezi huu niliahidi kwenda kutoa mahari ukweni kiasi cha shilingi milioni mbili na laki tano. Niliazimia kufanya hivyo baada ya kukaa na mchumba wangu kwa zaidi ya miaka miwili sasa katika mahusiano. Baada ya kutoka safarini wiki iliyopita, nilishikwa na simanzi sana. Nilimuona...
  11. kingzard

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la ng'ombe kupepesuka na kutoa udenda anapolala

    Habari wakuu, Mimi ni mfugaji wa naombe nilipata changamoto wa ngombe wangu kufa kwa tatizo la kutokula na kutoa udenda pia anapepesuka akitembea. Baada ya kufa alipasuliwa tumbo na kukutwa na maji tumboni na nyongo yake ni kubwa sana na nyeusi sana pia. Baada ya siku tatu tatizo likaanza kwa...
  12. vibertz

    JamiiForums Tanzania Tabia hii kwenye vituo vya kutoa huduma za afya haipo sawa

    Habarini, Kuna tabia imejengeka kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya (hospitali, zahanati, vituo vya afya) ambapo mteja baada ya kumaliza kuhudumiwa, analazimika kuacha karatasi ambayo ina taarifa za msingi kuhusu mgonjwa husika. Karatasi hiyo inakuwa na taarifa za aina ya vipimo na majibu...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa kutoa sadaka; Mchungaji yupo sahihi?

    Mimi sijazama sana kwenye biblia na neno la Mungu. Nina jirani yangu hapa mdogo wake anaumwa masuala ya uzazi na vidonda vya tumbo. Ana hali ngumu sana kiafya na safari za Bugando haziishi. Pamoja na madaktari Dada jirani amekuwa na option ya kwenda mchungaji kuombewa na kukabidhi swala lake...
  14. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sheria inaruhusu mme halali kutoa dozi kwa mwizi wa mke wake akiwafumania live ?

    Nimekuwa nikiona wezi wa wake wakishushiwa vipigo mitandaoni nami nimewahi kushuhudia tukio kwa macho yangu jamaa kakamatwa na mke wa mtu akaanza kupigwa na mme halali. Je kwa sheria za hapa kwetu mambo haya yanafanywa kwa mazoea bila kutii sheria ama sheria inaruhusu ?
  15. Gaddaf i06

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kutoa wazo kama hili kwenye mkutano wa kijiji, watu wakaishi kucheka. Sasa natoa mfano!

    Habari za wakati huu expert mwenzangu[emoji4] siku moja nitauliza ni kwanini tunaitwa "experts" isije kuwa ni maexperts wa kuandika nyuzi[emoji23][emoji119] ..mnaokaa karibu na bahari, maziwa na mito, jamani mungu awape macho, hiyo ni fursa. ninaishi sehemu ambayo upatikanaji wa maji ni...
  16. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kutoa Zaka asilimia 10% ya vipato vyenu mmewezaje? Binafsi naishia kusaidia 2% hadi 4%

    Kwangu mimi kwa lgha nyepesi Zaka ni kutoa 10% ya ulichopata kwa jasho lako kihalali kiende kubeba wenye shida, binafsi naiona ni kama kodi fair kabisa ya kuweza kuishi na kupata rizki kwenye dunia hii ambayo ina mwenye nae alieiumba. Nadhani huwa inahesabiwa zaidi unapomsaidia mtu mwenye shida...
  17. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa wagombea wa uongozi UVCCM akimwaga machozi

    Kwa kilio kile lazima alizidiwa kutoa rushwa na wenzake kwa wajumbe. Ila chama hicho jamani, da! Ajabu yanarekodiana bila hata haya ! Siku si nyingi hawa watakuja kuuana kwa mambo ya kufilisiana halafu wanabaki kuliliana kijinga namna hiyo.
  18. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

    Je, Yanga itaendeleza ubabe wake wa kutokufungwa? Ama Ihefu watavunja mwiko? Tuungane pamoja katika huu uzi... Kikosi cha wenyeji, Ihefu SC Kikosi cha wageni, Yanga. UPDATE: MANENO YA MAKOCHA KABLA YA MECHI "Mechi ya leo inaweza kuwa ni mechi ngumu kuliko watu wanavyofikiria" Cedrick...
  19. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Makosa kadhaa katika kutoa Pepo (Exorcism). Mapepo/Majini hayaombewi yanafukuzwa

    Kumekuwa na sintofahamu katika namna ya kushughulikia Hawa vibaraka wa ibirisi. Mapepo Kwa aina zake. Makosa ambayo nayaona. 1: Watu wanaomba na mapepo, Tena wanapiga na Magoti na kufumba macho. Hakuna hiyo scene kwenye maandiko. Hatuombei mapepo tunayafukuza. Yakikomaa na sisi tunakomaa Hadi...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Malawi yaanza kutoa chanjo ya kwanza ya Malaria

    Malawi imeanza kampeni kubwa ya chanjo ya watoto wachanga dhidi ya Malaria ambayo ni kampeni ya kwanza kabisa duniani, mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Dk Neema Kimambo amesema. Chanjo ya RTS,S, kama inavyojulikana, imekuwa katika majaribio nchini Malawi, Ghana na Kenya katika...
Back
Top Bottom