kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Rais Ruto: Serikali haitaendelea kutoa ruzuku ya unga, itawasaidia wakulima

    Rais Ruto wa Kenya amesema hatoendelea kutoa ruzuku ya unga na badala yake atasaidia wakulima wadogo na wakubwa kufanya uzalishaji ambao utapunguza bei ya bidhaa hizo. Bei ya unga nchini Kenya ilipanda sana kutokana na vita vya Ukraine na Urusi ambapo serikali chini ya Rais Uhuru Kenyata...
  2. MK254

    Waalimu waombwa kutumia mishahara yao kutoa misaada kwa wanajeshi wa Urusi walio Ukraine

    Wameambiwa wale ni ndugu na watoto wao wanaoteseka kule Ukraine kwenye vita... Russian teachers have been asked to give up part of their salaries and donate it to Russian soldiers invading Ukraine. A teacher at one of the schools told Important Stories they were given flyers to apply to...
  3. kyagata

    Hivi PSRS mnasubiri nini kutoa shortlists ya hizi taasisi TRA, NAOT, HESLB na MDs & Local government?

    Kwema wakuu, Yapata miezi 4 sasa tangu watu tutume applications za taasisi tajwa hapo juu lakini wahusika ni wako kimya tu hawaiti watu kwenye usaili. Hivi karibuni zimeibuka tuhuma mbalimbali kutoka kwa wadau kuwa kuna watu kutoka hizo taasisi tajwa hapo juu wameajiriwa kimya kimya bila hata...
  4. D

    SoC02 Ni muhimu sana kupenda(like), kutoa maoni(comment), kufuata(follow/subscribe) na kusambaza(share) chapisho linalokugusa kwenye mitandao ya kijamii

    Afya ya akili na mitandao ya kijamii haiwezi kutengenishwa kwa karne ya 21, na ni jambo muhimu ambalo linapaswa kupewa uzito unaostahiki na watu na wataalamu wa afya ya akili. Katika nchi zilizoendelea inaonesha vijana wengi wanaathitrika sana na idadi ya watu wanaowafuatilia katika mitandao...
  5. M

    Serikali iache kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane

    Siku hizi imegeuka tabia. Mimi nasema ni tabia isiyo na afya ya serikali kutoa taarifa kwa umma usiku wa manane. Hili ni jambo la kushangaza sana, najiuliza ni kitu gani kimeisibu serikali Kubehave kama genge la wachawi!. Sisi tunajua kuwa mida hiyo wananchi wengi wanakuwa wamelala na hata...
  6. Narumu newz

    Russia yagoma kutoa maelezo juu ya counteroffensive inayofanywa na ukraine

    Russian wenyewe hawajasema chochote ila pro Russia wa mitandaon wameshatoa majibu yao Kremlin refuses to comment on counteroffensive of Armed Forces of Ukraine Ukrainska Pravda Fri, September 9, 2022 at 1:33 PM·1 min read IRYNA BALACHUK – FRIDAY, 9 SEPTEMBER 2022, 13:33 Dmitry Peskov, the...
  7. FatherOfAllSnipers

    Msaada wa Dawa ya kutoa mimba ya miezi mitatu

    Wakuu, sheria inasema anayetoa au kutolewa mimba wote hao wanaweza kukabiliwa na kifungo cha mpaka miaka 7+ jela. Mimi kwenye harakati za kupitapita nilipita sehemu isiyopitika, nikakutana na kitoto cha watu nikajilia vyangu. Kitoto kilianza kuumwa umwa tukajua jambo la kawaida, sasa leo...
  8. S

    SoC02 Kiapo cha Daktari na ukakasi wa kutoa huduma; Je, ni wakati sahihi wa sisi kama taifa kuja na kiapo chetu kulingana na tamaduni zetu?

    Usiri wa taarifa za mgonjwa atoapo akiwa maeneo ya kutolea huduma za afya Leo napanda jukwaani na andiko langu kuhusu kero inayotupata wagonjwa hasa tunapotoa maelezo kuhusu maradhi yanayotusumbua pindi tuendapo hospitalini Kikawaida taarifa atoazo mgonjwa inabidi ziwe za siri baina yake na...
  9. Jerlamarel

    Kauli ya Kinana iliwaondoa polisi barabarani, kauli ya nani itakuja kuondoa Tozo?

    Ingawaje wanasiasa wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi, kwenye maisha ya wananchi wao, lakini siyo wote wanaowadanganya kwa hizo siasa zao. Others can see directly their deceptions and read their minds. Iko wazi makusanyo ya mapato ya adhabu ya makosa ya barabarani kulikuwa kuna watu flani...
  10. Lady Whistledown

    Utafiti: Chanjo mpya ya Malaria kutoa ulinzi wa 80% kwa hadi miaka 2

    Majaribio yaliyofanyika kwa zaidi ya watoto 400 wa Afrika Magharibi ya chanjo hiyo yanaonyesha kuwa inatoa ulinzi wa hadi 80% kwa hadi miaka 2, dhidi ya #Malaria inayogharimu maisha ya takriban watoto 500,000 wa Kusini Mwa Jangwa la Sahara kila mwaka Chanjo hiyo imetengenezwa na Wanasayansi...
  11. maroon7

    Siachi kutoa tip tangu nipitie kipindi kigumu

    Si kwamba sikuwa na utaratibu wa kutowa tip, ila nilikuwa sijali na nilikuwa sioni kama inasaidia. Baada ya mimi kuyumba miaka fulani na kulazimika kujiajiri kwenye biashara fulani ambayo ndio ilinisitiri japo kuna siku unatoka kapa. Ila kitu nilichojifunza kwa mtu kukupa buku au jero tu kama...
  12. Sildenafil Citrate

    Mwigulu Nchemba: Kauli ya kumshukuru Rais kwa kutoa pesa isitugawe Watanzania

    Akijibu swali la mwandishi wa habari aliyetaka kufahamu kwanini viongozi wanapenda sana kumshukuru Rais kwa kutoa fedha huku watu wanaochanga ni wananchi, Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba amesema sifa hizi hutolewa kwa kuwa Rais ndiye kiongozi mkuu wa nchi. Amesema kuwa hii haiondoi ukweli kuwa...
  13. TATACHACHA

    NIDA; urasimu wa upatikanaji wa NIN number online, umegeuka fursa(dili) kwenye ofisi za wilaya. Kupata NIN yako bila kutoa chochote, sahau!

    Mamlaka ya vitambulisho vya taifa tanzania ( NIDA) sidhani kama walikuwa na lengo la kukamilisha mradi huu kwa wakati, Nahisi kuna watu ndani ama nje ya idara hii kwa makusudi na kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wanaosababisha kadhia hii iendelee kwa makusudi kabisa. Urasimu huu unakuja...
  14. Nyaka-One

    Smart kitochi cha kampuni gani ni rahisi kutoa lock na kuweka laini nyingine ya kampuni tofauti?

    Wadau naomba kufahamishwa kuhusu smart kitochi ya kampuni gani ambayo nikiinunua itakuwa rahisi kutoa lock na kuweza kuweka laini ya mtandao mwingine wowote tofauti.
  15. Komeo Lachuma

    Suala la China vs Taiwan, vita ya Urusi na Ukraine. Kusema ukweli kuna mataifa yametu-disappoint sana. A luta continua

    Kiukweli niliwaamini sana Urusi, sasa sina imani nao. Hii vita kwa nguvu ambazo wanazo Russia ilikuwa waimalize ndani ya week moja zikizidi mbili. Sasa sielewi kwa nini wanapiga dana dana nyingi sana?! Russia ni Taifa ambalo tumekuwa tukitegemea liitishe Marekani. Sasa Ukraine ka nchi ambako...
  16. Pascal Mayalla

    Shuhudia Sensa Live Kupitia TBC, Nimeshuhudia Live Rais Samia Akihesabiwa. Let's Share Experiences za Sensa na Zoezi la Kuhesabiwa Toka Maeneo Tofauti

    Wanabodi Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino Dodoma!. Saa hizi ameisha maliza kuhesabiwa. Wana JF, let's share different experiences za sensa na...
  17. Samia atosha tukutane2030

    Fahamu kwanini ukiwa na tatizo ndugu yako Polisi hawezi kukusaidia bila wewe kutoa pesa

    Hello! Ikiwa uko selo ya polisi Tanzania, au ndugu yako yuko lupango ukimfuata rafiki yako au ndugu yako polisi akusaidie kumtoa jamaa yako lazima atakuzungusha na mwisho wa siku atakurudisha kwa mwenye jalada (a.k.a mwenye dili lake) Ni kama wameapa hakuna kuingiliana madili. Ukiwa na tatizo...
  18. E

    Wenye Dhamana watathmini changamoto za sensa na kutoa miongozo mipya

    Kwa mtizamo wangu zoezi la sensa limekuwa na "poor planning" Mitaani watu wengi inaonekana hawajafikiwa na zoezi hili katika siku ya kwanza ya 23/08/2022. Siku hii ndiyo ya mapumziko, watu wameshinda nyumbani na makarani hawakuonekana. kuanzia tarehe 24, kila mtu atakuwa kwenye shughuli zake...
  19. Lanlady

    Si rahisi watu kufanana namna ya kufikiri na kutoa maoni! 'Critics' lazima ziwepo ili kufikia maendeleo endelevu!

    Kwamba kwenye nchi hii haitakiwi kuwa na maoni tofauti? Kwamba kila mwenye maoni tofauti ni mpinzani wa maendeleo? Basi watafukuzwa wengi!
  20. Determinantor

    Wizara ya Fedha kutoa ufafanuzi dhidi ya "upotoshaji wa tozo"

    Kama kawaida Yao, tengeneza tatizo tatua tatizo then jipongeze! Ndio wanachotaka kufanya. Gerson Msigwa anasema kuwa Wizara ya Fedha itatoa "ufafanuzi" kuhusu Tozo maana kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa mitandaoni! Anadai eti tozo zilikuwepo.....
Back
Top Bottom