kuteuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Doctor Mama Amon

    Nampongeza Askofu Rugambwa wa Nyaishozi kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya

    Kardinali Rugambwa akiwa na Rais Kikwete, lakini kabla hajawa Kardinali Kwa dhati, nampongeza Askofu Protase Rugambwa Prosper Iholana, ambaye familia yake inayo makazi ya kudumu katika Kijiji cha Kasheshe, Kata ya Nyaishozi, Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, kwa Kuteuliwa kuwa Kardinali Mpya...
  2. ndiuka

    Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

    Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa Mhashamu Protase Rugambwa sasa Mhadhama. Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora. Hongera sana Mhashamu Rugambwa...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Cheo cha kuteuliwa ni kama kupandishwa kwenye Baiskeli

    Cheo cha kuteuliwa ni kama kupandishwa kwenye Baiskeli. Huwezi kuketi juu ya baiskeli daima. Kuna wakati wa kupanda, wakati wa kupiga pedeli na wakati wa kushuka. Muhimu hakikisha miguu yako haisahau kutembea siku ukishuka.
  4. GENTAMYCINE

    Baada ya Kuvutiwa na Uteuzi wa Mwanza, najiandaa Kufungua huko Kiwanda Kikubwa cha Vibiriti

    Na kutokana na Uwingi wa Watu kwa sasa Mkoani Mwanza huku Mahitaji yakiwa mengi na Masoko Kuongezeka hasa Soko Kuu ili Kujikinga na Mabalaa yasiyotarajiwa ( hasa Moto ) naishauri Serikali kuanzia leo iongeze Gari za Zimamoto Mkoani Mwanza.
  5. GENTAMYCINE

    Natabiri mapema hapa Mtoto Mmoja wa Marehemu Kuteuliwa nyadhifa za Serikalini / Siasa

    Katilka nafasi za DAS au RAS au DED au DC au RC na hata Ubunge wa Kuteuliwa na Mheshimiwa Rais aliyeko. Na hili linaweza kufanyika ndani ya Miezi Sita au Kenda (Tisa) au hata Miezi Kumi na Mbili ijayo ili Kuwafariji na Kubebana. Uzi wangu huu Utunzwe tafadhali.
  6. Benjamini Netanyahu

    MJADALA HURU: Nini kimeshusha Maadili kwa Viongozi wa Kuteuliwa?

    Viongozi, kumekuwa na mijadala kuhusu viongozi hususa, hawa wa kuteuliwa kutokuwa na maadili na matokeo yake kuonekana kama vyeo vya asante na shukrani kwa makada. Je, nini kimechangia kushusha maandali? Je, ni upatikanaji wao? Kutokuandaliwa vizuri kuja kuongoza ama ni kuteuliwa kwa kujuana...
  7. S

    Watanzania bado tuna akili mbovu ya kuona uteuzi ni kuula na sio kutumikia taifa, huku tukibariki ufisadi

    Nimewahi kulizungumzia hili, na nitalizungumza tena. Watanzania bado tuna akili mbovu sana ya kuuona uteuzi kama fursa ya "kuula" au kufaidika kibinafsi. Tunalaumu ufisadi, huku mtu anaefanya kazi TRA asiponunua gari miaka miwili baada ya kuanza kazi tunamwona mjinga! Ni wazi kwamba kama jumuia...
  8. BARD AI

    Aliyeteuliwa Ubunge akiwa mahabusu kuhojiwa Mahakamani leo

    Jopo la mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) linatarajiwa kuendelea kuwahoji wabunge wa viti maalumu waliovuliwa uanachama wa chama hicho, huku kesho wakitarajiwa kumhoji Nusurati Hanje. Mawakili hao wa Chadema wanaendelea kuwahoji baadhi ya wabunge hao kuhusiana na ushahidi...
  9. M

    Januari Makamba kuteuliwa Mjumbe wa NEC

    Dar es Salaam Wanaogombea nafasi ya NEC ni aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake (UWT), Sophia Simba, January Makamba ambaye ni mbunge wa Bumbuli na Waziri wa Nishati. Pia, yumo Iddi Azzan ambaye ni mbunge wa zamani wa Kinondoni, mbunge wa sasa wa Kinondoni, Tarimba Abbas na Josephat...
  10. kyagata

    Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki

    Orodha ya Majina ya CCM walioteuliwa kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki
  11. CM 1774858

    Shaka: Kinana ni Chuo kikuu cha siasa kinachotembea, mtakaochaguliwa au kuteuliwa jifunzeni kwake

    KINANA NI CHUO KIKUU CHA SIASA KINACHOTEMBEA "Komredi Kinana ni gwiji la siasa za ndani na nje, amekulia na kulelewa ndani ya TANU na leo CCM. Mzee Kinana ni mwana majumui (panafricanist) mtiifu na mwadilifu sana ,Kwa vijana wenzangu mliyo madarakani na ambao mnatarajia kuingia, Tujifunze...
  12. CM 1774858

    Malinyi, Morogoro: Joanfaith Kataraia atunukiwa ngao ya Ushindi kwa Kuongoza katika Ufaulu PSLE. Nini kipo nyuma ya mafanikio ya DED huyu?

    Hebu tujadili kwa pamoja, nini kipo nyuma ya mafanikio haya makubwa ya Mhe Joanfaith Kataraia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Malinyi,tangu kuteuliwa kwake wakati wote ameongoza kwa Ufaulu wa juu kwenye mitihani ya ,PSLE,pamoja na mambo mengine mbalimbali, == Mhe Joanfaith akiwa...
  13. Nyendo

    Waziri wa Fedha: Ukitenguliwa kwenye nafasi za kuteuliwa urejee mshahara ule wa awali kabla hujateuliwa

    Mtumishi wa Umma atakeyeteuliwa kwenye nafasi za kuteuliwa baadaye akatenguliwa nafasi aliyoteuliwa basi arejee kwenye mshahara ule wa awali kabla hajateuliwa. Amesema kuwa kumlipa mtu mshahara wa nafasi ambayo hayupo tena (aliyokuwa ameteuliwa) ni kuwabebesha mzigo mkubwa Watanzania. Mtu...
  14. Suzy Elias

    Tetesi: Duru: Shamsi Vuai Nahodha kuteuliwa awe Waziri anayeshughulikia Muungano

    Za ndani kabisa huenda Mzaramo akatoswa kwa sababu chawa wanamwaminisha mama eti haaminiki na ni muumini wa kundi la mwendazake hivyo wanahisi huenda atatoboa mtumbwi wenye nyingi siri ndani ya Baraza la Mawaziri. Inasemekana mabadiriko yale yangeshafanyika tokea wiki jana lakini mtego aliokuwa...
  15. N

    Wabunge wa Viti Maalum na wale wa kuteuliwa na Rais wana faida gani katika Taifa?

    Mimi naomba kushangaa, nchi inapokua uchumi wa chini ni heri kujitahidi kuzuia mianya ya ufujaji na upotevu mkubwa wa pesa za serikali. Licha ya kwamba bunge la Tanzania lina wabunge wengi kutokana na majimbo kuwa mengi, bado pia wanaongeza wabunge wa viti maalumu na wabunge wa kuteuliwa tu na...
  16. Ileje

    Bashiru kusuka au kunyoa - ni baada ya Kinana kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

    Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya. Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu...
  17. William Mshumbusi

    Spika Dkt. Tulia ajuzwe Wabunge 19 hawajawahi kuteuliwa na CHADEMA. Wameingia kwa kufoji nyaraka

    Hata kama Spika atawachukulia kuwa NI wanachama halali wa Chadema. Chadema imeshatoa ufafanuzi nyaraka zilizotumika kuwaingizwa bungeni zimefojiwa. Na wanaoandaa nyaraka hizo wameshatoa taarifa za sahihi zao na majina yao kufojiwa. Sijui wanataka Nani aje asibitishe Hilo. Wakati wewe unasema...
  18. Kurunzi

    Itakuwa dharau kubwa kwa Vijana wa CCM kama Rais Samia atamteua Bananga kwenye nafasi ya uongozi

    Itakuwa dharau isiyo mithilika kwa Vijana wa CCM ikiwa Bananga atateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi hapa nchini Ikumbukwe kuwa CCM kuna vijana wengi wamekipigania chama tena kwa kushiriki maovu ili kukilinda chama chao ili mradi washinde kwenye chaguzi mbali mbali. Vijana hao walifanya...
  19. kavulata

    Hukumi ya Sabaya viongozi wa kuteuliwa tumieni akili zenu.

    Utetezi wa Sabaya ulizihusisha mamlaka za uteuzi. Mazingira yanaonesha kuwa Kuna ukweli fulani kwenye madai yake hayo ya utetezi. Ushahidi wa madai yake kwamba alikuwa anatekeleza maagizo ya mamlaka ya uteuzi yanatiwa nguvu na uwepo wa wateuliwa wengine ambao walikuwa wakiwafanyia vitendo...
  20. sky soldier

    Ni wakati wa Watanzania Bara kuanza kuteuliwa Zanzibar

    Haiingii akilini keki ya Zanzibar ni kwajili ya wazanzibari pekee ila keki ya huku bara Wazanzibari nao wana hila, yani chao ni chao peke yao ila chetu ni chao. Yani huko Zanzibar uongozi kuanzia uraisi, mahakamu wa rais, wakurugenzi wa mashirika, teuzi, n.k ni wao tu ila ukija huku si ajabu...
Back
Top Bottom