kuteuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Viongozi na kuhangaika kurekebisha mambo wanapotembelewa na viongozi ngazi za Juu

    Ukistaajabu ya Mussa utaona ya viongozi wakiwa na hekaheka za kurekebisha mambo yao wakijua watatembelewa na viongozi ngazi ya juu, utajionea vituko vya mahangaiko yao wakati siku zote walikuwa wamekaa kama hawaoni kuna kasoro au hawahusiki na kurekebisha. Utapigwa butwaa kama ni barabara...
  2. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu

    Rais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali. --- Zuhura Yunus, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, na Felister Mdemu, aliyekuwa msaidizi wa Rais katika Maendeleo ya Jamii, ni miongoni mwa viongozi walioteuliwa kushika nafasi mpya. Petro Itozya, aliyekuwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kazi za ukurugenzi kwa ngazi zote ziwe za kuomba nsio kuteuliwa

    Tatizo tumekuwa na kazi ambazo zinahitaji uwezo wa kusimamia miradi na budget mbali mbali za maendeleo. Lakini tunaweka makada ambao wengi wamezoea kupiga domo kucha kutwa bila kufahamu chochote kuhusu uongozi. Hii imesababisha nchi zima na kila idara kuwa ya machawa na watu wasio jielewa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mwenezi CCM kupatikana 03/04/2024; Nani anafaa kurithi mikoba ya Makonda?

    Halmashauri kuu ya CCM itakutana tarehe 03/04/2024 jijini DSM ambapo pamoja na mambo mengine itapitisha jina la Mwenezi mpya wa CCM Source: Mwanahalisi Digital Mlale Unono 😀😀
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mimi G4N naomba kuteuliwa kuwa mwenezi. Nikiteuliwa tu, wanaccm wote wenye miaka 55+ nawafuta uanachama

    Sababu zangu ni hizi:- 1. Wamefikisha umri wa kustaafu, hivyo wakalee wajukuu zao. 2. Wanaziba nafasi za vijana. 3. Wao ndiyo wamelifikisha taifa hapa lilipo Sasa wanagombea ili iwe Nini tena? Naitwa G4N naomba kuteuliwa kuwa katibu mwenezi. Endapo nitateulowa nitafanya yafuatayo.:- 1...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda, Amos Makala na Joyce Ndalichako wana bahati ya kuteuliwa ila wana uwezo mdogo sana wa mikakati na uongozi

    Kuna watu wamezaliwa na bahati ila capacity na creativity hakuna. Watu kama Makonda wanachoweza nikudhalilisha wengine siyo kufanya kazi. Maisha yao yote wanaamini wao wanapaswa kuongoza na wanapoongoza basi akili zao zinapaswa kuheshimiwa. Makonda amerudishwa ofisin tu anaanza kugombana na wale...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Jacob Rombo ni nani? Historia yake kabla ya kuteuliwa kuwa DAS alikuwa anafanya nini?

    Kuna tuhuma za mteule wa Rais kuiba mafuta; nadhani tunapaswa kumfahamu vyema huyu DAS kabla ya kumuhukumu. Yawezekana hii ndiyo kazi yake ya kwanza, yawezekana anauguza au may be alipata madhila ya kifamilia yaliyopelekea aende kuchukua fedha za mafuta ya serikali akikataa hata hoja ya...
  8. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Kuteuliwa kwa Dkt. Nchimbi: Rais Samia sasa kunywa chai yako kwa raha zako

    Kuteuliwa kwa Dr. Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa chama ni turufu kubwa sana, chama kimerudi mikononi mwa wenyenacho, wenye uchungu nacho, ambao hawategemewi kuezua nyasi ili nyumba ivuje. Mtu mwenye tamaa ya kuiona Tanzania inaendelea kung'ara na kuwa kielelezo cha Amani na mshikamano, mtu ambaye...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwaichi: Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi kuteuliwa na Rais wanakosa Uhuru

    Akiwasilisha maoni mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu na Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa na Serikali Bungeni, Askofu Mkuu wa Jimbo la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddaeus Ruwai'chi amesema Uhuru wa Wajumbe hao unapaswa kutiliwa maanani kwasababu Uteuzi wao unatoka kwa...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

    OMBI LA KUTEULIWA KUWA KAMISHNA WA PETROLI NA GESI Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Kwa heshima na taadhima, naomba kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi katika Wizara ya Nishati, ili kujaza nafasi iliyo wazi. Nikiwa na uelewa mkubwa katika masuala ya mafuta na gesi, na kufahamu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mrisho Gambo kuteuliwa Naibu Waziri - Katiba na Sheria

    Habari njema Kwa wana-Arusha Mjini. Tunasubiria PDF ya Uteuzi wa Mheshimiwa Mbunge kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Dr Gekul. Cc. Mbunge Mstaafu,
  12. S

    JamiiForums Tanzania kuna nafasi za AJIRA hazipaswi kuteuliwa kabisa

    Mi nazidi kuishangaa nchi yetu hii aisee Yani mteue wakuu wa mikoa, wilaya, D.E.D na wengineo huko waliokaa kisiasa siasa mfike hadi kwa nafasi zilizosomewa kabisa ? Mwambieni Mheshimiwa Rais, hakukuwa na Haja ya kuteua kwa nafasi ya Mkurugenzi wa TASAC. Hii nafasi ilipaswq iachwe vijana...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Musiba kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya, anaweza kupewa Arusha, Hai au Tarime

    Kuna tetesi zinatembea "chini ya kapeti" kwamba Musiba anaweza kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya katika hizo Wilaya tata kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Tega sikio
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe: Ili Mkurugenzi wa Halmashauri ateuliwe anatakiwa awe amefanya kazi miaka 12 Utumishi wa Umma

    "Nakupongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Hongera sana. Hii kwasababu una uwezo mkubwa sana na umetuheshimisha sana" - Mhe. Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai. "Namshukuru Mheshimiwa...
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Makonda: Baada ya kuteuliwa wapo waliowaza naenda kufanya nini. Sina Kisasi na mtu, sitajitutumua kuonesha mabavu

    Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na sasa Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM wakati akipokelewa mkoani Dar es Salaam amesema; "Tangu niteuliwe nimepata nafasi ya kupita kwenye mitandao, wengi wanahamaki na wengi wana bashasha, lakini wanaohamaki wengi wao wanawaza Makonda ataenda...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Nape Nnauye baada ya Makonda kuteuliwa. Je, ni dharau?

    Kaandikwa mtandao X "Mdogo wangu Paul, karibu sana kwenye uongozi wa juu kabisa wa Chama chetu. Nina hakika umetumia vizuri muda wa likizo and now you are ready for the job! HONGERA kwa kuaminiwa na nakutakia kila la kheri! " Je, ni dharau au woga? Au Nape ndie kampa mchongo huo Makonda? Wa...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla ampongeza Makonda kuteuliwa mwenezi NEC taifa. Ampigia simu kumpongeza

    Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote. Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe.
  18. U

    JamiiForums Tanzania Nashari usikubali Kuteuliwa kuwa Mkurugenzi au DC ni mtego

    Katika nafasi ambazo zimepoteza mvuto Serikalini ni Nafasi ya Ukuu wa Wilaya na Ukurugenzi wa Halmashauri, ni Nafasi ambazo Sasa zimeonekana kana kwamba si za kudumu na muda wowote unatolewa, mtu unaweza kuwa Mkurugenzi katika nafasi mbalimbali katika mashirika ya umma Kwa miaka 10, 8, 7 ila...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Kila anayeteuliwa anaitwa "Kitengo" hivi Wakulima na Wafanyakazi hawawezi kuteuliwa?

    Hii Nchi ni dhahiri sasa kwamba Wananchi wake wamechoka kuwaza , nadhani hali hii inatokana na dhiki zinazowakabili raia ikiwa ni pamoja na umasikini wa kutupwa pamoja na mgawo kabambe wa umeme . Yaani kila mtu ambaye siyo Mtoto wa kiongozi akiteuliwa kushika wadhifa wowote anaonekana ni...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi

    Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi. Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za...
Back
Top Bottom