Bashiru kusuka au kunyoa - ni baada ya Kinana kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,796
12,239
Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.

Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.

Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
 
Bashiru kwa sasa hana tena matumaini ya kubakia ndani ya chama
 
10-981x1024.jpeg

Bila picha uzi utanogaje sasa
 
Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.

Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.

Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Lakini kumbukeni. Ngoma bado haijatulia. Hata hawa unaowataja hapa kesho wanaweza kuwa kwenye hali ngum,u kuliko huyo Bashiru. Hakuna mwenye mkataba na Mungu. Ndiyo maana tunasema katiba mpya ni kipaumbele muhimu kuliko kitu chochote ili yaliyotokea yasijirudie tena.
 
Kinachotakiwa ni kutenda haki na kwa mujibu wa sheria! Aidha katiba mpya ni muhimu.
 
Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya.

Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu zao zimedukuliwa na wafuasi wa Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM. Wengine ambao Bashiru aliwashughulikia ni January Makamba na Nape Nauye ambao wote hivi sasa ni mawaziri katika serikali ya Samia.

Mwingine aliyenyolewa bila maji na wembe wa Bashiru ni Benard Membe hadi akahamia ACT Wazalendo.
Aissee, yani things are no longer at ease and they are falling apart in the river between !!
 
Mnajichanganya sana. Kwanza Dr Bashiru hajawahi kuwa na interest na siasa! Hana analopoteza zaidi ya maumivu moyoni mwake kwa Watanzania wenye akili ya kiwango chako!

Usimsikitikie Dr Bashiru, kwa levels zake yeye wala watoto wake hawatokuja kupata njaa. Kaa ujifikirie wewe na kizazi chako!
 
Back
Top Bottom