kuteuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Hongera Mathew Kilama kwa Kuteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma

    Ndugu Mathew Kilama, Wakati nakupongeza kwa kuteuliwa na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ningependa kukupa angalizo kuhusiana na utendaji usioridhisha wa Tume ya Utumishi wa Umma. Ningekushauli utafute threads humu JF kuhusu malalamiko lukuki ya utendaji mbovu...
  2. The Assassin

    Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

    Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa...
  3. Nyankurungu2020

    Kwa uzandiki aliofanya January Makamba kwa Hayati Magufuli hakupaswa kuteuliwa kuwa waziri. Uzandiki dhidi ya Rais ni kosa kubwa sana

    Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema. Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi...
  4. B

    Sheria inataka Waziri wa Ulinzi ateuliwe baada ya muda gani, au hata asipokuwepo sawa tu?

    Je, Kuna sheria inayomtaka Rais kuteua Waziri wa Ulinzi baada ya muda fulani pale anapotenguliwa, kuacha uwaziri au kufariki? Kama hakuna sheria je Kuna ulazima wa kuwa na Waziri wa Ulinzi? Na je Nini kilimsukuma JPM kuteua Waziri wa sheria Mara tu Mzee Maiga alipofariki?
  5. N

    Ubunge wa Viti maalumu na wa kuteuliwa ufutwe hauna tija yoyote

    Inasikitisha sana kuona nchi masikini kama hii bado inafuja hela za umma kwa kasi ya ajabu, nchi fukara isiyojiweza Vyeo hewa vimejazana mfano hai ni wabunge wa viti maalumu na wabunge wa kuteuliwa na Rais, hawa watu hawana tija yoyote kwa Taifa zaidi ya kupewa mishahara ya bure tu, Nchi...
  6. mugah di matheo

    Upi ukomo wa ubunge wa kuteuliwa na raisi?

    Mbunge wa kuchaguliwa ama yule wa viti maalum hukoma kuwa mbunge pale tu akikosa kuwa mwanachama wa chama Cha siasa ama muda wake kuisha au sababu zingine za kisheria zilizo ainishwa katika katiba. Je inakuwaje kwa akina Bashiru na Polepole? Nani Mwenye mamlaka ya kuwafuta ubunge kabla bunge...
  7. K

    Ni nchi gani Mkuu wa usalama umewahi kuteuliwa Balozi tofauti na Tanzania?

    Ni kawaida kwa viongozi wakubwa nchini wanapoteuluwa kuiona fursa ya uteuzi nakusau umuhimu wakulinda na kuhifadhi hadhi ya juu aliyopewa. Kumteua mkuu wa usalama kwenye cheo chochote kunatua dosari nafasi hii. Narafakari Ni nchi gani imewahi kumteua mkuu wa usalama kushika nafasi ya ubalozi...
  8. Mkaruka

    David Kafulila kuteuliwa kuwa DC baada ya kujiuzulu U-RAS ni uthibitisho kwamba nchi hii kuna watu hawatakiwi kuwa Jobless?

    Hii imekaaje ? Mtu anachaguliwa nafasi fulani, anafanya baada ya muda anajiuzulu kwenda kutafuta nafasi anayoitaka mwenyewe. Cha kushangaza mtu huyo huyo teuzi nyingine zikifanyika unamuona kateuliwa tena. 🙄 Je, hakuna watu wengine au what's so special na hawa watu ? Nadhani wakati wa kura...
  9. Ilitara kimura

    Kwani wasanii hawawezi kuteuliwa?

    Mtu kama huyu msomi mzuri tu kwa nini watu wanafikiri hawezi kuwa mkuu wa wilaya? Au kwa vile aliamua kujiajili kwenye tasnia ya sanaa. Naona kuna kasumba inaanza kujengeka hapa nchini ya kufikiri kwamba wengi wanojihusisha na sanaa ni watu ambao ni fyatu. Fikira hizi siyo sawa.
  10. Meneja Wa Makampuni

    Sikubaliani na suala la Mbunge kuteuliwa kuwa Waziri

    Ilitakiwa iwe hivi. Uwaziri uwe ni kazi ya utumishi, mtanzania mwenye elimu ya juu inayoendana na hiyo wizara, mwenye uzoefu na mwenye sifa za kuongoza wizara hiyo atume maombi kuomba kazi ya uwaziri. Kwani mbunge kuwa waziri unamfanya kuwa na vyeo viwili hiyo ni poor allocation of employment...
  11. GENTAMYCINE

    Farhia Middle wa Radio One amehuzunika sana Abdallah Mwaipaya kuwa DC

    Kuna Kipindi nakumbuka ( nikiwa kama Msikilizaji Balozi na Mwandamizi wa Kipindi chao nikipendacho cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kila Jumapili Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili Asubuhi ) aliwahi 'Kufiwa' na Dada yake tena wa toka nitoke ila wala hakuwa katika Majonzi na alisahau...
  12. JF Member

    Nafasi za kuteuliwa zinaondoa ufahamu na akili

    Nikiwa nafuatilia jinsi hawa wateule wanafanya kazi nahisi wako kama watumwa. Kuna mda naona kabisa sisi ambao tuko kitaa tuna furaha na amani kuliko wao. Kuna haja ya wateuzi kuwaambia wawe huru kwenye kazi zao. Mfano Rais anakuja kuzindua mradi uliobuniwa na kujengwa na mtangulizi wake...
  13. Erythrocyte

    Usithubutu kujivunia Cheo cha Kuteuliwa, yasije kukukuta ya Chalamila

    Hebu fikiria mtu ambaye alikuwa analindwa na Jeshi la Polisi huku akipigiwa salute na RPC, usafiri wake ukiwa ni V-8, leo anaondoka Mwanza bila hata Mgambo wa KK SECURITY, tena kwenye gari ya kupewa lift na Msamalia Mwema Katika kipindi kifupi sana cha miaka 6 Taifa hili limefundishwa mambo...
  14. Geza Ulole

    Rais Samia Suluhu Hassan; naomba umpe Ubunge Flaviana Matata Ubunge wa Kuteuliwa

    Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya...
  15. S

    Umri wa mtu kuteuliwa kushika nafasi yoyote Serikalini uwe ni walau kuanzia miaka 35

    Naona wakati umefika tuweke kigezo cha umri kwa watu wanaoteeuliwa kushika nafasi au madaraka makubwa serikalini na katika Utumishi wa umma. Katika nchi yetu, uteuzi hufanywa zaidi na Raisi na wateule wa Raisi wote hupewa dhamana au madaraka makubwa na hivyo kuna uwezekano baadhi hupewa...
  16. S

    BASATA wamempongeza Diamond kuteuliwa kushiriki tuzo za BET

    Naona Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), wametoa tamko la kumpongeza msanii Diamond kwa kuteuliwa kushirika katika hiyo tuzo na kusema iwapo atashinda, basi yatakuwa mafanikio ya nchi nzima. Cha kushangaza katika tamko lao ni kuweka picha ya Diamond katika hilo tamko na sijui kama ni sahihi...
  17. M

    Ni vipi vigezo vya kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya?

    Jamani naomba msaada maana mara kwa Mara nasikia uteuzi wa wakuu wa mkoa na wilaya. Kibaya zaidi nipale ninapo sikia mkuu wamkoa Fulani amestaafu nafasi yake amechukua kanali mstaafu inamaana hakuna watu wengine na kwanini sijawahi kusiakia RPC mstaafu kawa mkuu wa mkoa. Natafuta kazi...
Back
Top Bottom