Ndugu wanajamvi, habarini za majukumu. Kutokana na wimbi la uhaba wa ajira na hasa ajira za Serikali, baadhi ya vijana wameonekana kukata tamaa juu ya ajira hizi za serikali.
Wengi huwa tunaomba kazi za serikali pale zinapotangazwa na hatujawahi kubahatika kuajiriwa.
Najaribu kufikiria kutuma...
Nchi yetu ya Tanzani, mifumo ya kudhibiti mfumuko wa Bei Bado hauko vizuri, ukilinganisha na nchi zingine. Kutangazwa Kwa wastan wa kupanda Kwa mishahara kutaendana na mfumuko wa Bei za vitu kuanzia mwez Julai, kutokana na iman Kuwa wafanyakaz Kwa Sasa wana hela. Nakumbuka kipindi Cha Mzee wa...
Kuna tetesi kadhaa zimeanza kusambaa mitaa ya Chato tangu leo asubuhi kuwa, ujio wa Rais Samia katika Wilaya ya Chato katika kuadhimisha kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa rais Magufuli huenda kukaenda sambamba na mojawapo kati ya mambo mawili kama sio yote mawili, yaani Chato...
Wajuba... mapipa bilioni 4.8 sio mchezo
=======
Kenya is just weeks away from announcing the discovery of new oil resources in the Lamu basin, bigger than what was found a decade ago in Turkana, in what could be a turning point for the country’s dreams of reaping petrodollars.
Italian oil...
Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi...
Wakuu kwema.
Jana nimeona itv wameandika kuhusu mchakato wa ajira za ualimu, wakimnukuu naibu tamisemi.
Kwamba hio ni baada ya madarasa kukukamilika sasa ni muda wa kujenga matundu ya vyoo na mchakato wa ajira kuanza.
Sasa ningependa kujua inaweza ikachukua muda gani mpaka mchakato huo...
Wanabodi,
Declaration of interest.
Kwa vile mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM na niliomba fomu kupitia CCM kuomba kupitishwa kugombea ubunge wa jimbo la Kawe, kwa tiketi ya CCM, ila watu wanaitwa Wajumbe wakafanya yao. Tulikuwa wagombea 176, tunatafuta nafasi moja!, hivyo ilikuwa ni...
Na Pili Mwinyi
Kiswahili ni lugha ambayo kwa sasa imejibebea umaarufu mkubwa sana duniani ikiwa ni mojawapo ya lugha zinazotumiwa zaidi na watu wa Afrika. Kwa makadirio kina wazungumzaji zaidi ya milioni 200 katika nchi nyingi za Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika na hata Mashariki ya Kati...
Kuna aina mbili za uombaji wa fedha ama ruzuku kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi; aina ya kwanza ni kuomba ruzuku baada ya kutangazwa wito wa kuwasilisha michanganuo ya miradi (hii tunaita "Reactive Grant seeking") aina ya pili ni uombaji wa ruzuku pasina kutangazwa wito wa uwasilishaji wa...
Kwa wataalam wa siasa tunasema kuwa Mbunge wa Kawe bwana Gwajima ameshavuka red line na kinachofuata ni kutangazwa tu kuwa Jimbo lipo wazi.
Huenda hata asimalize huu mwezi akiwa mbunge kwani amepitiliza kuwa na sifa kuu za usaliti. Yani amepata mpaka sifa za ziada.
Gwajima kwa sasa ni ama...
Habari Yenu wakuu
Kuuliza sio ujinga licha yakuwa maswali yakijinga pia yapo.
Sitaki kuwa mjuaji katika hili nataka kuwa "open minded" .
Tunaposema kuwa nchi kutangazwa kimataifa, faida zake uwa ni zipi.
Tumekuwa na watu/taasis mbalimbali katika nyanja tofauti tofauti ambao wamekua...
Tafiti mpya imeonesha kuwa Virusi vya Corona vilisambaa miezi miwili kabla ya kugundua maambukizi ya kwanza ambayo yaliripotiwa Wuhan.
Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Kenti cha Uingereza wameonesha kuwa maambukizi yalianza Novemba 17, 2019 ambapo Januari 2020 yalisambaa duniani. China iliripoti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.