Mafuta mengi sana yagunduliwa Lamu

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,757
48,403
Wajuba... mapipa bilioni 4.8 sio mchezo

=======

Kenya is just weeks away from announcing the discovery of new oil resources in the Lamu basin, bigger than what was found a decade ago in Turkana, in what could be a turning point for the country’s dreams of reaping petrodollars.

Italian oil exploration company Eni — in partnership with France-based oil and gas company TotalEnergies and Qatar’s state-owned oil and gas firm Qatar Energy — is racing to conclude a five-kilometre exploratory drilling deep water well that will establish the potential oil resources in the Lamu basin.

The oil resources that can be recovered from the Block L11B are estimated at about 700 million barrels according to early conservative estimates, more than a fifth of Turkana’s commercially extractable volume of 585 million barrels.

The large fiscal windfall associated with new oil resource revenue could help Kenya boost development and improve the standards of living for citizens through access to key services and amenities such as roads, health, food security and education.

The well is located approximately 170km from the coast, underneath the Indian Ocean seabed where Eni has been prospecting and drilling for oil.

Eni’s drillship SAIPEM 12000 has been on location within Block L11B since late December 2021, when it started drilling, and is expected to complete operations this month.
The drilling was expected to start earlier in the month but was delayed due to a number of factors including meeting requirements to comply with Ministry of Health protocols to mitigate the Covid-19 pandemic.

Potential​

Seismic surveys revealed that the area has the potential for oil resources estimated at four billion to 4.8 billion barrels. Oil and gas explorers use seismic surveys to produce detailed images of the various rock types and the location beneath the earth’s surface and to determine the location and size of potential oil and gas reservoirs.

Eni expects to release deposits results of its drilling campaign in the block that would determine whether there is commercial viability.

Eni Kenya BV managing director Tavolini Enrico remained tightlipped on Eni’s prospects in Lamu promising additional information later.

“We shall give you an update in the next two weeks,” Mr Tavolini said in response to queries.

Once a discovery is made, confirmation through appraisal wells would be needed. This would mean Eni and it’s partners would dig additional wells to confirm whether any discovery would be big enough for the oil firms to develop Kenya’s first deep water field.

Early data however indicates the existence of oil resources, what is technically referred to as an active petroleum system in the area.

The well in the Lamu Basin offers Kenya another chance to become an oil producing country. It would come a decade after British exploration firm Tullow Oil made Kenya’s first oil find in Turkana County’s South Lokichar sub basin.

Kenya first announced the discovery of oil in Block 10BB and 13T in Turkana in March 2012.

The country is however yet to fully commercialise the crude oil.

“Data from this well and other exploration activities show that the Mlima 1 prospect could have a much more considerable accumulation than the discoveries in the South Lokichar basin,” said Rita Maina, a senior energy transition advisor at the Kenya Civil Society Platform on Oil and Gas.

“If the drilling is successful, there is a high probability that the South Lokichar basin discoveries will take a back seat because the Mlima 1 prospect will have a more significant economic benefit to the country and will be easier to develop,” she added.

Mlima-1 is tipped to be the first commercial oil discovery in a region where exploration activities to date have almost exclusively resulted in gas discoveries.

An oil discovery in the Lamu basin would push Kenya to guard it’s maritime borders in the area amid a border row with Somalia. The basin lies within the disputed territory with Somalia.

Last year, Kenyan President Uhuru Kenyatta said the country will not cede even an inch of the disputed area.

Turkana oil wells​

Tullow has been under pressure from Kenya to develop the Turkana oil wells that it expects to produce up to 120,000 barrels per day once production starts.

Tullow and its partners in the project, Africa Oil and Total, had initially planned to reach a final investment decision in 2019 and production of the first oil between this year and next year.

In October last year, Tullow presented a revised Field Development Plan for oil in the Turkana oil fields to the government of Kenya just in time to beat the set deadline of December 2021.

Had the plan not been submitted in time, then they would have risked losing concession on their exploration block as stipulated in the production sharing contract.

The British firm expects to recover 585 million barrels of oil from the project over the full life of the field.

The commercially extractable volume for the Turkana South Lokichar basin rose to 585 million barrels from the previous estimate of 433 million barrels, according to British petroleum consulting firm Gaffney Cline Associates.

Source: The East African
 
Aih! MK254 this is the best news you have ever posted here. Asante Mungu kwa kutuonekania.

1. 4.8 billion barrels ni nyingi kushinda ya Uganda.

2. Hii mafuta ipo kwa ocean kwa hivyo hakuna haja ya kujenga pipeline. Ukiilinganisha na ile ya Uganda ambayo ni zaidi ya 1,000 kilometres ya pipeline. Kwa hivyo cost of production itakuwa chini na oil yetu itakuwa cheaper kushinda ya Uganda.

3. Land compensation ndio tatizo kubwa ambalo limeizuia pipeline ya mafuta ya Turkana kujengwa. Serikali ya county ya Turkana walienda kortini kuzuia ujenzi wa pipeline hio. Yaani siasa za ujinga kama hizo zitaicost sana county govt of Turkana kwa maana mafuta ya Turkana sasa yatakuwa useless.

4. Uzuri wa Lamu ni kuwa tayari serikali ilikuwa imeshaanza kujenga infrastructure huko ikiwemo Lamu port ambayo imeshakamilika. Ujenzi wa barabara ya lami kutoka Lamu hadi Garissa nao unaendelea. Kwa hivyo port ipo na barabara zinajengwa. Waliokuwa wanasema kwamba Lamu port ni white elephant poleni. Oil refinery plant inaweza kujengwa Lamu.

5. Vita vya Russia na Ukraine imezifanya nchi za Magharibi kususia kununua mafuta kutoka Russia. Hii inaipa mafuta yaliyogunduliwa Lamu chances kubwa sana ya kuchimbwa

6. Sisi tunaitwa nyang'au kwa sababu huwa tunarukia fursa haraka na tunajituma so tegemea uchimbwaji wa mafuta ya Lamu kuanza kutekelezwa haraka.

7. Kenya tuna bahati tumegunda mafuta wakati uchumi wetu tayari ni mkubwa na service industry iko well developed kwa mfano banking, telecom, IT na hata level of education ipo juu so chances ya Kenya kupata oil curse kama South Sudan ipo chini. Oil curse huwa inazikumba nchi masikini kama South Sudan zinapogundua mafuta kwa sababu hazina strong institutions na unakuta pesa yote ya mafuta inafujwa au oil inaleta civil war kwenye nchi. I think this is the right time for Kenya to discover oil.

8. Mashambulizi ya kigaidi hazitadhuru mradi huu kwa maana upo ndani kwenye bahari. Tukichukua Mozambique kama mfano, Eni iliyogundua gesi kwenye bahari inaanza kuzalisha gesi Juni mwaka huu ilhali Total iliyoamua kujenga Lng plant kwenye ardhi imesitisha ujenzi wa kiwanda hicho kwa sababu ya mashambulizi ya kigaidi. Off shore oil platforms are safer from terror attacks and easier to protect using naval millitary vessels than land based oil facilities which are more vulnerable to terror attacks.

Cc ichoboy01 Geza Ulole The best 007 joto la jiwe Sama boy 255 tuusan eliakeem
 
Kwenye post yangu #2 Nimeita Watanzania saba waje huku wacomment. Mmoja tu joto la jiwe ndio amekuja kucomment kwa kuangua kicheko lakini hajasema lolote. Wacha niwaite tena kwa maana wanajifanya hawaioni huu uzi. Aisee Malazy wacheni unafiki. Kujeni huku mcomment. Kenya imegundua mafuta mengi kushinda Uganda, tena kwenye bahari. Uganda waliringa sana na kutufanyia madharau ila malipo ni hapa hapa duniani. Aiseeh njooni mtoe comment.

Cc ichoboy01 Geza Ulole The best 007 joto la jiwe Sama boy 255 tuusan eliakeem
 
Hebu myachimbe alafu tuone kama munafaidika.

Ivi Africa sub sahara ni nchi gani inanufaika na Rasimali zake vizuri?

Maana kote kote viongozi wanafelisha mambo kwa kujitanguliza wenyewe.

INAKERA SANA
 
In Africa hata yakigunduliwa tija yake kwa mtu wa kawaida huwa haionekani top leaders ndio wanaweka percentage zao na kula kwa raha na familia zao!

(Always no impact to normal citizen)
 
Aih! MK254 this is the best news you have ever posted here. Asante Mungu kwa kutuonekania.

1. 4.8 billion barrels ni nyingi kushinda ya Uganda.

2. Hii mafuta ipo kwa ocean kwa hivyo hakuna haja ya kujenga pipeline. Ukiilinganisha na ile ya Uganda ambayo ni zaidi ya 1,000 kilometres ya pipeline. Kwa hivyo cost of production itakuwa chini na oil yetu itakuwa cheaper kushinda ya Uganda.

3. Land compensation ndio tatizo kubwa ambalo limeizuia pipeline ya mafuta ya Turkana kujengwa. Serikali ya county ya Turkana walienda kortini kuzuia ujenzi wa pipeline hio. Yaani siasa za ujinga kama hizo zitaicost sana county govt of Turkana kwa maana mafuta ya Turkana sasa yatakuwa useless.

4. Uzuri wa Lamu ni kuwa tayari serikali ilikuwa imeshaanza kujenga infrastructure huko ikiwemo Lamu port ambayo imeshakamilika. Ujenzi wa barabara ya lami kutoka Lamu hadi Garissa nao unaendelea. Kwa hivyo port ipo na barabara zinajengwa. Waliokuwa wanasema kwamba Lamu port ni white elephant poleni. Oil refinery plant inaweza kujengwa Lamu.

5. Vita vya Russia na Ukraine imezifanya nchi za Magharibi kususia kununua mafuta kutoka Russia. Hii inaipa mafuta yaliyogunduliwa Lamu chances kubwa sana ya kuchimbwa

6. Sisi tunaitwa nyang'au kwa sababu huwa tunarukia fursa haraka na tunajituma so tegemea uchimbwaji wa mafuta ya Lamu kuanza kutekelezwa haraka.

7. Kenya tuna bahati tumegunda mafuta wakati uchumi wetu tayari ni mkubwa na service industry iko well developed kwa mfano banking, telecom, IT na hata level of education ipo juu so chances ya Kenya kupata oil curse kama South Sudan ipo chini. Oil curse huwa inazikumba nchi masikini kama South Sudan zinapogundua mafuta kwa sababu hazina strong institutions na unakuta pesa yote ya mafuta inafujwa au oil inaleta civil war kwenye nchi. I think this is the right time for Kenya to discover oil.

8. Mashambulizi ya kigaidi hazitadhuru mradi huu kwa maana upo ndani kwenye bahari. Tukichukua Mozambique kama mfano, Eni iliyogundua gesi kwenye bahari inaanza kuzalisha gesi Juni mwaka huu ilhali Total iliyoamua kujenga Lng plant kwenye ardhi imesitisha ujenzi wa kiwanda hicho kwa sababu ya mashambulizi ya kigaidi. Off shore oil platforms are safer from terror attacks and easier to protect using naval millitary vessels than land based oil facilities which are more vulnerable to terror attacks.

Cc ichoboy01 Geza Ulole The best 007 joto la jiwe Sama boy 255 tuusan eliakeem
If I ask u where is ur proven/confirmed reserves report? Same noises were made on natural gas!
 
I no longer get excited over minerals. Ni Mali ya wanaomine. Oneni majirani wana minerals kiasi gani yet kila siku wanapigwa wamebaki LDC hii miaka yote.
Even if we get 10% out those billions, bado itasaidia kwa budget ya serikali especially kulipa deni. Kitu inasumbua gova saa hii ni deni na any revenue yenye tunaweza pata hata kama ni kidogo aje itasaidia kupunguza deni. For me, anything yenye inaongeza revenue collection ya KRA is a good thing. We just need to be careful with those contract terms ndio tusigongwe.
 
Back
Top Bottom