How many issues May you observe...
Because the patient feels pains below the belly button left... chini ya kitovu kushoto nilijaribu kuminya minya akawa anahisi maumivu zaidi...nikamshauri aende kufanya ultra sound...akamkuta daktari ana haraka za kipuuzi... akamwambia tu just ana mimba ya...
Hello habari ya saizi wana jamii wenzangu naomba msaada nahitaji kusoma programming short course je kama kuna chuo chochote kinacho fundisha au nipeni namna nayoweza kusoma ila isiwe online
Habari wana JF kwenye jukwaa la elimu, kma title inavyojieleza hapo juu. Mm ni mhitimu wa F6 mwaka 2022, bahati nzuri au mbaya matokeo yangu hayakuweza kuruhusu nijiunge na degree nlipata (DEE) kwenye masomo ya combination. Nia yangu ilikuwa kusoma data science km matokeo yangekuwa mazuri. Lkn...
Wakuu nimejikuta nimekuwa mvivu sana hasa kwenye mambo ya kusoma, sina mood kabisa sijui nifanye nini.
Hamna ninachowaza useme hela au mapenzi, hamna chochote, nipo tu yaani sielewi japo nahudhuria lecture na kuelewa vizuri ila kusoma ndio imekuwa shida.
Naomba mliosoma kitabu cha Devil on the Cross naomba mnipatie utangulizi wa hiki kitabu au general overview ya hiki kitabu nahitaji kujifunza yaliyojili humo ndani ya kitabu.
Nimetafakari sana juu ya uamuzi wa wananchi wa Tanga kuandaa kisomo maalum kwa ajili ya viongozi na watendaji serikalini walioguswa kwenye ripoti ya CAG. Mbali na watu wa Tanga kuamua kufanya dua maalum kwa kina Mwigulu, Makame Mbarawa, Januari na wakubwa wengine waliotajwa na CAG. Pia yuko...
Habarini ndugu,
Namshukuru Mungu niliomba
chuo kipo England (Norwich city) kinaitwa University of East Anglia (UEA) course niliyo kubaliwa Masters of science in Economics and Data science kwa mwaka mmoja. Napenda sana hizo mambo za uchumi, changamoto nimepata ufadhili pound £4000 ila...
Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.
Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).
NB Postgraduate office wao wanajua...
Habari wana jamvi, poleni na hongereni kwa majukumu ya ujenzi wa nchi. Naomba msaada wenu kwa mwenye uzoefu kuhusu recommendations za referees kwenye fomu ya maombi ya kusoma shahada ya uzamili (masters) Je? Mfano hawajarecommend kuna uwezekano wa kukosa udahili?
Ndg wanajamii Kuna mambo yanaendelea lakin ukweli ni maslahi pekee.
Sasa pamoja na challenge zote Bado Kuna matatizo ya kimfumo.
Mwl na koi saw key performance indicator zitapatikana vyuoni au maekelezo??
Habari wakuu!!
Mimi ni member wa NBAA nilijisajili mwaka 2011 wakati ule tunafanya module e na f sikufanikiwa kumaliza nikawa nimepiga masters toka kipindi hicho hadi sasa sijawahi fanya tena iyo mtihani.
Sasa natamani kurudi kufanya mitihani ya CPA, naomba mwenye kujua naanzia stage ipi na...
Great Thinkers,
Naomba kufahamu, je mamlaka yetu nchini inaweza kusoma jumbe za whatsapp? Na je zinaweza pia soma texts za sms za kawaida kwenye simu za iPhone?
Asanteni.
Leo April 06, 2023 mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali, Charles Kichere ameongea na waandishi wa habari kuhusu ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.
Miongoni mwa mambo muhimu
CAG amewashukuru waandishi wa habari, wenyeviti na makamu wenyeviti wa kamati za Bunge kwa...
Nashangazwa na hii mijitu kutwa kuzurura kwenye korido za vyuo vikuu yaani nawaona mburula balaa but mbaya zaidi wakimaliza kutwa kuzunguka na baada bahasha la kaki kutafuta employment au wengine wanajiendeleza na kusoma eti kisa kuongeza laki 200000 tu kwenye mshahara wake! Huo ni ulofa na...
Mama Hongera tena hongera sana sana. Ninaamini bado sijachelewa sana kukupongeza kwa kazi kubwa uliofanya ndani ya miaka miwili iliyopita ya kuiongoza nchi yetu kwa uongozi wako uliotukuka. Hongera sana.
Mama ninakupongeza kwa kukamilisha miaka miwili ya uongozi wa nchi yetu ukiwa kama rais na...
Kuna watu hawaendi Msikitini wala kanisani, ila wako na Imani kubwa mno wako na matendo mema wanasaidia maskini wako na adabu wanamuheshimu kila mtu wenye dini zao na watu tofauti.
Unajilipua... unategemea upate pepo ya Muumbaji inakuingia akilini kweli? Waliotetea waafrika hawapo kwenye vitabu...
Amani ya Bwana iwe nanyi nyote,
Ndugu zangu, Pamoja na pilikapilika na mihangaiko ya kutafuta mkate wa kila siku, inatupasa kuendelea
kumtumikia Mungu mwenyezi aliyeziumba mbingu na nchi na vitu vyote tuvionavyo na tusivyo viona,
Simu zetu zimekuwa karibu zaidi kuliko vitabu vitakatifu vya...
Habari za sasa hivi.
Nimemaliza chuo degree ya uhasibu nataka niende kusoma CPA kwahiyo nilikuwa nauliza gharama ya kusoma hiyo CPA kwenye intermediate level itacost sh ngapi?
Natanguliza shukrani za dhati kwenu wote
Nimechaguliwa kusoma chuo nchini China kiitwacho Tianjin University na course niliyochaguliwa ni Mechanical Engineering and Automation ila wameniambia inafundishwa kwa Kichina na inabidi nisome mwaka mmoja Kichina then niendelee na masomo.
Nilikuwa nauliza inachukua muda gani kukielewa Kichina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.