Thailand
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 262
- 778
Habarini ndugu,
Namshukuru Mungu niliomba
chuo kipo England (Norwich city) kinaitwa University of East Anglia (UEA) course niliyo kubaliwa Masters of science in Economics and Data science kwa mwaka mmoja. Napenda sana hizo mambo za uchumi, changamoto nimepata ufadhili pound £4000 ila nimecheck gharama ya kusoma course hiyo hapo chuoni ni pound £ 19000. Sasa hiyo deficit ya £15000 ndo inanitoa jasho hapa.
Naombeni ushauri au msaada nachangamkiaje hii fursa ndugu zangu. Na vipi kuhusu mipango ya serikali kusomesha watu wake nje ya nchi bado ipo?