Msaada: Ufahamu juu ya Kozi ya Bachelor of Public Health inayotolewa Chuo cha Makerere pamoja na hali ya ajira

Gotze Giyani

Senior Member
Feb 28, 2022
121
180
Wadau habari za muda poleni na majukumu na changamoto za hapa na pale zikiwepo za mkataba wa kubinafsisha bandari kwa DP world.

Mambo yasiwe mengi, nimevutiwa na Course ya Public Health inayotolewa Makerere University. Kwa anayeijua hiyo kozi vizuri naomba ufafanuzi ikiwepo kazi gani mtu akimaliza atafanya. Je, unaweza kufanya kazi kwenye Mashirika ya Kimataifa na kuhusu ajira.

Hilo sio kipaumbele ila nimetaka tuu kuijua kiundani nisikurupuke, baadaye nikajilaumu. Msaada wenu ni muhimu sana wadau na ukizingatia hakuna chuo nchini wanatoa Bachelor yake, ni kuanzia Masters.

Karibuni.
 
Wataalamu wanasema kwa tz unsweza kusoma program ya bsc enviromental health sciences ya muhimbili na haipishani sana na public health unayoulizia. Cheki prospectus ya muhas halafu linganisha na hiyo ya uganda. Baada yz enviromental health unaweza kuchukua masters ya public health.
 
Back
Top Bottom