Utafanya nini ili uwe na hamasa ya kusoma?

Wakati nasoma nilikuwa nikikutana na hali kama yako ya kutokuwa na mzuka wa kusoma sisomi kweli

Natumia huo muda kufanya yale napenda na kupumzika/kurelax sana huku nikienda darasani kama kawaida
Jaribu kufanya hayo,yanaweza kukusaidia kama ilivyokuwa kwangu

Ni hali ya mpito
 
Hali kama hio nilikutana nayo mwaka wa pili.

Ulipofika mwaka wa tatu mzuka ukarudi
 
Wakati nasoma nilikuwa nikikutana na hali kama yako ya kutokuwa na mzuka wa kusoma sisomi kweli

Natumia huo muda kufanya yale napenda na kupumzika/kurelax sana huku nikienda darasani kama kawaida
Jaribu kufanya hayo,yanaweza kukusaidia kama ilivyokuwa kwangu

Ni hali ya mpito
Asante sanaa nitazingatia hili
 
Wakuu nimejikuta nimekuwa mvivu sana hasa kwenye mambo ya kusoma, sina mood kabisa sijui nifanye nini.

Hamna ninachowaza useme hela au mapenzi, hamna chochote, nipo tu yaani sielewi japo nahudhuria lecture na kuelewa vizuri ila kusoma ndio imekuwa shida.
Ukiendelea hivi soon unatuletea mjomba
 
Nasoma law mwaka wa pili na kama mnavojua sheria usipokaza unalala yooo .....sasa dah hehhee yan nacheka tu ila sijui
Yaani upo law school na unagamble na books eti mood , hehehe life is truly funny ...unless umetoka familia Ina hela ,otherwise nlipokuwa law school nlikuwa nikikumbuka shida iliyopo nyumbani usingizi unaisha
 
Back
Top Bottom