Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 798
- 843
Ukweli mchungu, mwaka 2015 hakuna ambaye angedhani kuwa Trump angepata nominee ya Republican, ata Obama alibeza kuwa Trump ata nominee hatapata, lakini sote tunajua kilichotokea.
Mwaka 2016 Trump alipata kura 62m (popular votes) akashinda urais.
Mwaka Jana alipata kura 74m (popular votes) so kura zake zilipanda (tofauti na incumbent president wengine like Obama) ambao term ya pili kura zao zilipungua.
Sahivi Trump anafanya mikutano America nzima, ana wafuasi wengi Sana, na ukisikiliza points zake zinapendwa kweli na ni za ukweli, simuoni mtu yeyote kwenye Republicans ambaye anaweza mzidi Trump kwenye nomination.
Upande mwingine Democrats wanamuogopa Sana Trump, mwaka 2016 walimdharau Ila akawashangaza.
Kwa ninavyoona Bado Trump atashida 2024.