Ukimshitaki Mzigua mkapelekana hadi Mahakamani, uwezekano wa Kushinda kesi ni zero percent

Bingwa Mara 4

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,353
2,000
Nakwambia ukweli,

Uchawi wa Mzigua kwenye kesi ni hatari sana.

Ukishtakiana na Mzigua tegemea kushindwa vibaya sana! Kama wewe si mzigua mwenzie, au hutokei Tanga huko ndio balaa sasa

Kesi ya mzigua utasikia mashahidi wameshindwa kuongea, wamekuwa viziwi ila wakitoka nje ya mahakama wanaongea.

Utasikia File la kesi husika halionekani

Utasikia hakimu akiingia kwenye chumba cha kesi anabanwa na tumbo la kuhara.

Utasikia mashahidi wote wanakukana yani hatari tupu

๐ฆ๐›๐š๐ฅ๐ข ๐ง๐š ๐ฏ๐ข๐ฆ๐›๐ฐ๐š๐ง๐ ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š ๐ฆ๐š๐ก๐š๐ค๐š๐ฆ๐š๐ง๐ข,
ukizinguana na mzigua huku uraiani kama kugombea shamba, basi hilo shamba halitokaa liivishd zao lolote lile!!

Mzigua kama alivyo Muha kutoka Kigoma, ana uwezo wa kulima shamba na akaivisha katika eneo ambalo ni makazi ya nyani, na hao nyani wasiguse shamba lake ๐ข๐ฅ๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐‰๐ข๐ซ๐š๐ง๐ข ๐ค๐ฎ๐ค๐š๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ง๐š๐ฅ๐ข๐ฐ๐š ๐ค๐ข๐ฅ๐š ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ

๐Œ๐ณ๐ข๐ ๐ฎ๐š, ukimuibia kuku, atakuacha umpike na umle! baada ya hapo atakufanyia kitu hutakaa usahau duniani. Kuku ataanza kuwika tumboni huko mpaka ukaombe msamaha!

Ukiishi Tanga huko uwe makini.

Mfano Handeni huko unaambiwa waganga ni wengi mno, kila baada ya nyumba 2, ya tatu ni ya mganga!

Screenshot_20210921-072906.png
 

agprogrammer

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
466
500
Muamini MUNGU shida ya hao jamaa wivu na uvivu nipo Wilaya ya Kilindi nalima nimeshaanzisha miradi kadhaa kwenye shamba langu figisu zao ni nyingi ila wanashangaa navyokomaa, mpaka kutoboa kikubwa usiwape nafasi wakujue kwani watatumia madhaifu yako.
 

uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
6,135
2,000
Muamini MUNGU shida ya hao jamaa wivu na uvivu nipo Wilaya ya Kilindi nalima nimeshaanzisha miradi kadhaa kwenye shamba langu figisu zao ni nyingi ila wanashangaa navyokomaa, mpaka kutoboa kikubwa usiwape nafasi wakujue kwani watatumia madhaifu yako.

Either wewe mshirikina sana unawazidi au unapiga sala sana, kawaida? Hutoboi hapo Kilindi...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom