kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusoma 12

    Je tume ya Chande itakutana na wanahabari baada ya rais Samia kusema ripoti ni mali yake binafsi na hapaswi mtu kuidai?

    Tulisikia mwenyekiti wa tume ya matukio baada na wakati wa uchaguzi mzee Mohamed Othuman Chande ya kwamba tume imepanga kukutana na wanahabari ili kujibu na kutolea ufafanuzi wa hoja na maswala yaliyomo ndani ya ripoti. Cha kushangaza na kushitua ni pale Samia aliposema ripoti ya tume ni mali...
  2. Funny boe

    Kwanini watu maskini hupenda kusema “hela si kila kitu”?

    Nimegundua hii kauli hutoka zaidi kwa watu ambao hawana hela sana. Je ni kweli kwamba hela si muhimu sana, au ni njia ya kujifariji tu? Na kama si kila kitu, basi ni kitu cha ngapi? Naomba mjadala wa wazi bila hasira 😄
  3. R

    Kwako Godbless Lema: Kutana na Lisu kujua kama kweli Lisu alimtuma kusema aliyosema

    Tafuta any means kutembelea Lisu kupata ukweli wa alichokisema Lisu! Inaonekana Kisabo anataka kuleta ushenzi! Tafuta any means kujua ukweli wa Lisu!
  4. MK254

    Baada ya ushindi wa kuokoa rubani, Trump aingiwa na mzuka na kutukana na kusema anaipa Iran hadi jumanne

    Jamaa amechafukwa, ameingiwa na mzuka anatukana na kutoa onyo kama kesho jumatatu itapita bila Iran kuachia mfereji, ataangusha humo mavitu ambayo mpaka leo Iran hawajawahi kuyaona, nchi itakua kiza tupu kote, atapiga umeme na madaraja yote na kurudisha Iran mbali............ Warning: The below...
  5. M

    Kanusho la Dorothy Gwajima kuhusu kuzushiwa kusema Polepole alikuwa rafiki wa kweli linaongea mengi sana

    Kwanza kabisa sikubaliani na watu wanaosambaza uzushi wa aina yoyote ikiwemo kuwalisha watu maneno kwa njia yoyote ile, ila pia nadhani Gwajima alitakiwa kukanusha uzushi kwa maneno mafupi sana kuwa, Sijawahi kutoa kauli hiyo na pia si sahihi kusambaza taarifa za uzushi iwapo kulikuwa na ulazima...
  6. A

    Kamati ya Dino na Maridhiano Hawana la Kusema au kushauri suala la Lissu

    Dini zote kitu cha Kwanza ni kuhubiri Haki, kama za Yatima, Wajane n.k. sasa hivi nchi yetu ina Kesi ya "Uhaini" ambayo Kwa sasa imesimama Kwa muda Mrefu tokea ilipo aanza, hivyo kusababisha Haki za msingi za mtuhumiwa kuvunjwa. Mtuhumiwa yupo tayari kesi iiendele ili haki iweze kutendeka na...
  7. Ngurukia

    Mufti anapata faida gani kusema uongo kuhusiana na mwandamo wa mwezi?

  8. Fbn

    Mchango wa magufuli kwa serikali msije kusema shetani wala wachawi,Naona wengi wanakipata

    Ukweli ni kwamba mtu mwenye malengo ya pesa ya kusema kwa kwa kwinywa chake leo ni marehemu na kupa pole. Hii pesa 2030 ya watanzania kuna watu naona ndoto zao sio utani ,maana wengine wanajionesha wazi wazi na wazi. kuna nyimbo ya solo inaitwa shangazi kaja
  9. ngara23

    Polisi wanadhani ni sifa kuogopwa? Wamewakamata BAWACHA Kwa kusema tu hawaogopi polisi

    Yaani polisi wanafurahi kuonea wanaogopwa badala ya kuwa rafiki na ukaribu na raia Yaani mtu akisema haogopi polisi anakamtwa? Kwanini polisi wanataka wananchi waogope chombo Chao cha kulinda raia na Mali zetu
  10. The Palm Beach

    Jaji Mstaafu Chocha alionya miaka 9 iliyopita kusema: "Tundu Lissu si mtu wa kawaida". Leo Taifa linashuhudia kutimia kwa onyo hili

    LISSU SI MTU WA KAWAIDA: Jaji Alionya, Taifa Linashuhudia! 👉Huyo ndiye Tundu Lissu mashine iliyomeza vitabu vya sheria na kuvimeng’enya hadi kuwa silaha ya haki. Kama ingekuwa ni hadithi za vitabuni, watu wangedhani hiki kichwa ni AI au mhusika wa kufikirika. Lakini leo, kukaa kwake mahabusu...
  11. A

    Kusema Shahidi hajui Kiingereza ni kuizalilisha elimu yetu.

    Bila kuathiri mwenendo WA Kesi na bila Kujua , Mwendesha Mashtaka na shahidi wamekuja na mkakati wa kusema kwamba Shahidi-Polisi hajui kiingereza hivyo PGO alishindwa kuifuata inavyo taka. Sasa hapo ni kulitusi geshi la Polisi na Elimu yetu na sirikali yetu tukufu kwamba haijui inachofanya...
  12. R

    Polisi nanyi hamuaminiki milele, taarifa hii hakuna mwenye akili anaweza kuiamini kutokana na matendo ya kuteka watu na kusema hamuhusiki

    Polisi hamuaminiki. Mmeteka watu maelfu mnasema hamihusiki, at the end of the day inafahamika pasi shaka kuwa you are the CULPRITS. Soka yuko wapi wakati aliripoti Chang'ombe na mkasema hamuhusiki.
  13. H

    Watu wenye ushawishi nchini kujitokeza hadharani na kusema wanayoyasema mbele ya media ni sahihi ? Wamewakosa chemba viongozi husika?

    Watu wenye ushawishi wanapoongea hadharani na kutumia maneno yenye kuleta taharuki mara nyingi wanaonekana kuzungumza moja kwa moja kwenye media badala ya njia rasmi. Je, hii ni kwa sababu hawajui njia sahihi za kufikisha malalamiko kwa viongozi husika, au tayari wamejaribu njia hizo na...
  14. X

    ByteDance wamekuja na A.I inayoitwa Seedance 2.0 inatengeneza video bora unaweza kusema ni video halisi. Soko la watengeneza filamu liko mashakani?

    Kwa sasa kwenye ulimwengu wa AI gumzo duniani ni Seedance 2.0 Hapa Wachina wa ByteDance ambao ndio wamiliki wa TikTok wamekuja kuweka rekodi ya dunia. Ukibahatika kuziona video za AI zilizotengenezwa na Seedance 2.0 utagundua ByteDance they are miles ahead. Miongoni mwa clips zilizotia fora...
  15. Zee la madawa

    Mtu unapataje nguvu kusema Wachaga ni wabinafsi na wana roho mbaya?

    Napata shida kuwaelewa watu au ni chuki tu kwa hawa wachaga au nini utakuta mtu anasema au anadiriki kuzungumza kwamba wachaga ni wabinafsi na wachoyo wanapendeleana wao kwa wao how kivipi? Kiukweli nimefanya kazi na wachaga kiukweli wachaga ni watu poa sana kuliko wale watu kanda ya ziwa mimi...
  16. Wakili wa shetani

    Kusema ukweli nchi ya Rwanda ni nzuri sana

    Nimekuwa nafuatilia video za nchi ya Rwanda, hata za huko vijijini. Kwa kweli hii ni nchi nzuri sana. Baada ya miaka kumi ikiendelea hivi itakuwa muonekano wa nchi za Ulaya hata kuzidi. Kila kitu unaona kimepangwa na wapangaji wanaojali watu wao. Mambo yote yanaonyesha kuwa kuna order...
  17. Mikopo Consultant

    Kwa nilichokiona Morogoro, ni sahihi kusema Serikali ya CCM inachelewesha maendeleo ya huu mkoa kwa makusudi kabisa!

    Nina mwaka wa nne kwenye huu mkoa sasa. Tangu nifike hapa kwa mara ya kwanza nilikuwa mtembezi sana, ili kufahamu maeneo, uchumi, na tabia za wenyeji wa huu mkoa. Niligundua mambo yafuatayo: 1. Wenyeji ni watu wasio na makuu na waungwana (kama tu tabia za Wazaramo na makabila ya Pwani), ni...
  18. Mshana Jr

    Makinikeni na huu utapeli wa FB

    Soma hili tangazo We are moving back to our country and we've decided to sell our household items and appliances. Text me via WhatsApp for more info: +44 7360686752 Pick up or can help deliver at an extra fee. Thank you. Wanajifanya ni foreigners wanaondoka nchini hivyo wanauza vitu vyao vya...
  19. Mshana Jr

    Je hii inafaa kusema tenda wema uende zako?

    Kisa Kinachosambaa sasa nchini Misri.. Vyombo vya habari nchini Misri vimesambaza kisa cha kusikitisha cha daktari mmoja aliyetumia zaidi ya miaka 30 akifanya kazi nje ya nchi yake, akiwa nchini Saudi Arabia, akipambana kujenga mustakabali wake na wanawe. Katika kipindi cha miaka 16 pekee...
Back
Top Bottom