Unaelewa maana ya kila kitu kwanza ?Wa kwanza huyu hapa
Aya tupe majibu sasa ya maswali yote hapo juu
Wewe unaonaje kuhusu hela?Naelewa
Ukimaanisha kuwa na mimi ni masikini? Aaaah katika hili unanilosea sana mkuuKwa sababu hawana experience na pesa.
Alafu kwa profile yako inaonesha ndani una kiporo cha wali cha juzi, umekiweka sakafuni ili kipate ubariidi kisiharibike mapema ili kesho ukimalizie na chai flat
Naunga mkono hojaKwa sababu hawana experience na pesa.
Alafu kwa profile yako inaonesha ndani una kiporo cha wali cha juzi, umekiweka sakafuni ili kipate ubariidi kisiharibike mapema ili kesho ukimalizie na chai flat
Unasema hivyo kwa sababu haujawahi kuwa na hizo pesa nyingi , ili uweze kuona sio kila kituPesa sio kila kitu ila pesa NYINGI NI KILA KITU katika huu ulimwengu
ela muhimu ila wengi wapenda haki na utu fedha si kipaumbele chao!Nimegundua hii kauli hutoka zaidi kwa watu ambao hawana hela sana.
Je ni kweli kwamba hela si muhimu sana, au ni njia ya kujifariji tu?
Na kama si kila kitu, basi ni kitu cha ngapi?
Naomba mjadala wa wazi bila hasira
Sawa bhana, umeamua kunitaja waziwazi mkuu!😁😁Kwa sababu hawana experience na pesa.
Alafu kwa profile yako inaonesha ndani una kiporo cha wali cha juzi, umekiweka sakafuni ili kipate ubariidi kisiharibike mapema ili kesho ukimalizie na chai flat