Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,028
- 6,869
Wakati ukarabati wa Dimba la Benjamin Mkapa ukiendelea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya AFCON 2027, baadhi ya mafundi wanaofanya kazi hiyo wamefukua vitu vya ajabu vinavyodhaniwa kwamba vilizikwa katika Uwanja huo mkubwa na maarufu zaidi nchini kwa imani za kishirikina.
Hata hivyo, mafundi hao wamesema kazi ya ukarabati inaendelea vizuri licha ya kukutana na vitu vya aina hiyo katika eneo la ujenzi.
Hata hivyo, mafundi hao wamesema kazi ya ukarabati inaendelea vizuri licha ya kukutana na vitu vya aina hiyo katika eneo la ujenzi.