kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ngurukia

    JamiiForums Tanzania Mufti anapata faida gani kusema uongo kuhusiana na mwandamo wa mwezi?

  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mchango wa magufuli kwa serikali msije kusema shetani wala wachawi,Naona wengi wanakipata

    Ukweli ni kwamba mtu mwenye malengo ya pesa ya kusema kwa kwa kwinywa chake leo ni marehemu na kupa pole. Hii pesa 2030 ya watanzania kuna watu naona ndoto zao sio utani ,maana wengine wanajionesha wazi wazi na wazi. kuna nyimbo ya solo inaitwa shangazi kaja
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Polisi wanadhani ni sifa kuogopwa? Wamewakamata BAWACHA Kwa kusema tu hawaogopi polisi

    Yaani polisi wanafurahi kuonea wanaogopwa badala ya kuwa rafiki na ukaribu na raia Yaani mtu akisema haogopi polisi anakamtwa? Kwanini polisi wanataka wananchi waogope chombo Chao cha kulinda raia na Mali zetu
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Jaji Mstaafu Chocha alionya miaka 9 iliyopita kusema: "Tundu Lissu si mtu wa kawaida". Leo Taifa linashuhudia kutimia kwa onyo hili

    LISSU SI MTU WA KAWAIDA: Jaji Alionya, Taifa Linashuhudia! 👉Huyo ndiye Tundu Lissu mashine iliyomeza vitabu vya sheria na kuvimeng’enya hadi kuwa silaha ya haki. Kama ingekuwa ni hadithi za vitabuni, watu wangedhani hiki kichwa ni AI au mhusika wa kufikirika. Lakini leo, kukaa kwake mahabusu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kusema Shahidi hajui Kiingereza ni kuizalilisha elimu yetu.

    Bila kuathiri mwenendo WA Kesi na bila Kujua , Mwendesha Mashtaka na shahidi wamekuja na mkakati wa kusema kwamba Shahidi-Polisi hajui kiingereza hivyo PGO alishindwa kuifuata inavyo taka. Sasa hapo ni kulitusi geshi la Polisi na Elimu yetu na sirikali yetu tukufu kwamba haijui inachofanya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Polisi nanyi hamuaminiki milele, taarifa hii hakuna mwenye akili anaweza kuiamini kutokana na matendo ya kuteka watu na kusema hamuhusiki

    Polisi hamuaminiki. Mmeteka watu maelfu mnasema hamihusiki, at the end of the day inafahamika pasi shaka kuwa you are the CULPRITS. Soka yuko wapi wakati aliripoti Chang'ombe na mkasema hamuhusiki.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Watu wenye ushawishi nchini kujitokeza hadharani na kusema wanayoyasema mbele ya media ni sahihi ? Wamewakosa chemba viongozi husika?

    Watu wenye ushawishi wanapoongea hadharani na kutumia maneno yenye kuleta taharuki mara nyingi wanaonekana kuzungumza moja kwa moja kwenye media badala ya njia rasmi. Je, hii ni kwa sababu hawajui njia sahihi za kufikisha malalamiko kwa viongozi husika, au tayari wamejaribu njia hizo na...
  8. X

    JamiiForums Tanzania ByteDance wamekuja na A.I inayoitwa Seedance 2.0 inatengeneza video bora unaweza kusema ni video halisi. Soko la watengeneza filamu liko mashakani?

    Kwa sasa kwenye ulimwengu wa AI gumzo duniani ni Seedance 2.0 Hapa Wachina wa ByteDance ambao ndio wamiliki wa TikTok wamekuja kuweka rekodi ya dunia. Ukibahatika kuziona video za AI zilizotengenezwa na Seedance 2.0 utagundua ByteDance they are miles ahead. Miongoni mwa clips zilizotia fora...
  9. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mtu unapataje nguvu kusema Wachaga ni wabinafsi na wana roho mbaya?

    Napata shida kuwaelewa watu au ni chuki tu kwa hawa wachaga au nini utakuta mtu anasema au anadiriki kuzungumza kwamba wachaga ni wabinafsi na wachoyo wanapendeleana wao kwa wao how kivipi? Kiukweli nimefanya kazi na wachaga kiukweli wachaga ni watu poa sana kuliko wale watu kanda ya ziwa mimi...
  10. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli nchi ya Rwanda ni nzuri sana

    Nimekuwa nafuatilia video za nchi ya Rwanda, hata za huko vijijini. Kwa kweli hii ni nchi nzuri sana. Baada ya miaka kumi ikiendelea hivi itakuwa muonekano wa nchi za Ulaya hata kuzidi. Kila kitu unaona kimepangwa na wapangaji wanaojali watu wao. Mambo yote yanaonyesha kuwa kuna order...
  11. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona Morogoro, ni sahihi kusema Serikali ya CCM inachelewesha maendeleo ya huu mkoa kwa makusudi kabisa!

    Nina mwaka wa nne kwenye huu mkoa sasa. Tangu nifike hapa kwa mara ya kwanza nilikuwa mtembezi sana, ili kufahamu maeneo, uchumi, na tabia za wenyeji wa huu mkoa. Niligundua mambo yafuatayo: 1. Wenyeji ni watu wasio na makuu na waungwana (kama tu tabia za Wazaramo na makabila ya Pwani), ni...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Makinikeni na huu utapeli wa FB

    Soma hili tangazo We are moving back to our country and we've decided to sell our household items and appliances. Text me via WhatsApp for more info: +44 7360686752 Pick up or can help deliver at an extra fee. Thank you. Wanajifanya ni foreigners wanaondoka nchini hivyo wanauza vitu vyao vya...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je hii inafaa kusema tenda wema uende zako?

    Kisa Kinachosambaa sasa nchini Misri.. Vyombo vya habari nchini Misri vimesambaza kisa cha kusikitisha cha daktari mmoja aliyetumia zaidi ya miaka 30 akifanya kazi nje ya nchi yake, akiwa nchini Saudi Arabia, akipambana kujenga mustakabali wake na wanawe. Katika kipindi cha miaka 16 pekee...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwijaku unataka kusema wewe unaifahamu game na majiji hapa Tz mpaka Dudu baya

    Mtu umetoka zako kijijini ukafika chuo juzi leo unataka kujiona kama umezaliwa DSM. wanaomsikiliza Mwijaku naona akili zenu zipo sawa naye.
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ile kauli kusema katiba ni kijitabu kama mkiendelea naye sio 2035 mpaka kufa kwake

    Penda sana ku note maongezi ya mtu mfano "guys guys guys". Kuna kauli ukiziunganisha utapata mtu ana maanisha nini ?. Mfano kauli zake: "Msipo tuchagua tutaunda serikali yetu sisi CCM" "wale walifanya vurugu sio watanzania" "wazazi mgewafungia wanenu yasinge tokea haya" "Nguvu iliyotumika...
  16. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ila kusema ukweli wavutaji bangi mnatupanga sana

    Bangi ni sigara kama sigara zingine haina uhusiano wowote na uhuni na uchizi kama mnavyotuigizia wavuta bangi. Wakati zinaingia sportsman na Sm wale wavutaji wa kwanza walijidai kulanduka na kuwaka sana hadi ikakaririwa kuwa sportsman na sm, hasa sportsman inasababisha uhuni, kulanduka na wakati...
  17. Clever505

    JamiiForums Tanzania Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

    Uislam umeanzishwa na Muhammad. Kabla yake hapakuwepo mtu hata mmoja aliyekuwa anajiita muislam. Kwenye Hadith zake Muhammad kuna sehemu anajadiliana na wenzake jinsi ya kuitana wakati wa sala ukifika, wengine wanasema waitane kwa kengele kama wakristo, wengine wanasema waitane kwa baragumu...
  18. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Mmekaza kusema wameuawa wameuawa, mbona hamsemi wameuawa wakiwa wanafanya nini? 2026 Linda roho Yako kuliko kitu Chochote

    Nimeanza na maandiko matakatifu yasemayo "Linda moyo wako kuliko kitu Chochote kwa maana ndiko zitokako chemchem za uhai" (2026 dedication) Mnaposema wamekufa muwe mnasema wamekufa wakiwa wanafanya nini ili iwe fundisho na kwa wengine, Je wamekufa kwa UKIMWI, Je wamekufa wakiwa wanaiba na...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli nimeshindwa kabisa kusahau yaliyotokea oktoba29 sitasahau mpaka naingia kaburini!

    Nafanya mengi lakini ile siku ya oktoba 29, 2025 imegoma kutoka kichwani, sitasahau kabisa, nimekata tamaa kabisa ya maisha haya chini ya jua uzalendo wangu wa nchi hii uliishia pale! sina imani na yoyote! Waafrika tunaroho mbaya sana, waafrika sio watu wa kawaida kabisa ni kama kuna laana...
Back
Top Bottom