kusafirisha

  1. Lord Denning

    Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

    Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa...
  2. Msingida

    Kusafirisha Gari dogo toka Dar es Salaam kupeleka Arusha

    Wadau wa usafirishaji, nina rafiki yangu anataka kusafirisha gari dogo toka Dar kupeleka Arusha kwa magari ya mizigo. Naombeni mwongozo, ni wapi usafiri huo kwa Dar unapatikana? Ni salama kwa gari dogo? litafika limebonyezwa na mizigo mingine? gharama inaweza fika kiasi gani? NB:Lina hitilafu...
  3. Equation x

    Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

    Mapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo. Kama mmoja atakuwa na hisia zaidi kuliko mwenzake, huyo lazima awe mtumwa katika hayo mahusiano; atateseka kiuchumi na kifikra katika kumfurahisha mwenzake ili...
  4. BARD AI

    Familia ya aliyefia Uwanjani waomba msaada kusafirisha mwili

    Familia ya marehemu William Ernest aliyefariki jana katika Uwanja wa Taifa alipokwenda kushuhudia mechi ya fainali ya kwanza ya Yanga dhidi ya USM Alger wanaomba msaada wa Serikali na Yanga ili kusafirisha mwili jijini Dodoma. Akizungumza na Mwananchi mtoto wa marehemu Dora William, amesema kwa...
  5. Roving Journalist

    Dar: Raia wa Marekani afungwa miaka 20 jela kwa kusafirisha dawa za kulevya

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imemuhukumu Lione Lionel Rayford raia wa Marekani kifungo cha miaka 20 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin kiasi cha kilo 2.188. Taarifa iliyotolewa leo Mei 27, 2023 na Mamlaka ya Kudhibiti na...
  6. BigTall

    Serikali haitaki kutoa vibali vya kusafirisha mazao Mpaka wa Sirari

    Nipo Border ya Sirari na Kenya, kuna changamoto moja hapa Serikali haitaki kutoa vibali vya kusafirisha mazao kwenda nje ya Nchi ila sasa madali wanapitisha Mahindi njia za panya kupeleka Mahindi Kenya. Je, kwanini Serikali isitoe Vibali ili ipate mapato?
  7. jashmoe32

    Kusafirisha mzigo toka China

    Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa kampuni inayoweza kusafirisha mzigo kutoka China kwa uhakika na kwa gharama nafuu. Ni mashine mbili ambazo zinafit kwenye 1 CBM hivo ingependeza kufahamishwa bei per CBM. Ahsante
  8. BARD AI

    Wafanyabiashara wafikishwa Mahakamani kwa Kusafirisha Heroin kilo 58.62

    Wafanyabiashara watatu, Goodness Remy mkazi wa Salasala, Emmanuel Chigbo Mkazi wa Goba na Paulina Mwanga mkazi wa Kibaha wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na Mashtaka ya Uhujumu Uchumi. Wakili wa Serikali, Frank Michael, ameiambia Mahakama kuwa, washtakiwa walitenda kosa...
  9. Area 56

    Tetesi: Rais Samia atoa ndege kwaajili ya kusafirisha msiba wa Le Mutuz

    Tetesi zilizopo ni kuwa raia namba moja, Rais Samia ametoa ndege maalum kwa ajili ya kusafirishia msiba wa William Malecela "Le Mutuz" atakayezikwa keshokutwa Mvumi huko Dodoma. Ndege hiyo itabeba watu takribani 70 ikiwa ni pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kuwatoa Dar na kuwapeleka Dodoma kwa...
  10. Ironbutterfly

    Kusafirisha Watuhumiwa kwenye Usafiri wa Umma

    Habari za mida hii wakuu, Mida ya saa 7 mchana nilikuwa natokea Nzega kwenda Singida, ila kwakuwa kuna kijiji hapo kati nilitakiwa kuonana na mdau mmoja wa bomba la mafuta anipatie documents fulani hivi, so nilipanda usafiri wa daladala/hiace. Tumefika maeneo ya Nkinga Hospital kituo cha bus...
  11. Akabi kemanya

    Msaada kwa mwenye uzoefu wa kampuni ya kusafirisha mizigo

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri, Nielekee kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Mimi natami kuanzisha kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani ya nchi ila changamoto kubwa kwangu sina uzoefu wa hii kazi kwa mwenye uzoefu tafadhari Nivitugani vya kuzingatia kabla na baada ya...
  12. Stephano Mgendanyi

    TANESCO Yapongezwa kwa Kuzalisha, Kusafirisha na Kusambaza Umeme Nchini

    TANESCO YAPONGEZWA KWA KUZALISHA, KUSAFIRISHA NA KUSAMBAZA UMEME NCHINI. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepongeza uongozi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kwa jitihada zake za uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme nchini. Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge...
  13. BARD AI

    Serikali yakanusha Madereva kufariki kwa kusafirisha Kemikali za Sumu

    OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali na wasafirishaji wa kemikali wamesema hakuna dereva anayepoteza maisha kwa kuathiriwa na kemikali kutokana na uhifadhi usiofaa wakati wakusafirisha. Ufafanuzi huo umetolewa Mara baada ya kusambaa kwa video katika mitandao ya kijamii iliyorekodiwa na raia wa nchi...
  14. GIRITA

    Msaada kuhusu kusafirisha parcel kutoka Marekani

    Salaam wakuu. Naomba kusaidiwa na yeyote humu ambaye ni mzoefu wa kusafirisha percel kutoka Marekani kuja Tanzania, kwa kutumia makampuni kama DHL na mengineyo hasa napenda kufahamu gharama za kusafirisha simu, ziko mbili kutoka Ohio Cleaveland kuja Tanzania ina gharimu kiasi gani KWA uzoefu...
  15. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme katika Mradi wa JNHPP Yafikia 92%

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa, Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Bwawa la Julius Nyerere hadi Chalinze pamoja na ujenzi wa Kituo cha kupoza umeme cha Chalinze ambapo ujenzi wa njia ya...
  16. D

    Wakuu nipeni ramani ya kusafirisha vitu vya nyumbani kutoka Magu-Mwanza hadi morogoro

    Naomba kupata connection ya kuweza kusafirisha vyombo vya nyumbani kutoka magu kwenda morogoro. Hasa nikitegemea magari yanayotokaka mara au musoma yanayorudi bila mzigo, pia Kama kuna gari ya uhakika kuanzia mwanza nistueni nisogeze mzigo
  17. Hemedy Jr Junior

    Njia 3 zinazotumika kusafirisha madawa ya kulevya kwa siri .

    Ushoga dili,kumbe wengine washafirishaji wa madawa ya kulevya sikia hii. Leo ni siku nyingine tena katika chanel hii hapa unapata elimu na BURUDANI kwa kina kabisa. Tuanze na habari kuhusu ushoga. Ushoga ni nini? Ushonga ni hali ya kutamaniana we mwenyew angali wote. Mko na jinsia moja MWANAUME...
  18. peno hasegawa

    Bunge lisitishe kusafirisha abiria usiku, hali sio shwari

    Nimesema tu, wenye mabasi waendelee kuchangia Vinginevyo abiria wanao safari usiku wawe na Bima kubwa
  19. M

    Nahitaji kusafirisha vitu vya ndani kutoka dar es salaam kwenda Songea!

    Naombeni msaada ni njia gani cheap na salama naweza kutumia Kusafirisha vitu ya ndani kutoka Dar es salaam Hadi Songea!🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Na Bei za usafirishaji zipoje?
  20. R

    Nahitaji kusafirisha mazao kutoka Karagwe mpaka Dar es Salaam

    Habari wakuu, Naomba mwenye usafiri au mwenye kujua bei za kusafisha mazao kutoka Karagwe kwenda Dar anijuze ni shilingi ngapi kwa gunia la kilo 100. Asanteni
Back
Top Bottom