Familia ya aliyefia Uwanjani waomba msaada kusafirisha mwili

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
Familia ya marehemu William Ernest aliyefariki jana katika Uwanja wa Taifa alipokwenda kushuhudia mechi ya fainali ya kwanza ya Yanga dhidi ya USM Alger wanaomba msaada wa Serikali na Yanga ili kusafirisha mwili jijini Dodoma.

Akizungumza na Mwananchi mtoto wa marehemu Dora William, amesema kwa sasa hali ya familia siyo nzuri hivyo wanaomba msaada ili wakampumzishe baba yao nyumbani kwao Mvumi Mission, Dodoma.

Amesema marehemu alikuwa shabiki mkubwa wa Yanga na siyo mara yake ya kwanza kuhudhuria kwenye mechi za yanga pindi inapocheza akiwa na mashabiki wenzie kutoka Morogoro.

"Baba alikuwa anaipenda sana Yanga anaweza asifike nyumbani akaenda kuangalia mechi bila kuonana na sisi na hata mechi ya jana alikuwa amekuja akitokea Morogoro na aliondoka nyumbani asubuhi," alisema Dora.

Pia, amesema taarifa za msiba walizipata saa 1 jioni kutoka kwa Dk Kimaro akiwataka waende kumuona Willium kwani anaumwa na alipata majeraha sehemu ya kichwani kutokana na mkanyagano.

Naye shemeji wa marehemu Grace Lucas amesema wamepata pigo sababu marehemu ndiye tegemeo la familia na ana watoto wanaosoma.

"Mke hana kazi na hapa tulipo wamepanga hivyo hatuna chakula na mchana majirani walitusaidia ila jioni yetu hatuijui," amesema Grace.

Kuhusu klabu ya Yanga, Mwananchi limemtafuta meneja wa mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe ambaye amesema wameshawasiliana na familia kuona ni jinsi gani watakavyosaidia.

"Leo asubuhi tumekutana na ndugu wa marehemu katika Kituo cha Polisi Chang'ombe na tumewaambia kesho kama uongozi tutafika eneo la tukio kwa ajili ya kutoa rambirambi," amesema Kamwe.

Willium alikuwa anajishughulisha na uuzaji wa nyama Morogoro na Dodoma na ameacha mke na watoto wanne ambao wawili ni wanasoma shule ya msingi.

MWANANCHI
 
Mnasafirisha kwani hapo hilipo maiti hakuna udongo?
 
Kweli mtu unahangaika na mpira ilihali jioni tu familia haielewi itakula nini? Yaani hakuna balance hata ya siku 1 mbele bank? Duuh , unasafiri toka Moro kwa ajili ya mpira badala ya mishe za kukuingizia kipato kusingatia hali ulionayo ya umasikini?
 
Little education is very dangerous.....walisema wazungu wa kale...
Mimi decisions making zangu mara Kwa mara Huwa zinanikataza kwenda kwenye mahalaiki ovyo ovyo......

Wengine huko mbagala wanavyo gombania daladala kama wrestling 😊😊

Je? Angeangalia mechi vibanda umiza huko huko Moro au Dom asinge pungukiwa kitu....Sema NDIO hatuzijui dakika za mbele za maisha yetu....

R.i.p willy Umepigana vita vilivyo vyema,Imani Umeilinda, umeumaliza mwendo upumzike Kwa amani.
 
Familia ya marehemu William Ernest aliyefariki jana katika Uwanja wa Taifa alipokwenda kushuhudia mechi ya fainali ya kwanza ya Yanga dhidi ya USM Alger wanaomba msaada wa Serikali na Yanga ili kusafirisha mwili jijini Dodoma.

Akizungumza na Mwananchi mtoto wa marehemu Dora William, amesema kwa sasa hali ya familia siyo nzuri hivyo wanaomba msaada ili wakampumzishe baba yao nyumbani kwao Mvumi Mission, Dodoma.

Amesema marehemu alikuwa shabiki mkubwa wa Yanga na siyo mara yake ya kwanza kuhudhuria kwenye mechi za yanga pindi inapocheza akiwa na mashabiki wenzie kutoka Morogoro.

"Baba alikuwa anaipenda sana Yanga anaweza asifike nyumbani akaenda kuangalia mechi bila kuonana na sisi na hata mechi ya jana alikuwa amekuja akitokea Morogoro na aliondoka nyumbani asubuhi," alisema Dora.

Pia, amesema taarifa za msiba walizipata saa 1 jioni kutoka kwa Dk Kimaro akiwataka waende kumuona Willium kwani anaumwa na alipata majeraha sehemu ya kichwani kutokana na mkanyagano.

Naye shemeji wa marehemu Grace Lucas amesema wamepata pigo sababu marehemu ndiye tegemeo la familia na ana watoto wanaosoma.

"Mke hana kazi na hapa tulipo wamepanga hivyo hatuna chakula na mchana majirani walitusaidia ila jioni yetu hatuijui," amesema Grace.

Kuhusu klabu ya Yanga, Mwananchi limemtafuta meneja wa mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe ambaye amesema wameshawasiliana na familia kuona ni jinsi gani watakavyosaidia.

"Leo asubuhi tumekutana na ndugu wa marehemu katika Kituo cha Polisi Chang'ombe na tumewaambia kesho kama uongozi tutafika eneo la tukio kwa ajili ya kutoa rambirambi," amesema Kamwe.

Willium alikuwa anajishughulisha na uuzaji wa nyama Morogoro na Dodoma na ameacha mke na watoto wanne ambao wawili ni wanasoma shule ya msingi.

MWANANCHI
Ikiwa bure kwa mkapa uo ni mtego maana mtakula virungu mixer mitama then unaingia garama kubwa zaid ya kiingilio ambacho ungeingilia
 
Little education is very dangerous.....walisema wazungu wa kale...
Mimi decisions making zangu mara Kwa mara Huwa zinanikataza kwenda kwenye mahalaiki ovyo ovyo......

Wengine huko mbagala wanavyo gombania daladala kama wrestling

Je? Angeangalia mechi vibanda umiza huko huko Moro au Dom asinge pungukiwa kitu....Sema NDIO hatuzijui dakika za mbele za maisha yetu....

R.i.p willy Umepigana vita vilivyo vyema,Imani Umeilinda upumzike Kwa amani.
Huwezijua kwanini alikuwa na kihemuhemu cha kwenda Mkapa stadium maana kifo ni fumbo na kila Mtu ataondoka kwa siku aliyoandikiwa na Mwenye pumzi ya kila kiumbe na chanzo/sababu kuu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ni kwel Nilienda sehemu Ile dogo kasogea kidogo alipokua amekaa lika anguka bango ambalo lingeweza kumtoa uhai..................
Tujui hata nukta yetu mbele....All in all Mungu atupe mwisho mwema........
 
KIFO NI FUMBO WAPI... KUNA UMRI UKIFIKA INABIDI UKUE KIAKILI SIO UNAKUA MIAKA TU SASA KWA UZEE WAKE YULE NI MDA WA KUHANGAIKA NA MIPIRA NA KAMA ALIKUWA ANATAKA MPIRA SI ANGEANGALIA NYUMBANI KWAKE.

MUNGU HAPENDEZWI NA KIFO CHA MPUMBAVU.
 
Back
Top Bottom