kusafirisha

  1. kunguni wa ulaya

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa umma watakiwa kubeba abiria kwa idadi ya viti 'Level Seat' ili kupambana na mlipuko wa Virusi Corona

    Katika mikakati ya kupambana na ugonjwa wa Corona (Covid-19) serikali kupitia Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani linasimamia kuhakikisha kila gari ya abiria inabeba abiria kulingana na idadi ya siti zilizopo. Mfano leo huku Wilaya ya Kigamboni ikitokea daladala imejaza zaidi ya...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Namibia yapeta kusafirisha nyama Marekani

    Nchi ya Namibia imekuwa Nchi ya kwanza kutoka Africa kwa kuweza kusafirisha nyama kwenda USA . Shehena ya kwanza ya nyama tani 25000 inaondoka mwezi huu. Tanzania tunaweza kufanya biashara ya nyama kama tukiamua kwani tuna maeneo mazuri sana ya kufugia ng'ombe . Botswana pia ni nchi nyingine...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu tisa wa Kenya wakamatwa Dodoma Tanzania

    Polisi mkoani Dodoma nchini Tanzania limewakamata wahamiaji haramu tisa ambao ni raia wa Kenya kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria katika matukio mawili tofauti. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Februari 15, 2000, Kamanda wa polisi mkoani Dodoma, Gilles Muroto amesema...
  4. Alex Fredrick

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wasiotutakia mema wanatumia Asasi za Kiraia na NGO kutuhujumu ili kufifisha jitihada zetu kujikomboa kiuchumi kwa maslahi yao binafsi

    Kuna hujuma dhidi ya jitihada za Serikali zinazofanywa na baadhi ya wasioitakia mema Tanzania zikilenga kufifisha jitihada zetu za kujikomboa, kiuchumi kwa maslahi yao binafsi, kamwe hawataki kuona tunadhibiti rasilimali walizokuwa wakivuna na kusafirisha bila kuulizwa. Wanaotuhujumu...
  5. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaosafirisha mizigo toka Ujerumani

    Ndugu yangu anauliza kama kuna watanzania au wana East Africa ambao wanasafirisha mizigo toka Germany hadi Arusha, Tanzania. Anataka kusafirisha rims ambazo kwa usafiri wa kampuni kama DHL au Fedex au EMS utagharimu sana. Msaada tutani.
Back
Top Bottom