Kusafirisha Gari dogo toka Dar es Salaam kupeleka Arusha

Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
9,738
10,819
Wadau wa usafirishaji, nina rafiki yangu anataka kusafirisha gari dogo toka Dar kupeleka Arusha kwa magari ya mizigo. Naombeni mwongozo, ni wapi usafiri huo kwa Dar unapatikana? Ni salama kwa gari dogo? litafika limebonyezwa na mizigo mingine? gharama inaweza fika kiasi gani?

NB:Lina hitilafu ya engine.

Natanguliza shukrani
 
Wadau wa usafirishaji,nina rafiki yangu anataka kusafirisha gari dogo toka Dar kupeleka Arusha kwa magari ya mizigo.Naombeni mwongozo
ni wapi usafiri huo kwa Dar unapatikana?
.Ni salama kwa gari dogo
.litafika limebonyezwa na mizigo mingine.
.gharama inaweza fika kiasi gani?
Natanguliza shukrani
Kama nzima si akanyage mwenyewe au atafute dereva waende?
 
Back
Top Bottom