Wakuu habarini za humu.
Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza, natafuta gari ya kusafirisha maiti kutoka Dar to Musoma, iwe katika Hali nzuri.
Kwa walio nazo, offer za bei zenu toeni hadharani kwenye comment nitakaefikia nae muafaka nitamfuata DM tukamilishe dili
Kenya Itaanza kusafirisha Maparachichi Yake Nchini China Mwaka Huu
Na Tom Wanjala
Halmashauri ya Kilimo na Chakula nchini Kenya imefanya mabadiliko kwenye matakwa ya maparachichi ya kuuzwa nje ya nchi ili kufikia viwango vya kimataifa vinavyohitajika. Baadhi ya masuala ambayo wakulima wa zao...
Huko Berlin, mji mkuu wa Ujerumani, mkuu wa Wakfu wa Urithi wa Prussian Bw. Hermann Parzinger, na Esther Moombolah wa Makumbusho ya Kitaifa ya Namibia walionyesha sehemu ya mkusanyiko wa sanaa za Namibia kutoka Jumba la Makumbusho la Berlin, 23 kati yao itasafirishwa kwenda Namibia.
Salaam wakuu
Naomba kujua makadirio ya gharama za kupata kibali kuweza kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi.
Je ni gharama gani naweza kuingia katika kufuatilia suala hili.
Kama Kuna mtu ameshawahi kufanya hili au anafanya export hiyo naomba mrejesho wa gharama zake.
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kusafirisha kilo 120 za mirungi.
Kamanda wa Polisi Mkoa Kilimanjaro, Simon Maigwa alipoulizwa na Mwananchi kuhusu madai ya tuhuma hizo alisema anaifuatilia na hakutaka kuingia kwa undani juu ya ukamataji huo...
Habari wakuu?
Kuna rafiki yangu aliniomba nimkaangie buni ya kahawa ya Kilimanjaro nimtumie ujerumani,sasa nimeenda pale postal EMS wamesema hawatumi kahawa mpaka kibali na wenyewe hawajui kinapatikana wapi.
Msaada wakuu kama kuna mtu anakijua hicho kibali Cha Nini na kinapatikana wapi...
Habari wadau, nauliza kama kuna mfanyabiashara yoyote anasafirisha mzigo kutoka Indonesia kuja Tanzania, au anafahamu kampuni yoyote inayosafirisha mizigo kutoka huko kuja huku.
Natanguliza shukrani kwa msaada.
Marekani imemkamata kiongozi wa kundi la yakuza la Japan na wanaume watatu wa Thailand, wakiwatuhumu kwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini na methamphetamine na kujaribu kupata makombora ya kutoka ardhini hadi angani yaliyotengenezwa na Marekani kwa ajili ya makundi yenye silaha huko...
Habari wakuu,
Nimekuwa mzoefu kidogo kuagiza vitu kwa njia ya air kupitia makampuni mbalimbali.
Kwa leo nahitaji mwenye uzoefu wa njia ya meli.
Maana mizigo ya ndege inaenda kwa uzito.
Ila ya meli wanatumia cubic meters.
Naombeni ndondo zake.
Habari wana JamiiForums, naomba msaada wa mawazo kwa aliyewahi kusafirisha nyanya kutoka Moshi, Iringa, Makambako, e.tc kuleta Dar es Salaam naomba anipe mwongozo wa chochote anachokijua kuhusu hii biashara. Natanguliza shukrani zangu.
Na Tom Wanjala
Viwanda vinavyosimamiwa na Wakala wa Maendeleo ya Chai Kenya (KTDA) sasa vitaweza kusafirisha mazao yao kupitia njia ya Reli ya Standard Gauge (SGR) kutoka Nairobi hadi Bandari ya Mombasa kwa ajili ya kusafirishwa nje ya nchi.
Chini ya mpango huo, chai kutoka viwanda...
Mzee mwenye umri wa miaka 71, Patrick Malya amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha mirungi, akiwa ni mshtakiwa wa kwanza mwenye umri mkubwa kuhukumiwa kwa kosa la mirungi.
Adhabu hiyo imetolewa wakati Mkoa wa Kilimanjaro, hasa Wilaya za Rombo, Moshi...
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara imewahukumu watu wawili kati ya watatu kifungo cha miaka 40 jela na kulipa faini ya Sh. 1,517,853,318 baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya.
Hukumu iliyotolewa na Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam aliyeteuliwa...
Wakuu!
Habari ya majukumu.
Naomba msaada wa kampuni ya usafirishaji kwenda Pakistan, gharama kwa mzigo wa nusu kilo, iwe kwa ndege au meli. Mzigo ni iliki.
Natuma sample nusu kilo, akiipenda, nitatakiwa kumtumia kama kilo 100+.
Natanguliza shukrani.
Habari wakuu!
Kama title inavojieleza hapo juu napenda kufahamu ni kampuni gani ambazo zinajihusisha na kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?
Na kama zipo wanatumia njia gani ya anga ama?
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ametangaza kuwa polisi wamemkamata raia mmoja wa Tanzania akihusishwa na usafirishaji wa wahamiaji haramu 16 wa Ethiopia, na kuongeza kuwa mtuhumiwa huyo ni Yohana Adam, mkazi wa Kasumulu katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya.
Matei amesema kuwa...
Hebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow airport UK hivi faida napataje ? Sielewi hii biashara nisaidieni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.