kurudi

Indotyphlops braminus, commonly known as the brahminy blind snake and other names, is a nonvenomous blind snake species found mostly in Africa and Asia, but has been introduced in many other parts of the world. They are completely fossorial (i.e., burrowing) animals, with habits and appearance similar to earthworms, for which they are often mistaken, although close examination reveals tiny scales rather than the annular segments characteristic of true earthworms. The species is parthenogenetic and all known specimens have been female. The specific name is a Latinized form of the word Brahmin. No subspecies are currently recognized.

View More On Wikipedia.org
  1. Katibu mkuu CWT agoma kurudi Temeke kufundisha

    Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imeanza mchakato wa kufungua shauri la nidhamu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japhet Maganga baada ya kutorejea katika kituo chake cha kazi tangu alipotakiwa kufanya hivyo Oktoba Mosi mwaka huu. Maganga ambaye cheo chake ni Mwalimu...
  2. U

    Je, madai ya Nabii Hellen White kuoneshwa saa na siku ya kurudi Yesu yana ukweli wowote

    Wdau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu ya Nabii Mke wa Waadventista Wasabato Hellen G White akidai kuambiwa saa na siku ya kurudi kwa Yesu Kristo katika njozi "As God has shown me in holy vision ... we heard the voice of God like many waters, which gave us the day and hour of Jesus' coming"...
  3. Tetesi: CHADEMA kurudi kwenye maridhiano na CCM

    Baada ya sarakasi nyingi sana za CHADEMA, hatimaye kikao chao cha juzi kimeridhia warudi kwenye meza ya mazungumzo na CCM. CHADEMA wanarudi kwenye meza ya mazungumzo wakiwa wameamua kuachana na akina Mwambukusi, Dkt. Slaa na Mdude CHADEMA kwenye harakati zao za bandari. CHADEMA wameona mgogoro...
  4. Nataka kurudi shule(nisome IT) chuo gani kizuri bandugu?

    Dunia sasa hivi imehamia kwenye ( computer technology) nataka nisome IT, chuo gani kizuri? UCC au VETA? Kama ni ucc branch gani wapo vizuri? (Udsm au Posta?) Nataka kwanza nisome kozi yupi fupi za IT then baada ya hapo ndo nitafikiri nisome certificate then Diploma. Vitu vyangu vingi (...
  5. Ni rahisi sana Afrika (Tanzania) kurudi utumwani

    Kwa jinsi bara la Afrika linavyo endeshwa hasa kusini mwa jangwa la sahara. Huwa naumia sana nikiona kwa jinsi tunajirudisha tena utumwani na kwenye ukoloni. Nchi yangu Tanzania kwa nini viongozi wanarudisha wajukuu zetu kwenye utumwa na ukoloni kila dalili za kurudi kwenye ukoloni zina...
  6. Waathirika wa dawa za kulevya wameanza kurudi kwa kasi mitaani huku baadhi ya vijana wakichezea pesa kama vile zinaokotwa, pana uhusiano?

    Naona kwa sasa ile hali ya wateja wa dawa za kulevya imeanza kurudi kwa kasi, kukutana na mteja sugu yupo sehemu anaskilizia stimu ni kawaida. kile kipindi Magu alipofariki baada ya mwezi hivi kuna boti kubwa sana ya madawa ilikamatwa ile wiki ambayo kulitabiriwa kuwepo kimbunga huko Mtwara...
  7. Wale tuliomaliza darasa la 7 mwaka 2000 kurudi nyuma tujikumbushe ilivyokua siku matokeo ya la 7 yanatangazwa

    Wakuu leo nikiwa natafakari mambo mbalimbali ya maisha nikakumbuka maisha ya shule y msingi. Zilikuwa nyakati za furaha ila pia nikahuzunika nilipowakumbuka classmates waliokuwa vizuri sana kitaaluma ila hawakubahatika kusonga mbele na kidato cha kwanza. Zilikuwa nyakati mbaya sana kwa uhaba wa...
  8. Kwa wale tuliojiajiri, kama umeshawahi kufilisika ulifanikiwa vipi ku bounce back / kurudi upya?

    Inaweza kutokea umeibiwa, umepata ushindani mkali, sheria za serikali zimeathiri unachofanya, umechezewa michezo michafu, umeumwa, n.k. Ukiwa na mshahara angalau unaweza kuugulia kwa wiki kadhaa mshahara ulioisha lakini una uhakika mwezi ujao upo hivyo ni wewe kujitafakari tu jinsi ya kula kwa...
  9. Aliniacha kisa ex wake tena anataka kurudi kwangu

    Wakuu kwanza nikili nimetumia ID nyingine tofauti na ninayotumia. Kuna dada ambaye nilikutana nae na tukawa katika mahusiano kumbe kipindi nimetoka kumtafuta alikua ameachana na huyo ex wake. Sasa katika mahusiano yetu tulipendana sana yeye alionyesha kunijali japo sijui rohoni alikua...
  10. Z

    CCM tukiacha mkatapa wa DP world tunapungukiwa nini? 2025 tutatumia mtutu kurudi ikulu?

    Swala la mkatapa Kati ya Tanzania na DP world limeleta mgawanyiko Kati ya jamii,Dini,siasa na hata kutishia uhai wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar . Niwambie kwamba wananchi hawajamsahau Hayati JPM ,slogun zake,uzalendo wake kwa taifa .ushaidi tumeona .waliyosema watenda kunyea kaburi la...
  11. Kilimanjaro: Precision air PW417 imepaa na kurudi Uwanjani baada ya kutokea tatizo la Injini

    Leo mida ya saa nane na dakika hamsini, ndege ya Precision air yalazimika kurudi before take off Baada ya kugunduaaa hitilafu kwenye ndege! Shukurani kwa Rubani alogundua tatizo mapema. Sasa inasubiriwa marekebisho yaishe ili ipae tena. Ndege ilikuwa inatokea Mwanza kwenda Dar es Salaam...
  12. Tetesi: Dkt. Slaa adaiwa kugomewa kurudi CHADEMA

    Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa, baada ya makovu waliyopitia CHADEMA baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015. Lakini mvutano mkubwa umeibuka, huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha...
  13. Ushauri: Uombaji wa kozi vyuo vikuu Tanzania 2023/2024

    Habari wapendwa, Naomba ushauri nina kijana wangu alimaliza A level mwaka jana ila ilishindikana kwenda chuo kutokana na sababu mbalimbali.Alipata division 1.6 PCB na alipata B flat. Naomba ushauri kijana akasomee kozi gan yenye potential kwa sasa pale muhimbili?
  14. Waarabu waliapa kurudi Zanzibar, Je yanaoendelea ni mapinduzi ya Afrabia?

    Je mnakumbuka kitabu cha Dr. Harith Ghassany aliyeandika kitabu chake cha Kwaheri Ukoloni kwaheri Uhuru, ambacho Mzee wetu Mohamed Said(Yumo humu) alikuwa ni research assistant wa kitabu hicho. Mzee wangu Mohamed Said najua una mengi ya kuzungumzia kitabu kile ambacho kwa kiasi kikubwa...
  15. H

    Hivi ukitoa hela kwenye ATM halafu ukaiacha pale kwenye kibox chake inaweza kurudi ndani kama card?!

    Salam.. Sijawahi kujaribu au kama kuna mtu imewahi kumtokea akachelewa kuitoa hela baada ya kutoka, je itadumbukia tena ndani au itakaa hapo hapo itaganda tu inasubiria. Na kama ikirudi mahesabu yatakuwaje kwenye account yatajirudi tena kama awali au balance itapungua. Changamsheni kichwa kidogo.
  16. Thank you Madam Agness

    Nikiwa shule ya msingi kuna mwalimu mmoja alikuwa anaitwa AGNESS, huyu alikuwa mjaluo kutoka huko mkoani Mara, kiukweli alikuwa mzuri wa sura na umbo, huyu mwalimu sitokuja kumsahau hadi naingia kaburini kwasababu alikuwa kisu kwelikweli, kwa leo ndiyo wanaitwa "PISI KALI". Huyu mwalimu kuna...
  17. Kama UKIMWI wa 2005 kurudi nyuma ungekuepo sasa, hali ingekua mbaya sana

    Vijana wadogo wanafanya sana ngono zembe ( kuuza mechi) na wanawake ambao kama vile wameshajikatia tamaa au kujitoa mahuru, hawataki mwanaume atumie condom. Nikikumbuka vile VVU vya 2005 kurudi nyuma, 1. Nywele zinanyonyoka af zilizobaki zinakua kama za kiarabu. 2. Mabega yanapanda juu na...
  18. Kama dhana ya Time travel ingekuwa kweli, na ukapata nafasi ya kurudi nyuma ya muda ungemuonya au kumshauri nini (wewe-mdogo) kwa kile unachokiishi?

    Dhana ya Muda ni pana sana. Dhana hii inazidi kuchanganya zaidi wanasayansi na watafiti mbalimbali ili kujua muda unafanya vipi kazi. Je kuna uwezekano wa kusafiri mbele ya muda uliopo au nyuma ya muda uliopo? Mambo bado ni magumu. Lakini kama dhana hii ingefanikiwa na binadamu wakawa na uwezo...
  19. Wagner wasema hawapo tayari kurudi vitani iwapo Urusi itaendelea kuongozwa na vikaragosi

    Mzee wa Wagner anaendelea na matusi... The Wagner Group is willing to fight on in Ukraine if they get a separate section of the front without having to depend on the "clowns" who run the Kremlin's armed forces, Russia's most powerful mercenary boss has said. Celebrating his 62nd birthday today...
  20. Nipo huru sasa, nimeachiliwa na kurudi uraiani tena, nimemaliza adhabu niliyopewa na Mods (ban)

    Habari wanajamii.... Natumai wote ni buheri wa afya njema sana... Nielekee kwenye hoja halisi moja kwa moja...Leo nimefunguliwa kutokana na adhabu niliyopewa hapo majuzijuzi na mods baada ya kupigwa ban shauri ya uchokozi nilioufanya baada ya kumfungulia uzi kijana alikua anasababisha taharuki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…