Kilimanjaro: Precision air PW417 imepaa na kurudi Uwanjani baada ya kutokea tatizo la Injini

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Leo mida ya saa nane na dakika hamsini, ndege ya Precision air yalazimika kurudi before take off Baada ya kugunduaaa hitilafu kwenye ndege!
009-kilimanjaro-211.jpg

Shukurani kwa Rubani alogundua tatizo mapema. Sasa inasubiriwa marekebisho yaishe ili ipae tena.

Ndege ilikuwa inatokea Mwanza kwenda Dar es Salaam kupitia Arusha.
009-kilimanjaro-216.jpg
 
Dah! Poleni sana wasafiri wa ndege. Sisi tunaopanda Shambalai Bus Service miaka nenda, tunaona nyota tu hapo.
 
Leo mida ya saa nane na dakika hamsini, ndege ya Precision air yalazimika kurudi before take off Baada ya kugunduaaa hitilafu kwenye ndege!
View attachment 2695298
Shukurani kwa Rubani alogundua tatizo mapema. Sasa inasubiriwa marekebisho yaishe ili ipae tena.

Ndege ilikuwa inatokea Mwanza kwenda Dar es Salaam kupitia Arusha.
View attachment 2695293
Mbona kichwa cha mbuzi miguu ya kuku! Rekebisha Post iende sawa.
 
Niliwahi kusema hili shirika litamalizia watu angani.
Hizi ndege ni Za miaka ya 70 zimechoka.
 
Back
Top Bottom