kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. CHADEMA wafahamu kuwa suala la kutaka Tanzania iwekewe vikwazo ni usaliti mkubwa kwa wapiga kura wake

    Nimeona viongozi mbalimbali wa CHADEMA wakitaka Tanzania iwekewe vikwazo baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu uliopita. Mimi ninauhakika Tanzania haijafikia hatua ya kuwekewa vikwazo vya kiuchumi kwani hao wafadhili wanajua moja kwa moja mwananchi wa kawaida ndio atakayeumia na vikwazo...
  2. Maboresho katika karatasi ya kupigia kura ili kuleta usawa kati ya wagombea

    Nimejaribu kuichunguza karatasi ya kupigia kura ya Urais wa JMT katika uchaguzi huu uliopita, na nina machache ya kuchangia. Nianze kwanza kwa kusema karatasi ya kupigia kura inabidi kuichukulia kama ni nyaraka muhimu sana. Uzito wa kipekee unahitajika katika kuibuni, kuichapisha, kuisambaza...
  3. Yuko wapi Dr. Levy mchoraji wa Katuni ya Baba Ubaya na mwimbaji wa Wimbo wa Kura yangu?

    Huyu jamaa alikuwa ndiye mchoraji wa katuni maarufu ya baba ubaya kwenye Gazeti la Kiu kabla ya kuacha kazi na nafasi yake kuchukuliwa na mtu mwingine. Sijui kama hili gazeti bado lipo mtaani? Alikuwa rafiki yake Sugu, na nakumbuka alitoa kibao mwanana kinachojulikana kama Kura yangu. Kilikuwa...
  4. Tumeshateka mamilioni ya kura, sasa ni wakati wa kuteka mioyo ya wapiga kura

    Nawasalimu ndugu zangu, huku kipekee kabisa nikipongeza ushindi wa JF kwenye baadhi ya kesi zinazoendelea huko! naamini tutashinda zote, Ni wazi kuwa JamiiForums ni mahali salama kabisa kwasasa, na tuendelee kuomba Mungu sehemu hii iendelee kuwa salama tena! Nikirudi kwenye uzi wangu, mtu...
  5. Mch. Josephat Gwajima: Maeneo mengine hatukuhitaji kupiga kura ili kushinda bali kutaja jina la John P. Magufuli tu, kura zilipatikana

    Hata hatujafika mbali sana, tayari wanaanza kusema waziwazi wenyewe mbinu haramu na za wizi wa kura walizotumia kushinda uchaguzi huu. Katika video hii inayomwonesha mbunge mpya wa CCM - Jimbo la Kawe - DSM, Mch. Josephat Gwajima kuanzia dakika ya 8:50 ukitazama na kumsikiliza bila kujua ana...
  6. J

    Kassim Majaliwa: Navishukuru vyama rafiki CHADEMA, CUF na ACT Wazalendo kwa kunipigia kura ya " Ndiyo" niwe Waziri mkuu!

    Waziri Mkuu mh Kassim Majaliwa amewashukuru wabunge wa vyama rafiki Chadema, Cuf na ACT wazalendo kwa kumpigia kura za "ndio" kwenye ushindi wake wa 100% wa kumthibitisha kushika wadhifa huo. Mh Majaliwa amesema maendeleo hayana chama hivyo atashirikiana na wabunge wote bila kujali itikadi...
  7. Daftari la wapiga kura wa Uganda lapelekwa Uholanzi kuhakikiwa

    Gazeti la Daily Monitor la Uganda linaripoti kuwa daftari la kitaifa la wapiga kura limepelekwa Uholanzi kwa ajili ya kuhakikiwa. Tume ya uchaguzi imeipa zabuni kampuni ya Uholanzi kuondoa majina ya watu walioandikishwa zaidi ya mara moja wakati nchi hiyo ikielekea kwenye uchaguzi mkuu mwezi...
  8. Spika Ndugai aumizwa na chama cha siasa kutoleta Wabunge wa Viti Maalum, adai zingekuwa nafasi za wanaume wangelishafika

    Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine...
  9. Kwanini wapiga kura wameamua kuifuta CHADEMA?

    CHADEMA kikiwa chini ya katibu mkuu Dkt. Slaa mtu muadilifu wa kweli mkakati wake kama chama cha upinzani ulikua kupinga rushwa na kutaka uwepo wa utawala bora. Wakati Dr Slaa akiwa Katibu Mkuu nchi ilikua imeoza kwa rushwa kuanzia chama tawala CCM chenyewe na serikali yake hadi maisha uraiani...
  10. Chonde Chonde CHADEMA, pelekeni wabunge bungeni. CCM wanajuta hata kuwapa hizo idadi ya kura iliyowafanya mpate nafasi 19

    Kuwepo kwenu bungeni ni muhimu sana like never before. Kama kweli mpo kwa ajili ya kupigania uhuru wa kweli kutoka kwa wakoloni wazawa basi ni vyema mpeleke hao wabunge 19 bungeni. Sauti zao zitakuwa muhimu sana kwa nchi yetu na vizazi vijavyo, kwa taarifa yenu tu CCM wanakesha wakiomba...
  11. Vijana tujifunze kuchuja lugha za kilaghai kutoka kwa viongozi wa kisiasa wanapoomba kura na kufanya uamuzi sahihi na bora

    Huu ni uzi wa wazo yakinifu kwa fikra mrejeo, Kama mada inavyosema, watu walilaghaiwa wakalaghaika kwa ulaghai wa kilaghai mwisho wa sike mchumba kabebwa na ambaye aliwaangukia akikiri yeye ni kama wao, hana kitu, wanamfahamu, hatanii na akatoa tahadhari harusi waliyoahidiwa kesho yake...
  12. Kauli za Sisi 'Wanasiasa' ndiyo muda mwingine zinatufanya 'Wananchi' wasituamini na waendelee kumpa 'Kura' Rais Magufuli na CCM yake tu

    Kauli ya Mwanasiasa GENTAMYCINE wiki Mbili zilizopita.... "Namalizia Kampeni zangu za Kupambana na Magufuli ila Uchaguzi Mkuu ukiisha tu naenda Kijijini Butiama Mkoani Mara Kutibiwa zangu Kienyeji kutokana na Matatizo makubwa sana niliyoyapata ya Kung'atwa na Mbwa Mkali wa Ziwani na Meno yake...
  13. M

    Chondechonde Rais Magufuli, kwa hili la bei ya saruji usifanye nikajutia kura yangu kwako...

    Ndugu mheshimiwa, Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida. Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa...
  14. Mwanasheria Mkuu Marekani aamuru uchunguzi kuhusu upigaji kura

    Mwanasheria Mkuu wa Marekani, William Barr amewaamuru waendesha mashitaka wa Serikali kuanzisha uchunguzi kuhusu dosari za upigaji kura, kwa sababu Rais Donald Trump amedai kuwa alishindwa uchaguzi kutokana na udanganyifu. Barr, ambaye ni mtetezi wa karibu wa Trump kwa muda mrefu, amesisitiza...
  15. Joe Biden achaguliwa kuwa rais wa 46 wa Marekani

    Ushindi wake unakuja baada ya kushinda kwa kishindo jimbo la Pennsylvania. Anakuwa Rais wa kwanza kuingia Madarakani akiwa na umri mkubwa (miaka 78). Pia, Marekani imepata Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke, Kamala Harris...
  16. Upigaji kura kwa njia ya posta uanze kutumika Tanzania

    Hii njia nimeiona ndio suluhu ya kuondoa malalamiko kwa juu ya mawakala kufukuzwa au kuzuiw kufanya kazi. Sheria ya uchaguzi ya Tanzania ibadilishwe tuwe tunapiga kura kwa njia ya posta. Watendaji wa vijiji na mitaa wawe wanagawa karatasi za kupigia kura, tunaenda kutumbukiza posta. Mawakala...
  17. Biden: Nitawatumikia walionipigia na wasionipigia kura

    Mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Marekani, Joe Biden amewashukuru wamarekani kwa kumpa dhamana ya kuongoza taia hilo. Katika tweet yake amesema atawatumikia wote bila kujali kama walimpigia kura au hawakumpigia kura. Ameahidi kutowaangusha kwa imani ya uongozi ambayo wananchi wamempa kwa kipidi hiki.
  18. Trump ame-'tweet' kuwa alishinda kwa kura nyingi, twitter wakanusha

    Matokeo ya Uchaguzi wa Marekani yamemtangaza Joe Bidden kuwa Rais wa Marekani baada ya kumshinda Donald Trump. Trump ameonekana kutoridhika na hali hiyo ametweet kuwa alishinda kwa kiasi kikubwa. Mtandao wa twitter umeongezea link kwenye tweet ya Trump kuonyesha matokeo halisi yaliyotangazwa.
  19. U

    Mbunge Mteule Arusha Mjini, Mrisho Gambo(CCM) awashukuru wapiga kura kijiwe cha kahawa soko kuu Arusha

    Tushukuru kwa kila jambo.
  20. Kama mmeshinda kwa haki hamkuiba kura kwanini mlizima intaneti?

    Kwanini mlizima intaneti nchi nzima? Kama mlishinda kwa haki na hamkuiba kura kwanini mlizima mtandao? Je si ushindi wenu ulipaswa kuwa baraka na furaha kwa taifa sasa kwanini mligeuza ushindi wenu kuwa mateso kwa taifa? Kwakweli kuishi Tanzania kwasasa inahitaji uvumilivu Sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…