kupungua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Nashauri kufanyike uchunguzi wa kina juu ya kinachoendelea kwenye Bandari zetu baada ya mapato kupungua huku shehena ya mizigo ikiongezeka

    Nilifuatilia maelezo ya Menejimenti ya TPA hivi karibuni waliyoyatoa kupitia vyombo vya habari. Maelezo yao yalikuwa ni kwamba shehena imeongezeka zaidi ya matarajio yao kwa meli nyingi zaidi kushushia mizigo kwenye bandari zetu hususan bandari ya Dar. Hata hivyo,viongozi hao hawakutaka...
  2. K

    Nawaelewa sasa “Mvuto wa Rais kupungua“

    Nilikuwa najiuliza sana wanaposema mvuto wa Mama Samia umepunguwa nawaelewa vizuri sana wiki hii. Wiki hii nimebahatika kuona video nne. Mama Samia akiwa Hanang akiongea kwenye jukwaa, video ya Mama Samia aliongea waathirika, Mbowe akiongea kwenye msiba wa Askofu na Lissu akiongea kwenye msiba...
  3. benzemah

    Kikwete aipongeza Serikali vifo vya wajawazito kupungua

    Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete ameipongeza Serikali kwa kufanikiwa kupunguza vifo vya akinamama wajawazito kutoka vifo 556 mwaka 2016 hadi kufikia vifo 104 mwaka 2022. Dkt. Kikwete amesema hayo leo wakati akifungua kongamano la pili la kisayansi la afya ya uzazi mama na mtoto...
  4. benzemah

    Dotto Biteko: Makali ya umeme kupungua 2024

    Makali ya umeme yatapungua kwa kiasi kikubwa kufikia mwanzoni mwa 2024, kupitia juhudi za Serikali kupunguza upungufu wa umeme kutoka Megawati 810 na kufikia megawati 240. - Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam katika hafla ya utiaji...
  5. Gol D Roger

    Utashi wa kifikra wa vijana wengi wa kiume unazidi kupungua kwa kuendekeza kuangalia video/picha za ngono

    Utafiti wa BBC unasema asilimia 37% ya internet search history zinahusiana na haya mambo na asilimia 35% ya downloads zote kwenye internet zinahusiana na haya mambo, vilevile asilimia kubwa ya watu wanao-search haya mambo ni wanaume tukiwa na asilimia 80% na wanawake asilimia 20% Tasfiri yake...
  6. profesawaaganojipya

    Maji kupungua kwenye rejeta, engine 1 NZ

    Wakuu, kila nikienda kazini na jioni kurudi home maji hupungua lita 1, engine haichemshi na mshale wa cooling uko katikati. Kwenda na kurudi ni km 60, tatizo nini wadau?
  7. sky soldier

    Hakuna kinachoshindikana zaidi ya Nia na Uthubutu. Walionenepa na wanataka kupungua inawezekana ndani ya Siku 50 tu

    Ulikuwa na mwili wako wa kawaida tu lakini ghafla imeshaanza kuwa kawaida kuambiwa "Umenenepa siku hizi?” Kama una nia ya kurudisha mwili uwe wa kawaida siwezi kusema ni rahisi ila inahitaji uwe na nia thabiti. Dawa ni hii hapa. Ni mwezi moja tu. Milo miwili tu kwa siku! Unavyoamka kula...
  8. Mdigokhan

    Nahitaji kupungua Mwili/ Kilo. Naumia sana

    Khabari zenu, Nimekuwa mtu wa kujisikia vibaya sana nikiuangalia mwili wangu. Mimi ni kijana wa miaka 28, nina kilo 93. Nimenenepa sana. Nina kilo nisizozipenda, nimetumia mbinu ya mazoezi Ila nahisi kushindwa cuz ratiba za kujitafutia ridhiki zinabana. Natamani Nipungue nifikie hata kilo 75...
  9. Meneja Wa Makampuni

    Tahadhari: Bei ya mafuta yapanda ghafla kataka soko la dunia baada ya uzalishaji kupungua

    Bei ya mafuta imepanda baada ya wauzaji kadhaa wakubwa wa mafuta duniani kutangaza kupunguza uzalishaji kwa ghafla. Bei ya mafuta yasiyosafishwa ya Brent ilipanda kwa zaidi ya $5 kwa pipa, au 7%, hadi zaidi ya $85 biashara ilipoanza. Ongezeko hilo limekuja baada ya Saudi Arabia, Iraq na...
  10. Hismastersvoice

    Nionavyo lengo la wiki ya usalama barabarani ni kuuza stika, anayeamini kupungua kwa ajali anieleze ni kwa vipi

    Kila mwaka polisi huandaa wiki ya usalama barabarani lakini hali ilivyo barabarani ni ileile ya siku zote zaidi ya kuuziwa stika ambazo hazipunguzi ajali! Vurugu za bodaboda na daladala ziko vilevile na pacha wao ajali. Mimi naona lengo si kudhibiti ajali kwa kuwakumbusha madereva juu ya...
  11. BARD AI

    Peter Msechu adai kupungua kilo 7 baada kuwekewa puto Tumboni

    Msanii Peter Msechu amefanikiwa kupunguza uzito wa kilo saba ndani ya siku saba tangu alipowekewa puto na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila ili kumsaidia kupunguza uzito. Msechu aliwekewa puto hilo Januari 25, 2023 akiwa na uzito wa kilo 143.4 lakini kufikia leo Februari Mosi 2023...
  12. I

    Nchi ambazo idadi ya watu inatarajiwa kupungua

    Nchi nyingi -- haswa za Ulaya na Asia -- zitaona idadi ya watu ikipungua katika miongo ijayo, ikiwa utabiri wa 2100 uliochapishwa na UN Julai iliyopita utathibitishwa. Katika maeneo mengine, idadi ya watu tayari inapungua. Idadi ya watu tayari imepungua Nchi nane zenye wakazi zaidi ya milioni...
  13. OCC Doctors

    Kupungua kwa vichezo vya mtoto katika tumbo la mama mjamzito

    Kiwango cha kawaida cha mtoto kucheza tumboni (quickening) hutakiwa kucheza mapigo 90 katika masaa 12 katika wiki 32 au walau mtoto apate mienendo 50 inayotambulika kwa muda maalum. Kupungua kwa harakati za mtoto huhusishwa katika kesi nyingi za kifo cha mtoto kutokana na viwango vya chini vya...
  14. JanguKamaJangu

    Muhimbili waanza kutoa huduma kupunguza uzito, watatu wenye kilo 100+ wamepata huduma kwa Sh milioni 3.5 hadi 4

    HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila,iliyopo jijini Dar es Salaam, imeanza kutoa huduma ya kupunguza uzito uliokithiri, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza. Hadi sasa watu watatu wenye uzito zaidi ya kilogramu 100 wamepata huduma hiyo inayogharimu kiasi cha Sh milioni...
  15. Nobunaga

    Diamond Platnumz ashangaa mwili wake kuendelea kupungua

    Kutokana na baadhi ya mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushangazwa na muonekano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnum, kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu muonekano wa mwili wake akisema kuwa hata yeye haelewi sababu za kupungua. Diamond Platnumz ameyasema hayo katika mtandao wa...
  16. BARD AI

    Maambukizi mapya ya VVU yazidi kupungua nchini

    Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imesema maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) yamepungua kutoka watu 110,000 mwaka 2016/17 hadi kufikia 54,000 mwaka 2020/2021. Hayo yamesema Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS, Dk Leonard Maboko, Jumanne Novemba 14, 2022 wakati akizungumzia maadhimisho ya...
  17. profesawaaganojipya

    Maji kupungua kwenye rejeta(radiator)baada ya service

    Wakuu ni hivi, nilimwanga coolant yote kwenye rejeta, pia nikafunfungu koki kwenye injini na kumwaga yote. Halafu nikajaza upya kama lita 5 hivi, cha ajabu hata nikitembea km 10, nakuta maji yamepungua kidogo kwenye rejeta, shida nini wakuu, msaada tafadhali, gari ni noah, road tourer, engine ni...
  18. Replica

    Mussa Zungu ataka wananchi kujifunga mkanda kwa maendeleo yao, asema misaada inaenda kupungua kutokana na vita

    Naibu spika wa Bunge, Mussa Zungu akiwa kwenye mkutano wa ITAC unaohusu ushiriki wa wananchi kwenye maendeleo ya nchi, ameipongeza Serikali kwa kuwasikiliza wananchi na kupunguza Tozo. Zungu ametaka kujivunia na kufunga mkanda kujenga wenyewe badala ya kutegemea misaada kwani inaenda kupungua...
  19. Roving Journalist

    Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
Back
Top Bottom