kupungua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ashangaa mwili wake kuendelea kupungua

    Kutokana na baadhi ya mashabiki na Watanzania kwa ujumla kushangazwa na muonekano wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnum, kwa mara ya kwanza amezungumzia kuhusu muonekano wa mwili wake akisema kuwa hata yeye haelewi sababu za kupungua. Diamond Platnumz ameyasema hayo katika mtandao wa...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maambukizi mapya ya VVU yazidi kupungua nchini

    Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imesema maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) yamepungua kutoka watu 110,000 mwaka 2016/17 hadi kufikia 54,000 mwaka 2020/2021. Hayo yamesema Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS, Dk Leonard Maboko, Jumanne Novemba 14, 2022 wakati akizungumzia maadhimisho ya...
  3. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Maji kupungua kwenye rejeta(radiator)baada ya service

    Wakuu ni hivi, nilimwanga coolant yote kwenye rejeta, pia nikafunfungu koki kwenye injini na kumwaga yote. Halafu nikajaza upya kama lita 5 hivi, cha ajabu hata nikitembea km 10, nakuta maji yamepungua kidogo kwenye rejeta, shida nini wakuu, msaada tafadhali, gari ni noah, road tourer, engine ni...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Mussa Zungu ataka wananchi kujifunga mkanda kwa maendeleo yao, asema misaada inaenda kupungua kutokana na vita

    Naibu spika wa Bunge, Mussa Zungu akiwa kwenye mkutano wa ITAC unaohusu ushiriki wa wananchi kwenye maendeleo ya nchi, ameipongeza Serikali kwa kuwasikiliza wananchi na kupunguza Tozo. Zungu ametaka kujivunia na kufunga mkanda kujenga wenyewe badala ya kutegemea misaada kwani inaenda kupungua...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Uaminifu na Uadilifu kinazidi kupungua miongoni mwa Watanzania, chanzo ni nini?

    Tafakari mifano kadhaa ifuatayo na kisha tujadili nini chanzo cha kuporomoka kiwango cha uaminifu na uadilifu kwenye jamii yetu ya Kitanzania. 1) Umetuma fedha kwa njia ya simu kwa makosa, kwa watu watatu tofauti, halafu wapigie simu na uwajulishe kwamba umewatumia fedha kwenye simu zao kwa...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kukosa usingizi wa kutosha hupelekea kupungua kwa Nguvu za Kiume

    KUKOSA usingizi wa kutosha kunaweza kusababisha kufifia kwa nguvu za kiume. Madaktari wanasema kuwa mwanaume anachukuliwa kuwa amepata usingizi wa kutosha usiku iwapo atalala kwa kati ya saa saba na tisa. Hata hivyo, watu wengi huwa hawazingatii muda huo kutokana na aina ya kazi wanazofanya au...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Misitu inazidi kupungua Afrika, kuna hatari miaka 100 ijayo wajukuu zetu wakaishi katika jangwa

    https://images.app.goo.gl/KTXFpN7sMk73dyxT8 Eneo la misitu mikubwa iliyobaki ni misitu ya Congo. Afrika tunatumia miti kwa kiwango kikubwa kuanzia kujengea, kupikia na hata dawa mitishamba. Wenzetu ambao hawatumii miti kama sisi lakini wanafahamu umuhimu wa kupanda miti. Sehemu yenye miti...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kutolelewa Na Baba na Mama humfanya mtoto asiwe na Upendo, hii ni sababu upendo wa ndani ya jamii Zama hizi kupungua

    Kwema Wakuu! Ni ngumu Sana kukuta upendo Kwa watoto ambao hawajalelewa na Baba na Mama, hiyo ndio sababu siku hizi kwenye jamii upendo wa wengi umepoa. Mtoto asipolelewa na wazazi wawili, Baba na Mama yake hisia na vyanzo vya upendo hufa POLEPOLE Kwa uhakika. Kuachana Kwa wenza, Baba na Mama...
  10. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Tishio la kuadimika samaki Ziwa Victoria wananchi wamkumbuka Luhaga Mpina

    Taarifa za kuadimika kwa kiasi kikubwa cha Samaki katika Ziwa Victoria zimewashitua wakazi wa Kanda ya Ziwa Victoria na wengi washauri kurejewa kwa utaratibu uliotumiwa na aliyewahi kuwa Waziri Mifugo na Uvuvi nchini, Luhaga Mpina. Soma kwa kirefu tishio hilo la kuadimika kwa samaki katika Ziwa...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa dunia unatarajiwa kupungua kwa asilimia 2.6 kutokana na vita vya Ukraine

    Wachumi wa Umoja wa mataifa wanaonya kwamba matarajio ya ukuaji wa uchumi mwaka huu yanafifia kwa haraka kutokana na athari mbaya za vita nchini Ukraine. Shirika la biashara na maendeleo la Umoja wa mataifa(UNCTAD) limeshusha sana makadirio ya awali yenye matumaini ya ukuaji wa uchumi wa dunia...
  12. KndNo1

    JamiiForums Tanzania N/A Engine kupungua nguvu mikoani

    Kama ni mkazi wa jiji la Dar es Salaam.. Then gari yenye Natural Aspirated engine kwako ni sawa.. Ila kama unaishi nje ya Dar ni bora utafute gari yenye Turbo.. Ukiwa na Natural Aspirated hautoweza kupata power yote kama mtu wa Dar..! Dar ipo +0.00m kutoka usawa wa bahari.. Mikoa mingi ipo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Masikini wanachama wa CCM, mitaani wanazidi kupungua sana sana.

    Si zamani sana ilikuwa kila kona unaona bendera ya CCM inapepea na wanachama wa Chama hiki Cha CCM wametapakaa na utawajua kwa mashati yao yenye nembo za CCM na wavaa khanga nao umanjano na kijani. Sasa kuvaa nguo ya CCM ukatembea nayo mtaani ni shida na kumuona mtu kuvaa sare zao kama zamani...
  14. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Meneja wa bwawa la Mtera akanusha bwawa hilo kupungua maji

    Meneja wa bwawa la Mtera akihojiwa na mwananchi digital amekanusha kuwa bwawa hilo lenye uwezo wa kuzalisha megawatt 80 limepungua maji hivyo kupelekea mgao wa umeme nchini. Meneja huyo amesema bwawa hilo bado lina maji mengi kiasi kwamba hata mvua isiponyesha kwa miezi saba ijayo bado...
  15. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya Pombe na Maumivu ya Mwili kupungua?

    Heshima kwenu wakuu.. Aisee, jino lilikuwa linauma jioni hii kupita maelezo, nikarudi zangu home kuna K Vanga kubwa ilibaki jana kwenye mwanamke nyonga nikasema ngoja niikate taratiiiiibu, baada ya kugonga K Vanga nashangaa maumivu ya jino yameisha kabisa wakuu. Hivi, Kuna Uhusiano Gani Kati...
  16. Benno Bongo

    JamiiForums Tanzania Ni nini sababu ya kupungua kwa mikopo ya HESLB mwaka 2021?

    Tatizo hasa ni nini kupungua kwa mikopo 2021 na watu wengi hususani wanaotoka kaya maskini kupata chini ya asilimia 50. Karibu tujadiliane
  17. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenister Mhagama acha kutudanganya Watanzania, Vifo vya UKIMWI havijawahi kupungua Tanzania

    Vifo vya UKIMWI vyapungua Tanzania. Matumizi ya dawa za kufubaza VVU yameongezeka kutoka 95% mwaka 2016 hadi 98%, 2019, vifo vitokanavyo na UKIMWI vimepungua kutoka 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000, 2020 na maambukizi ya mama kwenda kwa mtoto yameshuka kutoka 18% mwaka 2010 hadi 7% mwaka 2020 -...
Back
Top Bottom