kupigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Lizer afunguka ya moyoni: Diamond alikuwa analipia nyimbo za Wasafi kupigwa Clouds

    Producer namba moja wa muziki East Africa wakuitwa Lizer Classic ametoa za ndaaaaani kabisa namna Clouds na Wasafi walivyofanya biashara ya muziki. Alitoa comment hiyo akimjibu shabiki kaukau wa mtandaoni.
  2. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mwanza atangaza Shilingi bilioni 1.45 zilizodaiwa ‘kupigwa’ zimerejeshwa

    Miezi minne tangu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel aagize wanawake, vijana na wenye ulemavu waliotokomea na Shilingi bilioni 4.9 za mikopo ya halmashauri kuzirejesha tayari shiingi bilioni 1.45 zimerejeshwa na vikundi hivyo. Gabriel alitoa agizo hilo Aprili 25 mwaka huu huku akisema Sh4.9...
  3. ward41

    JamiiForums Tanzania Ndiyo maana ni rahisi China kupigwa pini na USA

    Kama ndiyo hiyo mchina bado an safari ndefu. Akipigwa PINI tu na USA, JAPAN, NA KOREA atakufa njaa.
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANZIA Afrika Kusini: Bondia afariki baada ya kupigwa mpaka damu kuvujia kwenye ubongo

    Bondia wa Afrika Kusini Simiso Buthelezi amefariki dunia kufuatia pambano lake na Siphesihle Mntungwa lililofanyika siku ya Jumapili. Pambano hilo la Buthelezi lilisimamishwa baada ya kuonekana Bondia huyo akimrushia ngumu za ovyo mpinzani wake baada ya kushambuliwa kwenye kamba ya ulingo...
  5. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala

    Kijana ambaye jina lake halijatambulika mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala. Inaelezwa kuwa askari huyo alikuwa amekwenda kumkamata kijana huyo nyumbani kwake baada ya mkewe kumshtaki polisi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Simba kupigwa faini na CAF limekwisha na maisha lazima yaendelee

    Tuna tatizo la kujadili mambo mabaya na kuacha mazuri. Ni kweli lile ni kosa na limeshafanyika na Simba imeshapigwa faini limekwisha na kama kujifunza tumejifunza. Kuna mambo mengi sana kwenye soka la Afrika. Ila hatupaswi kuiga mambo mabaya. Kosa limeshatokea na tumeadhibiwa kwa kosa hilo...
  7. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania auliwa kwa kupigwa risasi Marekani, anaitwa RODGERS KYARUZI, alipata maluweluwe

    Poleni sana wafiwa, Poleni sana Watanzania popote mlipo, Poleni sana Tanzania Diaspora wa USA. sote tunyayue sauti kulaani kitendo hiki. USA wanajulikana kwa ubaguzi wao kwa watu weusi, huyu Mtanzania mwenzetu na yeye yamemkumba? Au kauliwa na mweusi mwenzake? The Georgia Bureau of...
  8. Mohamedmteleke

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kupigwa "changa" na matangazo ya ajira, tukutane hapa

    Mwaka mmoja baada ya kuimaliza kidato cha sita, nilirudi nyumbani kuona hali inaendaje. Ups and downs zilipita za kutosha, hatimaye Mwananchi Communication Limited wakatangaza kuwa kampuni ya ATY kutoka Mafinga ina ajira. Maelezo kiasi na malipo ni mazuri, niende na chakula tu na chakula changu...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nani mkweli kati ya Dkt. Mollel na Dkt. Slaa juu ya Lissu kupigwa risasi. Kwanini CHADEMA wanakuwa kimya? Polisi nao mbona hawachukui hatua?

    Dkt. Slaa amegusia juu ya Lissu kupigwa risasi na kudai kuwa huenda CHADEMA walihusika maana walikuwa na makundi ya kigaidi yaliyofanya uhalifu wa kigaidi ili kuichafua serikali. Dkt. Mollel nae aliibuka huko nyuma akiwa Bungeni na kudai CHADEMA walimtwanga Lissu risasi na aliongea bila...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tunahitaji hesabu ya fedha zinazokusanywa mitaani kwenye mifuko ya rambo, hazitolewi risiti, tunaweza kupigwa na wajanja!

    Tangu hii kampeni ianze, hakuna hata siku moja tuneambiwa makusanyo ni shilingi ngapi. Hela zinakusanywa kwenye mifuko ya rambo, anayezihesabu hajulikani ni nani, ni rahisi watu kujichotea tu na kuweka mifukoni mwao, hakuna risiti. Hakuna ufafanuzi nani anaongoza nini, na gharama za operesheni...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Bukoba waendelea kupigwa kalenda stendi kuu ya mabasi, Serikali yasema mpaka itafute fedha

    Pamoja na ukubwa na umaarufu wa Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla, mji ule hauna stendi inayoendana na jina lake, kuna eneo la wazi lenye vichochoro lukuki huku kukiwa hakuna urasmi wapi kwa kuingilia na kutokea pia nyakati za mvua hali ni mbaya. Leo bungeni, mbunge wa viti maalum, Neema...
  12. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Kesi ya mauaji inayowakabili askari saba yapigwa kalenda, mshtakiwa aweka ‘POZI’ kupigwa picha

    "Mmeridhika?" ndivyo anavyosikika Ofisa Upelelezi (OC CID) Wilaya ya Mtwara, Gilbert Kalanje na mshtakiwa namba moja wa kesi ya mauaji inayowakabili maafisa saba wa Polisi mkoani Mtwara huku kesi hiyo ikiahirishwa. Kalanje na maofisa wenzake sita leo Jumanne Machi 8, 2022 wamefikishwa katika...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni mtu Mwenye Amapiano kali za kupigwa Club azitupie humu

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naombeni hizo Amapiano kali.
  14. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Watu saba wafariki kwa kupigwa na radi maeneo tofauti Mkoani Rukwa

    Watu saba wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi katika maeneo tofauti katika Wilaya za Nkasi na Sumbawanga mkoani Rukwa. Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nkandasi, Given Kisantola amesema tukio la kwanza lilitokea Februari 26 saa 9 alasiri Kijiji cha Nkandasi wilayani Nkasi. Watano waliokuwa...
  15. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ryoba Kupigwa Mawe TBC, Shabani Kisu aibukia Channel Ten na Kipindi Kipya

    Wakati wa late Presida JPM ilionekana kuwepo tabia ya kusifu, kuabudu nk na baadhi ilionekana wanafanya kwa hofu au kujipendekeza kwa mkulu. Pamoja na madudu yaliyotokea pale TBC, ndugu Ryoba anaendelea kupigwa mawe kwa kuonekana alikuwa akiendesha kipindi kumsifia mbendembende late JPM...
  16. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Kazi uliyokuwa ukiipenda pindi ungali mdogo ndo unaifanya Sasa?

    Ulihitaji sekunde kadhaa na macho kuona uwezo na kipaji Cha pekee kilichowekwa kwenye mguu wangu wa kushoto..... Ilitokea Mara kwa mara wapitanjia kusimamisha.... shughuli Zao kustaajabu kipaji na uwezo wa kipekee uwanjani Wapo walio nitabilia makubwa.....wapo walio toa fedha Zao kunituza...
  17. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ofisa Biashara United alalamika kupigwa na 'makomandoo' wa Yanga

    Kabla ya mchezo wa Yanga dhidi ya Biashara United uliopigwa Jumanne Februari 15, 2022 kwenye Uwanja wa Mkapa, kulitokea mvurugani baina ya ofisa wa Biashara United na wale aliowaita makomandoo wa Yanga. Huyu hapa ofisa huyo anaelezea kilichotokea kabla ya mchezo huo wa Azam Sports Federation...
  18. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Sasa hii ni Sifa, Yanga imeamua kuwafuata Mbao FC huko huko kwao, Mchezo Kupigwa CCM Kirumba

    Mchezo wa kuwania kombe la Shirikisho ASFC utapigwa uwanja wa CCM Kirumba Mwanza 29, January,2022 hii no kwa mujibu taarifa toka TFF.
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Atakayehujumu Coastal Union dhidi ya Yanga kupigwa albadri

    Wazee wa Coastal Union wametoa tamko kwa umma kwamba yeyote atayeihujumu Coastal Union kwenye mechi ya Yanga watamkabidhi kwa Allah. Rai hiyo imetolewa kwa yeyote anahusika kuanzia uongozi wa Yanga, refa wa mchezo, wachezaji na viongozi wa Coastal na mtu yeyote yule. Wazee wamesema watafanya...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ndege kupigwa faini kwa kuwasafirisha watu wasiochanjwa Ghana

    Maafisa nchini Ghana wamesema kuwa ndege ambazo zinawasafirisha raia wa kigeni ambao hawajachanjwa ndani ya taifa hilo zitapigwa faini ya dola$3,500 (£2,600) kwa kila msafiri. Makamouni ya ndege pia yanapaswa kuhakikisha kwamba watu wanajaza fomu zinazoelezea hali zao za kiafya. Muongozo mpya...
Back
Top Bottom