kupigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mludego

    JamiiForums Tanzania Kufuli linaweza kufunguka kwa kupigwa risasi?

    Mara kadhaa nimekua ama kutizama nikiona kwenye moves mbalimbali mtu hufyatua trigger ya bunduki kisha risasi hutoka na kuligonga kufuri kisha kufunguka. Swali ni je, kweli inawezekana na pia hiyo risasi hawezi kukurudia baada ya kuligonga kufuri? Rejea mfano mdogo wa minati pindi uwekapo jiwe...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wenzake na Mbowe yawezekana kweli waliteswa na kupigwa, lakini je hawakupanga kushiriki njama za ugaidi?

    Kifungu cha 29 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania kipo wazi kabisa, kuwa mahakama haitakataa kupokea ushahidi wa mtuhumiwa kukubali kutenda kosa hata kama alipata vitisho, mateso na au bakshishi iwapo ni kweli alihusika, ila kama alipigwa na kuteswa na polisi wakageuza uongo uwe kweli hapo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia angeamua kuanzisha uchunguzi wa tukio la Lissu kupigwa risasi, sukuma gang wangekuwa na hali gani? Shukurani kamsitiri

    Hawa jamaa nawashangaa sana kumlaumu Rais Samia kuwa anafanya mambo kinyume na Mwendazake na kwamba anajaribu kuharibu wanachokiita Legacy ya Mwendazake! Binafsi najiuliza leo hii Mama angemuru uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, hali ya hawa watu itakuwaje? Je, si wangelala na...
  4. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupigwa kabari, roba ya mbao tukutane hapa

    Mwaka 1998 nilipigwa roba ya mbao mchana kweupe. Ilikuwa ni Mwananyamala, nina backpack 🎒 naenda kwa Taki Mdeng'o shosti wangu kumringishia visa yangu ya USA 🇺🇸. Safari na ndoto za kuingia nchi pendwa zikaniisha. Taking yuko Uingereza. Hadi leo
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kubadili uraia niwe Mzanzibari: Nimeambiwa nitoe pesa ili kufanikisha. Je, naenda kupigwa?

    Habarini ndugu zangu, ni matumaini yangu mpo fresh. Mimi ni kijana mhitimu wa chuo ngazi ya degree. Nimekuwa obsessed kuhusu kubadili uraia wangu kutoka ubara kwenda uzanzibar, Hii yote ni kwa sababu najionea wazi wazi warafiki zangu wazanzibar tuliofahamiana vyuo mbali mbali waliajiriwa muda...
  6. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Askari watakaobainika kuwapiga wafungwa, maabusu au kuwalazimisha kwa kipigo watuhumiwa ili kukiri makosa watachukuliwa hatua kali

    Waziri Simbachawene ametoa onyo kali kwa Askari Magereza wanaowapiga Wafungwa na Mahubusu magerezani na pia kwa Polisi wenye tabia yakuwapiga Watuhumiwa au kuwalazimisha kwa kipigo kukubali makosa na kusema atachukua hatua kali kwa wale watakaobainika kutenda vitendo hivyo. ----- 𝐊𝐮𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bondia afariki baada ya kupigwa KO katika shindano la ndondi

    Maswali yanaulizwa kuhusu taratibu za usalama katika ndondi ya Zimbabwe kufuatia kifo cha Taurai Zimunya baada ya kupigwa katika pambano mjini Harare. Zimunya, 24, wa uzito wa Super bantam, alifariki siku ya Jumatatu, baada ya kuzimia wakati wa pambano lisilo la ubingwa siku ya Jumamosi. Ni...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kupigwa na head girl assemble, sasa hivi anaolewa na mdogo wangu

    Wakati nasoma primary mkoa wa Tanga, dada mkuu wa shule aliwahi kunipiga yeye akiwa la Saba Mimi la tano. Kisa chenyewe kidoogo kiganja changu cha mkono wa kushoto kilipigana kikumbo na makalio yake. Ilikuwa bahati mbaya Ila kwakuwa nilikuwa mtundu alidhani nimefanya makusudi. Sasa hivi ni...
  9. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Nasikia si kweli kuwa simu za mkononi zinaongeza uwezekano wa kupigwa na radi

    Tz na sehemu nyingi kuna imani imeenea kuwa kutumia simu wakati wa radi kunaongeza uwezekano wa kupigwa na radi. Lakini katika kuangalia mitandaoni nimeona zinasema kuwa huu ni uzushi. Wanasema simu haina umeme wa kufanya ivutie radi. Lakini wamesema kuwa simu za mezani ni hatari wakati wa...
  10. Mdaiwa-Sugu

    JamiiForums Tanzania Je, Pesa za IMF zimeanza kupigwa? Wananchi wanasomba Mawe na Kokoto kwaajili ya ujenzi Madarasa

    Tuliambiwa tozo za miamala ya simu ni kwaajili ya ujenzi wa madarasa. Kadhalika, juzi kati serikali ya mama samia imekopa kiasi cha zaidi ya trioni moja kutoka IMF ambapo zaidi ya mabilioni ya pesa kwenye huo mkopo yametengwa kwaajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kama sehemu ya maandalizi ya...
  11. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 itakuwa ni CCM na kivuli cha Hayati Magufuli

    Kama lipo eneo Magufuli aliwa-win wabongo ni kuwaaminisha kwanza Tanzania ni Nchi tajiri huko akitolea mifano akiba ya rasilimali tulizonazo na zaidi akiwaachia uhuru usiyo na mipaka walalahoi kufanya lolote lile wanalotaka huku akitoa amri ya wasifanywe lolote. Rejea machinga. Sasa,kwa...
  12. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Uchimbaji wa Madini ya Nikel utainufaisha Tanzania au ndio tutaishia kupigwa

    Nchi zinazoongoza ku export madini haya na pato lake Russia 3.02 bilions US dola kwa mwaka Canada 2.77 United States of America2.22 Germany1.47 Norway1.25 UK 1.1 Finland1.02 Zimbabwe0.99 Japan0.92 Indonesia0.81 Netherlands0.71 France0.69 China0.55 Papua New Guinea0.46 Philippines0.41 Belgium0.4...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tukiiga tuliyoyaona katika Sinema za akina Bruce Lee, Chuck Norris na Rambo na Kupigwa kikweli kweli Mtaani tutambuane

    Nilikuwa napenda mno Kuiga Kujikunja kama Bruce Lee huku nikirusharusha Viteke vya hapa na pale na mkwara mwingi wa ile Sauti ya Bruce Lee ya kulia kama Paka hivi, lakini kuna Siku niliingia kwa Mtu tukiwa Wawili nakumbuka ukiachia mbali Kuadabishwa nae, ila kama Tanzania siku hiyo ilikuwa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mali za Mrema wa Naura Springs na Impala kupigwa bei kulipa madeni ya wafanyakazi na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    Mali za Impala na Naura Spring Hotel mkoani Arusha zitauzwa ili kulipa madeni zaidi ya TZS 1.2B ya wafanyakazi. Mchanganuo: Wafanyakazi wa Naura- 68 Deni- TZS milioni 180 Wafanyakazi wa Impala- 165 Deni- TZS milioni 787.5 Fedha nyingine zitalipwa mifuko ya hifadhi ya jamii.
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu azua mjadala, adai anapenda kupigwa na mwenza wake

    Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa muda mrefu nchini, @wemasepetu amedai aliwahi ahidiwa kutopigwa kwenye mahusiano kipindi anaanza mapenzi na mwanaume fulani ila hali ikabadilika na kiapo kikayeyuka akaanza kuchezea vitasa vya uhali gani mahabuba.👇 “Nakumbuka zamani wakati naanza mapenzi na...
  16. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Video: Kumbuizi ya miaka minne (4) ya kupigwa risasi 37, Tundu Lissu ajibu swali la kupigiwa simu na Dr. Willbroad. P. Slaa...

    TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...." TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...." Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
  17. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Bondia afariki Dunia baada ya kupigwa ‘KO’

    Mwanamasumbwi wa kike raia wa Mexico, Jeanette Zacarias Zapata amefariki dunia baada ya kupita siku tano tu tangu kupokea kipigo cha ‘KO’ ulingoni. Jeanette Zacarias Zapata, 18 aliyefariki dunia Zapata mwenye umri wa miaka 18, alipigwa ‘Knocked out’ raundi ya nne dhidi ya bondia Marie Pier...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupigwa roba mtaani? Weka kisa chako

    Nakumbuka nikiwa Arusha nasoma chuo cha uhasibu miaka ya 2013 kama sijakosea, kuna siku nlishuka kituo cha SDA pale Njiro ili niende ghetto. Basi nimetembea kama mita kumi hivi njia nzima nipo peke yangu mara nasikia kuna mtu kama anatembeaa ila kwa vishindo kidogo sana, kucheki nyuma kuna...
  19. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa jeshi la polisi Nigeria auawa kwa kupigwa risasi

    Meja Jenerali Hassan Ahmed Watu wasiojulikana nchini Nigeria wamempiga risasi na kumuua mmoja wa vigogo wa jeshi la nchi hiyo, Meja Jenerali Hassan Ahmed. Meja Jenerali Ahmed aliuawa usiku wa Alhamisi nje kidogo ya Abuja wakati gari lake liliposhambuliwa kwa risasi, akitokea jijini Lokoja...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2020 kupita bila kupigwa ni tatizo

    Kupitia bila kupingwa ni mbegu mbaya kidemokrasia nchini. Eneo ambalo mgombea atakuwa hana mpinzani,asitangazwe hadi uwepo ushindani zaidi ya mgombea mmoja Wananchi wananyimwa haki za msingi kwa sheria mfu.
Back
Top Bottom