kupigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 2019

    JamiiForums Tanzania Kupigwa na Kalynda sio mwisho wa utapeli Tanzania, bado tutapigwa sana

    Nasema haya najua kuna watu watapuuza ila baadae ndio wataelewa. Kwanza kabisa hawa matapeli wana mbinu kama za shetani...kivipi? Shetani ili akupate hawezi kuja mwenyewe sababu utamwogopa na hutamwaanini,lazma aje kupitia marafiki na watu wako wa karibu yani unaowaanini. Hivyo hivyo hizi...
  2. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Nimenisurika mara nyingi kupigwa na utapeli wa mitandaoni kwa kutumia mbinu hii

    Habari za muda huu wana JF Nimesikia vilio watu kupigwa kwenye Kalyinda nimeamua kuwaletea mbinu yangu niliyopata mwaka wa mwisho wakati namaliza kozi za Uwabata nchini Cuba (joking) Mimi siamini kabisa katika pesa za kudownload yaani umekaa kiboya pesa zije kirahisi bila kutolea jasho naona...
  3. amadala

    JamiiForums Tanzania Okwi atua club ya Al Zawra ya Iraq

    Aliekuwa nyota wa zamani wa Simba Emmanuel Okwi amethibitisha kutua club ya Al Zawra. Tayari ametambulishwa jijini Baghdad kukipiga ndani hiyo timu.
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa kukata mawimbi Chris Davidson afariki baada ya kupigwa ngumi nje ya bar

    Mchezaji nyota wa zamani wa Australia Chris Davidson amefariki baada ya kupigwa ngumi nje ya baa moja Kaskazini mwa Sydney. Mwanamaji huyo mwenye umri wa miaka 45 alipigwa usoni na kuanguka, akigonga kichwa chake kwenye barabara, polisi walisema. Alitibiwa katika eneo la tukio lakini alifariki...
  5. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar wanaongoza kupigwa vita ila ndiyo sukari ya warembo

    "Wanaume wa Dar" ni jina ambalo limekuwa linatumika sana mitandaoni likiwa na maana ya kudogosha uanaume wa vijana awa waliozaliwa mjini. Sifa kuu ya wanaume wa Dar ni usafi, ujanja, exposure na ndoto kubwa kubwa. Wanaume wa Dar wanajipenda sana kuanzia chakula wanachokula, mavazi wanayovaa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Tembo 170 kupigwa mnada Namibia

    Tembo 170 watapigwa mnada nchini Namibia kwa kile kilichobainishwa kuwa ni adha ya kuongezeka kwa ukame huku kukishuhudiwa ongezeko kubwa la tembo nchini humo. Hii sio mara ya kwanza Namibia inauza wanyama kwa mnada, ambapo msimu wa kiangazi inaelezwa kuwa kunatokea mgogoro kati ya wanyama na...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Drones za Iran zashindwa kusaidia Urusi, zaanza kupigwa chini na Ukraine

    Urusi ataomba msaada wapi kwingine maana msaada aliopewa na Iran umebuma.... U.S. intelligence publicly warned back in July that Tehran planned to send hundreds of the bomb-carrying drones to Russia to aid its war on Ukraine. While Iran initially denied it, the head of its paramilitary...
  8. nyboma

    JamiiForums Tanzania Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi ni ukumbusho tosha kuwa Mungu anaishi

    Tuishi kwa kwa kupendana. Maana ghadhabu ya Mungu kwa wale watoao uhai wa mtu huwa ni kubwa mno. Uzi tayari
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupigwa hadharani? Mimi yalinikuta!

    Hello, Kuna muda hasa utotoni na tukiwa vijana wadogo huwa ni kawaida mtu ajitetee kwa kupigana, Hata wanyama hupigana ili kutafuta haki ama kuonyesha dominance. Sasa katika mapambano haya kuna muda unakuta huna tofauti na mtu alievamia mtumbwi wa vibwengo, unaishia kuchapika mbele ya hadhara...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Anaenda masomoni mwaka mzima, anunue turubai gani kupunguza gari kupigwa jua na vumbi, vitu gani vya ziada azingatie?

    Hbari wana jf, kuna dogo anaenda masomoni kwa mwaka 1 hivi, mwezi wa tatu alifanikiwa kuagiza gari yake toyota carina ti, ni mpya na kiukweli kaitunza, ataiacha kwake ila sehemu hio iko wazi na jua huwa linapiga je, ni turubai zipi nzuri za kuzuia hii hali? kaniomba aniachie funguo kwajili...
  11. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Upande wa LB Zimbwe na CB Ouatarra unaenda kuwa UCHOCHORO wana SIMBA kupigwa nyingi

    Ndugu zangu ukweli usemwe huyu Ouatarra mzito na hana speed bora babu Onyango.. Mohamed Hussein ana makosa mengi sana na huwa anachelewa kurudi tunaposhambuliwa.. Sasa yule wa kurekebisha makosa ndio mzito, mzembe na hana speed Hata utopolo walitufunga tokana na hawa viazi wawili
  12. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya video kusambaa mtuhumiwa mwenye pingu akipigwa, askari aliyehusika awekwa mahabusu

    Imetolewa na Jeshi la Polisi: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: Ndugu wanahabari, Imeonekana kipande cha video kwenye mitandao ya kijamii inayoonyesha kijana mmoja akiwa na pingu huku akipigwa na askari, kitendo ambacho ni kinyume cha sheria. Ndugu wanahabari, Kitendo hicho si tu ni kinyume cha...
  13. Diversity

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuvaa nguo nyekundu kunasababisha kupigwa na radi

    Madai: Yapo madai kutoka katika jamii mbalimbali yakihusisha rangi nyekundu na radi. Baadhi ya jamii zinaamini kwamba kuvaa mavazi yenye rangi nyekundu wakati wa mvua ni hatari kwa sababu yanaweza kusababisha ukapigwa na radi. Sambamba na hilo jamii nyingine zinaamini Mjusi kafiri na Kondoo wana...
  14. kunonu

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Hakuna kupigwa tena. Flash orijino na za uhakika kutoka Japan hizi hapa kwa bei ya tupate wote

    Kuna vitu viwili vinatukera sisi Kunonu Teknolojia kwenye jamii yetu ya Kitanzania kwenye matumizi ya teknolojia ya flash kwa matumizi ya nyumbani au ofisini. Mosi ni kwamba watu wanauziwa 'flash feki' hivyo zinawafia haraka zikiwa na vitu vyao muhimu. Pili, wengi wanauziwa 'flash' kwa bei za...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili simba kupigwa kanzu kwenye dili la manzoki

    Kuna mambo yanaendelea kimya kimya yanaweza yasiwafurahishe mashabiki wa simba lakini Mpira ni pesa na pesa ni sabuni ya roho,,tujipe muda
  16. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mwananchi anayedai kupigwa na mbunge Mnyeti afunguka kilichotokea. Mnyeti amjibu!

  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi 2,000 wa Urusi wazingirwa, waomba waachiwe watoke kwa amani

    Jameni hivi inaingia akilini supapawa anaacha wanajeshi wake wazingirwe kizembe hivi na kuachwa kwenye hali ya hovyo, yote hii wanafanyiwa na kainchi kadogo hapo jirani. Ukraine alicheza parefu kwenye hili, mnawaacha waingie kisha mnawazingira...... Wakuu wa hizi battalion wameomba yasifanyike...
  18. NI MTAZAMO TU

    JamiiForums Tanzania Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

    Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu unaweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo: 1. Unalia sababu umechapwa, utachapwa tena 2. Umechapwa ukulia utachapwa tena 3. Ukijililia tu bila kupigwa, utachapwa 4. Kusimama wakati wazee wameketi, utachapwa 5. Ukiketi wakati wazee wamesimama. utachapwa...
  19. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Kuna maisha ya ajabu Sana. Leo nimetoka na rafiki. Tukala bia, nikaambulia kupigwa na kung'atwa. Bajaji musiwaamini

    Dereva mmoja Leo saa nne usiku alinitoa mitaa ya marambamawili kwenda tabata. Tukiwa safarini demu akaanza kushuka baada ya kufika kwao..nikaendelea safari. Tukiwa safarini tukapishana maneno na dereva m. Oooh Malaya na maneno kibao. Nikakaribia nyumbn Kwangu kabla ya kunishusha tukabishana...
  20. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Basi la TFF kukamatwa, kupigwa mnada kulipa deni

    BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa Taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi kukazia hukumu akiiomba mahakama iruhusu kulikamata basi la TFF lenye namba za usajili T581 CGR...
Back
Top Bottom