kupenda

Kupenda for the Children is an American non-profit organization that works to improve the lives of children with disabilities in low and middle income countries.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kujiamini kulikopitiliza, kupenda Sifa, Dharau na Jeuri kumemgharimu Kipa Djigui Diara leo na Kuruhusu Goli jepesi na la Kizembe

    Ukinibishia hili kuhusu Kipa wa Yanga SC na Goli alilofungwa ( japo Kayaokoa mengi ) jua Wewe una lako Jambo na hujui Mpira na hata pengine haujawahi Kuucheza na huwezi Kuuchambua Kiufundi vile vile. Abadilike kwa haya Mapungufu Oky?
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela, wanawake wameongeza mahitaji yao

    Wanawake sasaivi wanataka P Bundle, yani Mwanamke akiingia Period apewe mazaga kama sehemu ya kumpooza siku zake.
  3. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Kupenda ni mara moja tu, haya mahusiano mengine nikuigiziana tu!

    ....
  4. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Kiukweli watu wa Kaskazini nawaonea wivu usioumiza, ni wivu wa kupenda kwao!

    Huu ni utamaduni ni mzuri kuigwa Utamaduni wa kukumbuka nyumbani walau maramoja kwa kila mwaka, kipengele hiki kwangu hunivutia sana, kwanza ni kama kihochea cha maendeleo ya kaya na kaya Kile kitendo cha mtu wa familia fulani kurudi na kitu nyumbani na mtu wa familia fulani kutokuwa nacho...
  5. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Kuwa na shule zinazofua hadi nguo za watoto, ni matokeo ya uzembe na kupenda kuiba mali za umma!

    Mtoto anakuwa boarding maisha yake yote, huko hafanyi kazi yoyote, hafui wala kukimbia mchakamchaka, tumeiga mifumo ya wapi huko? Na hapa ndipo chanzo cha kuharibu vijana wa nchi hii, Mtoto ambaye hawezi kufanya kazi zaidi ya kukaa tu, atapata wapi uchungu wa nchi na maliasili zake? Ataweza...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupenda au kutongosa kwa ishara?

    Hivi hili jambo linawezekana kutongoza kwa kutumia ishara na ukafanikiwa? Hapa sikusudii zile ishara sugu za papo kwa papo aka part time. Kuanzisha uhusiano wa kudumu na kufanikisha. Na hizo ishara tuwekeeni tupate elimu, ile ya kujikuna sehemu nyeti naamini haimo.
  7. Surya

    JamiiForums Tanzania Tufungue siku na haka ka jarida ka Upendo au Kupenda

    Iko hivi Mungu ni upendo, A material which create God is Love. Kama huna upendo wewe ni bure kabisa. Mungu anawapenda watu wote wanao mjua na wasio mjua, wenye akili na wasio na akili wote Mungu anawapenda.. Upendo una sura pana, Mzazi akimchapa mtoto unaweza fikiri anachuki nae, lakini ni...
  8. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumjengea mwanao tabia ya kupenda kusoma vitabu

    Mwanaharakati maarufu wa Marekani, Dr. Martin Luther King Jr. alishawahi kusema, "An idle mind is the workshop of the devil!". Mtu mmoja anisaidie kutafsiri kwa Kiswahili, tafadhali!🙏 Namna pekee ya kuiepusha akili kuwa "idle" ni kwa kuifanyisha kazi nzuri, na ili akili iweze kufanya kazi nzuri...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake kupenda wanaume wenye pesa kumefanya wanaume wajitambue na kuacha uvivu, pongezi kwenu

    Rejean kichwa cha habari hapo juu. Ipo wazi sasa hivi mwanaume kama huna hela mapenzi yatakusumbua sana, yaani kuna aina ya wanawake hutowapata regardless ya muonekana wako, family background, n.k. Hii imepelekea wanaume wengi kuchacharika kuitafuta pesa, hata zile jamii/makabila yenye...
  10. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Je kupenda kuwa alone ni ugonjwa?

    Mtu haumwi homa yoyote ya kuonekana. Hana tatizo la afya ya akili (Ukichaa). Anafanya kazi zake vema tu. Sio mgomvi/mkorofi Anajihisi huru mwenye raha na furaha anapokuwa yuko mwenyewe "alone" Je mtu kama huyo yuko sawa au ana shida ya namna yoyote ile inayohitaji matibabu?
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kupenda Sifa za Kijinga, Udhaifu wa Kukaba ndani ya Sita na Kujiamini kulikopitiliza kwa Beki Henock Inonga kumetugharimu zile Goli 2

    Wala simlaumu Kipa Ali Salim kwa Kufungwa Goli zile Mbili ( hasa lile la Pili ) kama ambavyo Wengi wenu mnamlaumu ila GENTAMYCINE nalia na Beki wetu Henock Inonga ambaye zaidi ya mara Mbili hapa hapa JamiiForums nimeshamuanzishia Threads kuelezea Madhaifu yake na kwamba yasiporekebishwa ipo Siku...
  12. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kuna kupenda na kuna kuamua kupenda

    Kupenda ni maamuzi ya kihisia/ moyo, huku kunaweza sababishwa na kitu chochote hasa physique ya mtu au tabia Kuamua kupenda ni conscious decision, maamuzi ya akili, haya ni matokeo ya situational analysis. Tunapokua wadogo hua tunapenda, ila tunapokua wakubwa tunaamua kupenda. Mara nyingi...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa sasa Upumzike kuongea na Media, kwani tayari Mobhare Matinyi Kateuliwa na anatosha

    Kwahiyo kuanzia sasa Wewe jikite tu na Kuhangaika na Shughuli za Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ukiwa kama Katibu Mkuu wake. Haya ya sijui kuita Media au Kuisemea Serikali, Kumsemea Rais Samia na hata lile Zoezi la Kugawa Mamilioni ya Motisha kwa Vilabu vya Simba, Yanga, Taifa Stars na...
  14. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Somo kwa wanawake: Usimuwekee limbwata mwanaume asiye kupenda

    Asalam Aleykum, tumsifu Yesu kristo, Bwana Yesu asifiwe. Wanawake wanawake wanawake hakuna limbwata ya kumkalisha mwanaume chini. Mwanaume kama hakupendi ni hakupendi tu usijihangaishe. Ukimpa mwanaume limbwata kama hakupendi hufui dafu bali utamfanya apende anavyovipenda siku zote. Kama ni...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kupenda na kupendwa

    Habari zenu wadau, nimejikuta nipo kwenye wimbi la mawazo nashindwa hata kuchagua niingie upande upi kati ya kupenda na kupendwa. Kuna mabinti wawili wote wana umri kati ya miaka 24 -28, wote wanashepu matata, shida ni kwamba mmoja wao ananipenda sana yani karibu kila siku mara nyingi anapenda...
  16. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Tozo kwenye Miamala ya kutoa pesa bado ipo

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, leo Julai 8, 2023 amesema kuwa tozo kwenye miamala ya kutoa pesa haijafutwa. "Tozo imefutwa kwenye utumaji ama usafirishaji wa fedha kupitia kwenye mifumo, ukituma wewe fedha kupitia kwenye simu yako kwenda kwenye simu nyingine, ile tozo tuliyokuwa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Waafrica mara nyingi ndo wanaosababisha viongozi wao kuwa madictator bila kupenda kwao.

    Hiki kinachoendelea hapa kwetu Tanzania siyo ukosoaji Bali matusi tena ya nguoni. Hakuna demokrasia ya hivi hata ulaya au marekani haipo. Kinachofangika Tanzania kwa Sasa ni kumlazimisha Samia kuwa dictator kama jpm tu. Ndo mana kumbe jpm alichagua kuwa dictator na kuwapoteza au kuwaua watu...
  18. Surya

    JamiiForums Tanzania God is Love na Mapenzi ndio Yanatutesa.

    Yeremia 3:6-8 [6]Tena, BWANA akaniambia siku za mfalme Yosia, Je! Umeyaona aliyotenda Israeli mwenye kuasi? Amepanda juu ya kila mlima mrefu, akafanya huko mambo ya ukahaba, tena, chini ya kila mti wenye majani mabichi. [7]Nami nalisema baada ya yeye kuyatenda hayo yote, Atanirudia mimi, lakini...
  19. Surya

    JamiiForums Tanzania Kupenda kunaponza siku zote

    Sijui wangapi watanielewa lakini kiukweli kupenda kunatesa jamani Nina falsafa yangu huwa naisema sana kujikumbusha lakini bado hata mimi najikwaaa. "What you Love, is what will make you suffer. " Kile unachokipenda ndio kitafanya uteseke.. kuteseka nikimaanisha kuutesa mwili na Akili...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Zamani kupenda haikuwa Haki ya Mwanamke, Mwanamke anahaki ya kupenda pia

    Anaandika, Robert Heriel. Baba. Zamani Mwanamke hakuwa na Haki ya kupenda, hakuwa na Haki ya kuchagua mwanaume WA moyo wake, Mwanaume anayempenda. Mwanamke alikuwa kama kikaragosi tuu kisicho na haki ya kuamua hatma ya Maisha yake katika mahusiano yake. Mwanamke alichaguliwa Mume na akaolewa...
Back
Top Bottom