kupenda

Kupenda for the Children is an American non-profit organization that works to improve the lives of children with disabilities in low and middle income countries.

View More On Wikipedia.org
  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: wanawake wajita na wasukuma wanajua kupenda hadi raha

    Hello JF, nimeonja utamu wa kupendwa na wanawake mjjita na msukuma kwa hakika wanamaanisha hawa viumbe wananipea full shazi, nitashiriki harakati zote za kuwajengea minara, Popote mlipo wenye shuhuda hizi tushiriki kuwatambua tuwape nishani za kipekee. Uwiano wa ahadi na matendo yao wako...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi tunakushukuru kutusaidia sana kuangalia mikataba

    Pamoja na uchawa wake na kupenda kujipendekeza kwenye mikataba Professor kabudi umesaidia sana kuangalia mikataba na kuweka uwazi ambao haukuwepo. Zamani tulikuwa na Chenge ambaye alikuwa anajifikira yeye kuliko nchi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni hali ya kawaida mwanaume kupenda kumuona mkewe akilia lia kila mara

    Waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua.Kuna kipindi hapo nyuma nilimpiga mke wangu vimatukio tukio akawa mtu wa kulia na kutoa machozi kila Mara Mbaya zaidi ameanza kuneneepa kufikia hatua ya ndani ya miezi miwili mitatu naye aanze kuitwa bonge Niwe muwazi wife wangu si mtu wa...
  4. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kupenda wanawake wazuri ni sawa, wanawake kupenda wanaume wenye uwezo ni kosa kwanini?

    Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri? Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu. Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake...
  5. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Endelea kupenda hela kuliko utu ipo siku utakumbuka maneno haya

    Asalaam alhkumu. This is the world we are passing through. Fanya yote tambua iko siku utalala kwenye tumbo la ardhi. Jifanye mbabe, nguli gaidi n.k kaburi inakusubiri, hela ni mfumo na hela ndo kitu ambacho kinabadilisha watu mwisho kujipa ukuu kwasababu anachambambi chambi. Endelea na...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Yanga, Je Huyu nabii wa Taifa apuuzwe?

    Kuna jamaa nimemuona kwenye Whatsapp anajiita nabii wa taifa, Anasema ili Yanga na Simba zishinde inabidi Watoe kwake sadaka ya Milioni 20 kuombea ushindi. Sasa kushinda kwa Yanga, najiuliza nani Muongo kati ya nabii na Mungu/Muungu wake? Ifike wakati watu wa Mungu washughulike na mambo ya...
  7. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, Fanya Hivi Ukishajua Tofauti Ya Kupenda Kati Ya Mwanaume Na Mwanamke

    Wanaume wanaangalia vitu vya nje, kama umbo, rangi au nywele na hapo hapo wanaamua kama wamempenda mwanamke kimapenzi au la. Hata kabla hajaongea naye anaweza jisemea “huyu ndo namuoa”, japo hajui chochote kuhusu huyo mwanamke, na hata akiongea naye mara nyingi atajifanya haoni vitu vibaya na...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

    Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel. Je Haji anachapiwa? Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao. Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini waonya tabia ya Viongozi wa Serikali kupenda kusifiwa

    Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wametoa ujumbe wa Krismasi kwa waumini wao, ukiwemo unaowataka viongozi wa Serikali kuwa makini na sifa wanazopewa na wateule wao kwa kuwa ni mbinu ya kuficha udhaifu. Vilevile, wamewataka viongozi pamoja na watendaji watumie sikukuu hiyo...
  10. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nawahurumia sana viumbe hai ninapowakuta kwenye matatizo

    Habari wanajamvi, Nina hali ambayo sijui niiterm kama tatizo au ya kufurahisha. Ninajikuta navionea huruma sana viumbe hivi visivyokuwa na hatia wanyama, ndege na wadudu wa aina zote (kufugwa na wasiofugwa), ninapokutana navyo vikiwa kwenye hali yoyote itakayohatarisha uhai wao. Nikupe...
  11. Ibrahimeliza

    JamiiForums Tanzania Unataka kupendwa?

    Kama kweli unataka kupendwa na kuheshimiwa na watu fanya haya. 1) Jua thamani yako. Kujitambua 2) Jifunze kuzuia hisia zako. Husivauke, maamuzi sahihi yanapatikana kwakutokuwa na hasira wala shahuku/furaha 3) Husishobokee vitu vya watu. Iwe mke, gari, nyumba chochote kile acha shobo. 4) Jua...
  12. Ibrahimeliza

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinawafanya watu wengi kupenda kufanikiwa?

    Hivi kitu gani ambacho kinawafanya watu wengi kupenda kufanikiwa ...?? Kila mtu anapenda kufanikiwa, sio...?? Huwa tuna sukumwa na nini...?? Najua sababu zipo nyingi ila za msingi ni zipi....??
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo lolote kupenda vitabu 'vinavyohubiri' mafanikio?

    Kwa sasa kumekuwa na mlipuko mkubwa wa kusoma vitabu hivi vya mafanikio na miongozo binafsi(self-help books). Usomaji wowote ule ni mzuri kuliko kutosoma kabisa. Hivyo usomaji wa vitabu hivi ni jambo zuri. Lakini ni kama mlipuko hivi, kila kona kila site kila sehemu watu wanazungumzia vitabu...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuacha tabia sugu niliyoanza ya kupenda kula kula

    unaweza kuona ni rahisi kuacha kwasababu wewe hauna hili tatizo lakini kwa mtu ambae ni mraibu huu ni mtihani mzito, ni sawa na kumwambia mtu aache uraibu wa simu, aache ulevi wa pombe, aache sigara, aache kamali, n.k.. sio rahisi kihivyo, Nimekuja kwa unyenyekevu humu ndani muwezi kunipa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo mengine kuyasema huenda ikaonekana ni aibu. Nina tabia ya kupenda Kila mwanamke Mzuri

    Kwema Wakuu! Natambua wapo wakubwa zangu humu ambao mnaweza nishauri na kuniongoza kwenye mazuri. Aisee! Nisiwe Mnafiki, sijui ni ugonjwa au ndio asili yangu, au asili ya kila Mwanaume. Nina tabia ya Kupenda kila Mwanamke Mzuri atakayepita Mbele yangu. Awali wakati Nabalehe miaka zaidi ya 10...
  16. Hosea Ben

    JamiiForums Tanzania SoC02 Madhara ya kupenda kupita kiasi katika mahusiano

    Mauaji mengi ambayo yanatokea katika jamii zetu yanatokana na wivu wa mapenzi; na wivu wa mapenzi unaweza kusababishwa na kutokuaminiana katika mahusiano au usaliti miongoni mwa wapenzi au wanandoa. Ni nini maana ya Kupenda katika mahusiano ya kimapenzi au ndoa? kumpenda mtu maana yake ni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje kuacha tabia ya kupenda 'totoz' niliyorithi kwa babu yangu?

    Nimerithithi vitu vingi, mashamba na tabia nzuri kwa mbaya toka kwa babu yangu ila hili la totoz linaniumiza kichwa Babu yangu alikuwa na wake saba na michepuko kadhaa kijijini,alizaa na wanawake za watu pale kijijini. Nimejaribu kuwa tofauti na yeye nimeshindwa, Mwaka juzi nilifunga hesabu...
  18. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Hisia za Wanawake za kupenda ziko karibu sana, watu wengine hatuhitaji kupendwa

    Binafsi niseme, kitu nisichohitaji ni mwanamke anipende, sitaki kupendwa na mwanamke kabisa (labda mke wangu nitakapokuja kuamua kuoa). Lakini ajabu ni kwamba nimekua napendwa tu hovyo hovyo na wanawake. Wanawake ni watu wanao-catch up feelings mapema sana. Mwanamke unaweza kumfanyia kakitu ka...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mfano mdogo wa jinsi Nyerere alivyoongoza kwa hisia zake na mawazo yake bila kufata Katiba ama kupenda kupingwa

    Baada ya kuhitimu sekondari, Sitta alijiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na kusomea Shahada ya Sheria (LLB) mwaka 1964. Sitta alisoma shahada hiyo kwa miaka saba kati ya mwaka 1964 na 1971, baada ya kufukuzwa chuoni hapo mwaka 1966 alipokuwa mwaka wa pili; akiwa kiongozi wa wanafunzi...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mbwa asili wa Tanzania hawaumwi kirahisi, rahisi kuwanunua na kuwahudumia, wanaishi muda mrefu. Tuache ushamba wa kupenda mbwa wa nchi za nje?

    Wana kinga asili nzuri dhidi ya magonjwa Ni nadra sana kukuta hawa mbwa wetu wamepelekwa hospitalini kutolewa minyoo (de -worming), hata wengi tunaowafuga hawajawahi kuchomwa sindano yoyote tangu wazaliwa lakini wanadunda. Kuwalisha kwa gharama nafuu Hata ukiwachanganya ugali na dagaa kwa...
Back
Top Bottom