kupenda

Kupenda for the Children is an American non-profit organization that works to improve the lives of children with disabilities in low and middle income countries.

View More On Wikipedia.org
  1. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Sababu za wanaume kupenda wanawake wenye makalio makubwa

    Kwanini Wanaume Wanapenda Wanawake Wenye Makalio makubwa? Unashangaa kwa nini wanaume wanapenda wanawake wenye makalio makubwa? Mbali na urembo wao wa uso, nywele nzuri, tabia, na jinsi wanavyovutia, kuna sababu pia kwa nini wavulana wanapenda wasichana wakubwa. Wanawake wenye matako makubwa...
  2. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Ulijuaje kuwa moyo wako unahisia za kupenda

    True story Binafsi nilikuwa zaidi ya ngumu ngumu mno yaani bandidu extra nikajuaga hizo seli za kihisia juu ya mapenzi sikuanazo. Siku zikaenda zikasonga niliwaona wazuri na wazuri sana na kukiri kuwa ni wazuri Ila sikuwa na mda nao tena yaani kuhisi kua Kuna upendo wowote juu Yao bas simulizi...
  3. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Historia yangu ya kupenda na kupendwa na Mabinti Waislam

    Hello JF members Mugona Vihi? Niende kwenye story, Mimi ni Mkristo, ila katika maisha yangu na safari ya mahusiano, macho yangu na nafsi yangu imetokea nawapenda na navutiwa sana na wadada na mabinti waislam na wao pia huvutiwa na mimi na huwa nadumu nao kwenye mahusiano. Tofauti na hawa...
  4. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu Ukweli usiosemwa na Wanawake kuhusu Kupenda?

    Ipo nadharia au msemo au ukweli unaofichwa kusudi na wanawake. Ukweli huo au nadharia hio ni kwamba wanawake hupenda kwa dhati Mwanaume mmoja tu kati ya wengi anaokuwa nao. Wengine wote anakuwa nao kwa (Sababu) tu na sababu hizo huwa ni kwa faida zake binafsi na malengo yake iwe ni upenzi...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikupenda, ni lazima afanye mambo haya

    Leo nimeona niwakumbuke ndugu zangu wanaopenda Mwanamke kwa Dhati ya Moyo na akili yao yote na hisia zao zote kuliko Kumpenda Bwana Yesu. Sawa, eehh ndo umempata sasa , umwekeza Muda na Pesa zako na hisia zako, kiasi kwamba Unaamini HUYO MWANAMKE akiondoka ,basi utakufa. Kabla HUJAFA , yajue...
  6. Camp Lehigh

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kupenda mtu mwingine

    Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha. Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya kinanikumbusha uwepo wake ninyeye aliyekua mwanamke wangu wa kwanza maishani mwangu. Nisaidieni...
  7. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

    Habari Ni kijana 25-27 years Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho. Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi) mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae. Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa. Kuna taarifa mbaya...
  8. honey bee

    JamiiForums Tanzania Utamtambuaje msichana anayekupenda ila anashindwa kukwambia?

    Naombeni tuzungumzie jinsi gani utamtambua mwanamke anaekupenda ila anashindwa kusema!! Participation kubwa itoke kwa wadada na wanawake, tunaomba mtiririke!!! Na kwa wanaume mnaofahamu situation hii kazi ni kwenu! Sitaki matusi! Au kuambiwa " shule zinafunguliwa lini". Kama huna cha kujibu, basi!
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kichaa ana hisia za kupenda? Je, anaweza kuafanya mapenzi?

    Leo nimekaa sehemu, ghafla akapita kichaa mara acheke cheke, aokote vipande vya mkaa na kuchora visivyoeleweka kwenye ukuta, n.k kiufupi akili haijakaa sawa, sasa nikawa najiuliza haya maswali. a) Je, wana hisia za kuweza kumpenda mtu kimapenzii? b) Je, wana uwezo wa kushiriki kufanya...
  10. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ukimpenda lazima umuhudumie?

    Kwani ni dhambi kula mbususu bila kutoa Huduma? Kazi anayo, pesa anayo ni lazima sana kumpa huduma, Je ili huwe mwanaume wa kweli lazima utoe huduma ata kama umezidiwa kipato? Cc Zero IQ
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtume Mwamposa, tafadhali fuata Ushauri uliopewa na Madaktari huku Kupenda Kwako Sadaka kunaweza Kukulaza mazima

    Tokea Jumatano ya Wiki iliyopita kulianza Kuenea Taarifa Kanisani Kwako kuwa hali yako ya Kiafya si nzuri. Kama kawaida yangu Mightier nikaona ngoja Kwanza niendelee Kuniridhisha na hizi Taarifa. Siku ya Jumamosi nilibahatika kumpata Mmoja wa Kondoo wako tena ni Mhudumu nikamtega na akafunguka...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kitendo cha nchi ya Burundi kupenda kushirikiana zaidi na nchi moja ya 'EAC' ni Afya kwa 'Usalama' wake wa Taifa?

    Ni kawaida kabisa kuisikia nchi ya Burundi au kupitia Rais wake wakipenda sana 'Kujianika' juu ya Mipango yao ya 'Kiustawi' na 'Rasilimali' zake kwa nchi moja Rafiki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Je, Wabobezi wa Mambo ya Kiitifaki na Kiusalama kitendo hiki cha Taifa la Burundi kupenda...
  14. kluger

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Watanzania kupenda michango

    Habari wadau, Leo nimepata muda kujiuliza hivi hii tabia ya Watanzania (walio wengi) au jamii yetu kupenda sana tabia ya kuanzisha michango na kuchangia tumeipata wapi? Au ni ile toka enzi za siasa za ujamaa na kujitegemea? Sipingi kuchangia mambo muhimu, ni jambo jema sana kuchangia mambo...
  15. Zuleykha

    JamiiForums Tanzania Mabinti msilazimishe kupendwa, wengine ni magaidi hawajui kupenda

    Habarini wanajamii wenzangu. Leo ninashare direct na ninyi hili, miaka kadhaa iliyopita katika harakati zangu za kazi nilikutana na binti mmoja ambaye ninakiri nilimpenda na nikamlea nikimchukulia kama mwanangu aliweza kuishi nami mpka akawa msichana mrembo wakuolewa ikiwa ni baada ya yeye...
  16. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kupenda kupitiliza ni hatari ya kujitakia

    Unaweza ukamuonesha hisia zako zote umpendae lakini yeye akashindwa kukupenda vile inavyotakikana!. Kupenda sio kosa lakini kupenda pasipo sahihi ni Kama kumeza kaa la moto!.. linakuunguza kulitema gumu. It's so hard kumuacha mtima wa moyo!. Usijaribu kuingia kwenye mapenzi kichwakichwa unaweza...
  17. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania My love story, why am I single

    Kuna rafiki yangu aliniambia hakuna mtu asiejua kupenda hata ujifanye kauzu vipi moyo una stop center yake utadondokea tu hata chizi. Basi bwana Mimi baada ya kuachana na mtu fulani niliekuwa nampenda sana baada ya kuona hakuna future nikaona nimute Mimi na kazi busy busy 24/7 kweli nilimsahau...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ataanza kukupenda ukishafanya naye sex

    Kuna Uzi ulishushwa hapa kwamba mwanamke anayekukataa Muda mrefu achana naye..nataka niwape Siri mwanamke siku ya kumtongoza hawezi kukukubali achana naye fanya mipango umle kwanza na siku ya kumla perform viwango yaani ukienda bao la kwanza nenda kijuba kweli piga mashine then mazingira...
  19. Kimbakuli

    JamiiForums Tanzania Makonda is a good leader, sema kupenda sifa na kujipandisha ndio kunamwangusha sana

    I do remember Paul Makonda wa awamu ya nne, akiwa UVCCM na badae DC-Kinondoni na Mjumbe wa Bunge la Katiba, alikuwa promising young politician wa taifa letu. Lakini ilipoingia awamu ya tano, sijui alilishwa nini huyu kijana, sijui km ni u-RC ndio ulimlewesha, sijui allitaka kucopy style ya...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikosea sehemu moja tu: Kuipenda CCM kuliko Taifa

    Tatizo moja tu ambalo Hayati Magufuli alikuwa nalo ni kupenda chama chake cha siasa CCM kuliko nchi ya Tanzania. Hii ilisababisha sana yeye kuangalia maslahi ya chama bila kujali maafa yake kwa taifa na nitatoa mifano michache 1. Kitendo cha kutumia usalama wa taifa kuchunguza wanasiasa wa...
Back
Top Bottom