kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata muundo wa Serikali za Tanzania na Zanzibar?

    HABARI WAKUU, SERIKALI AU TAASISI YOYOTE DUNIANI LAZIMA IWE NA STRUCTURE Ipo hivi serikali yetu ina OFISI YA RAISI, OFISI YA MAKAMU WA RAISI na OFISI YA WAZIRI MKUU Chini ya hao kuna wizara TAASISI zote km TBA, TRA, TANESCO, BOT zipo chini ya wizara Apo kuna mpangilio mfano BOT yupo chini...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini majasusi wa Tanzania wataanza kuzuia (prevent) uhalifu badala ya Sasa ambapo wanafichua maovu baada ya serikali/wananchi kupata hasara?

    Naamini Kila Mkoa, Wilaya, na maeneo mbalimbali miradi ya serikali inapotekelezwa Wapo majasusi wanalipwa Kwa Kodi za wananchi kumulika miradi ya serikali itekelezwe Kwa mujibu wa sheria. Kinachofanywa na majasusi WETU naamini kilishakosa nguvu duniani na Sasa Dunia ipo Kwenye ujassusi unaozuia...
  3. JamiiForums Tanzania Kati ya Misri na Ghana, ipi ilikuwa nchi ya kwanza Africa kupata uhuru?

    Shuleni tumefundishwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru ni Ghana, mwaka 1957. Lakini Egypt ilipata Uhuru wake mwaka1952. Ikiondoa waingereza na mfalme. Sasa imekaaje tukasema Ghana ndiyo ya kwanza kupata uhuru?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Natumia Blog kupata PESA. Hivi ndivyo ninavyopata VIEWS

    Habari Siku zilizopita nilipost Uzi kuhusu Mtaji wa 25,000 Unavyonipatia laki 4 kila mwezi>> Watu wengi walitaka kujua jinsi ya kupata Watembeleaji wengi kwenye Blog. Binafsi natumia njiaa kuu mbili kupata views kwenye blog yangu. 1. Natumia Magroup ya WhatsApp>. Huwa Na-share Links za posts...
  5. JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata kazi Serikalini kwa kutuma maombi pasipo kazi kutangazwa?

    Ndugu wanajamvi, habarini za majukumu. Kutokana na wimbi la uhaba wa ajira na hasa ajira za Serikali, baadhi ya vijana wameonekana kukata tamaa juu ya ajira hizi za serikali. Wengi huwa tunaomba kazi za serikali pale zinapotangazwa na hatujawahi kubahatika kuajiriwa. Najaribu kufikiria kutuma...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Handsome namba 1 Kenya, Stivo Simple Boy asema yeye ni Bikra na anataka kupata watoto zaidi ya 30 baada ya kuoa

    As far as we know, Stivo Simple Boy claims he’s still a virgin and would only indulge in intimacy after marrying. At least this is what he states. As a matter of fact, Stivo claims his separation with ex-girlfriend Pritty Vishy was expedited by her demands for intimacy. Despite Stivo being a...
  7. JamiiForums Tanzania 63% ya wanawake Tanzania wako tayari kupata chanjo ya COVID19

    Taarifa ya NBS imeonesha wanawake wenye utayari wa kupata chanjo ya UVIKO ni wengi zaidi kuliko wanaume. Ambapo 63% ya wanawake ambao hawajapata chanjo wako tayari kupata chanjo wakati ni 53% tu ya wanaume ambao hawajapata chanjo wako tayari kupata chanjo. Kwenye upande wa maeneo watu wa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mdee na Wenzake: Yule anayejisifu kusoma sheria na kupata A hamuwezi kumuona akichambua uamuzi wa Spika kuwalinda Mdee na Wenzake

    Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawapo la kozi ya sheria pale UDSM. Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Gharama za kupata kibali cha kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi

    Salaam wakuu Naomba kujua makadirio ya gharama za kupata kibali kuweza kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi. Je ni gharama gani naweza kuingia katika kufuatilia suala hili. Kama Kuna mtu ameshawahi kufanya hili au anafanya export hiyo naomba mrejesho wa gharama zake.
  10. JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Wanawake huwa hawafurahii kufanya mapenzi kama hawako katika siku za kupata ujauzito

    Mwanamke huwa anapata hamu kwa kipindi maalum, sio kila siku, yaani yupo kama ng'ombe jike huwa Ana period maalum. Ukikutana nae kimapenzi akiwa hayuko kwenye muda niliotaja hata upigeje hatapata utamu wowote, ingawa atakudanganya tu! Lakini ukimkuta kwenye siku ambazo yai lake lipo tayari...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata IC CHIPS Drive kariakoo

    wana jukwa za asubuhi poleni na kazi naomba msaada wa kufahamu duka wanalouza vifa vya ecltronic ic chip kariakoo Natafuta IC CHIPS hizi
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Dikteta Marcos, BongBong Marcos Jr anaelekea kupata Urais Ufilipino

    09 May 2022 Manila, Philippines 🇵🇭 Katika muendelezo wa watoto wa marais kuibuka baadaye kushika uongozi wa nchi, huko nchi ya visiwa vya Philippines watoto wa Dictator Marcos na dictator Rodrigo Duterte wanaelekea kushinda uchaguzi unaoelezewa wa kihistoria nchini humo. Source : Bongbong...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayojili Zanzibar kuna haja ya kuomba uraia wa visiwa hivyo. Naomba mnipe utaratibu wa kupata uraia

    Kwanza, mafuta bei yake iko chini huko Zanzibar. Pia maisha ya Wazanzibari ni nafuu mno kwasababu hakuna mfumuko wa bei. Pili, ukitupia jicho kwenye umeme bei iko chini na ni karibu na bure. Mwaka huu rais wa visiwa hivyo alitangaza kuwa nguzo za umeme itakuwa bure Tatu, mwaka wa mwisho wa...
  14. JamiiForums Tanzania Daktari: Watumiaji wa dawa kuzuia hedhi hatarini kupata magonjwa ya MOYO

    Wataalam wa afya wametoa angalizo kwa wanawake wanaotumia dawa za kuzuia hedhi bila kuzingatia ushauri wa daktari kuwa wako hatarini kupata madhara, yakiwamo maradhi ya moyo. Daktari wa Magonjwa ya Kinamama Hospitali ya Rufani Mkoa wa Njombe, Shomari Masenga ametaja dawa hizo kuwa zimegawanyika...
  15. JamiiForums Tanzania Zitto kabwe hana usafi wowote kujinasibu kuwa anafaa Urais. Alishawahi kupata kashfa kubwa ya kuhongwa pesa

    Nimeshangaa sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Zitto akijinasibu kuwa eti ana uwezo, elimu na kila hali ya kuwa rais wa JMT. Watanzania wengi wanajua kabisa hafai hata kiduchu maana ni oppoturnist, mpenda fedha na mnafiki. Nani atampa kura yake Zitto Kabwe? Huko nyuma ziliwahi kuwekwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali ifumuliwe, iondolewe jukumu walilozoea la kuahisrisha kesi hata pale ambao wanaona ushahidi umekamika

    Taifa linawatafuta akina Jaji Samata wa Leo Lakini awaonekani, tunatafuta wakina Waryoba no where to be seen. Nadhani makosa yanatokana na mfumo wa kupata majaji, mfumo wa kupandisha vyeo mahakimu na mfumo wa Mahakama kujitaftia Uhuru wake pamoja na mfumo wa kupandisha vyeo mawakili wa serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Tatizo la engine ya gari kuchemsha. Tafadhali pitia uzi huu, unaweza kupata chochote

    Uzi huu ni mrefu. Tafadhali soma wote. Huenda kuna kitu utajifunza. Risk Disclaimer⚠️⚠️⚠️⚠️ Usifungue mfuniko wa rejeta engine ikiwa imepata moto. Unless kama umeamua kujifanyia plastic surgery ya sura yako wewe mwenyewe. Tafadhali zingatia hili. Kwanza kabisa naomba niweke sababu za gari...
  18. JamiiForums Tanzania Dunia inatafsiri kutoa kama kupata

    KUTOA NI KANUNI YA ASILI YA ULIMWENGU INAYOMAANISHA KUPATA. Hakuna kiumbe kinachoweza kukwepa kupata. Kupata hapa namaanisha kukidhi mahitaji ya kuendelea kuwepo na pia kuongezeka. Hii ni kanuni ya asili na unapoifuata kwa kujua au kutokujua matokeo yake ni kupata. Kutoa siyo kupoteza katika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka ameachiwa kwa dhamana ya Polisi, ameteswa sana kupata kipigo kisichofaa

  20. JamiiForums Tanzania Edgar Kibwana: Simba wapange kikosi hivi ili waweze kupata droo

    Kuelekea mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, kati ya Orlando Vs Simba, mchambuzi Edgar Kibwana wa Sports Extra ya Clouds Fm amependekeza kikosi chake ambacho kikipangwa kinaweza kikafuzu. Je una maoni gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…