kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata Storage kubwa ya disk?

    Habari zenu wadau Hivi naweza kupata Storage yenye ukubwa wa 100Tb kwa shingapi? Je itakuwa ni disk moja au mengi? Je maximum hard disk ni kiasi gani? Je kwa Bongo yanapatikana?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupata fridge za TBL

    Kama kuna mtu anajua procedures za kufuata ili kupewa fridge za bia kama Safari n.k na TBL naomba anijuze tafadhari?
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Watawala, wananchi wana haki ya kupata taarifa sahihi na kwa wakati

    Ili kujenga jamii iliyobora mawasiliano katika kutatua changamoto za jamii ni muhimu sana. Lakini katika hili ofisi na taasisi za Serikali zimekuwa na changamoto katika kutoa mawasiliano kwa Umma na taarifa muhimu zinazowafaa wananchi. Ukianza kutafuta taarifa za jambo fulani katika Serikali na...
  4. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi wapo wanaofanikiwa kupata wenza makini (serious) mitandaoni?

    Kwa siku za karibuni kwenye mitandao mbali mbali kumeshamiri maombi ya kuhitaji Wenza...natamani kujua kama kuna utafiti umefanyika kujua mafanikio ya mfumo huu. Maombi haya yamekuwa yakiambatishwa na vigezo lukuki huku vingi ya hivyo ni ngumu hata kupatikana kwa Mtu mmoja. Pia...
  5. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

    Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" 🤦‍♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi. Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha...
  6. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kupata kazi FBI, wameniomba dola 100 kwa ajili ya badge

    Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI. Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo. Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kupata matokeo bila Kibwana Shomali wakala kichwa kinapata moto

    Kijana wetu Kibwana kapata injury, hachezi lakini Yanga haijakata moto wa wimbi lake la ushindi kila moto. Hii sio hali nzuri kwa mchezaji yeyote duniani. Kibwana amepata nafuu karudi kundini lakini mkataba wake unaenda mwisho na hajapewa mkataba mwingine bado. Wakala wa mchezaji kupitia...
  8. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mtazame mzee Hassan Dalali baada ya kupata ajali ya bodaboda, Simba yatoa tamko

    Uongozi wa Klabu ya Simba umetoa pole kwa aliyewahi kuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Hassan Dalali kufuatia ajali aliyoipata Jumatatu Machi 7, 2022 jijini Dar es Salaam. Dalali alianguka na Bodaboda aneo la Rangi Tatu njia ya kuingilia Chamanzi, polisi ndiyo waliomtambua baada ya kumfikisha...
  9. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi kupata msaada kupitia app ya carlcare kiganjani mwako

    Je, unafahamu kuwa kupitia simu yako unaweza kupata msaada wa kufahamu ghalama mbalimbali za malekebisho ya simu bila hata kufika katika kituo chetu cha matengenezo CARLCARE SERVICE CENTER. Unachotakiwa ni kudownload APP ya Carlcare then katika menu ya APP pale utaona vitu mbalimbali kama...
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

    Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma. Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika. Watanzania tusitarajie huu mradi...
  11. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Wapi hapa Mwanza naweza kupata smart TV nzuri?

    Wakuu naomba kujua location nzuri naweza kupata Smart TV nzuri Inche 32.Nina 450,000 mkononi. Pia ni kampuni gani nzuri zaidi? Shukrani
  12. J

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata ajira kwa wataalam wa afya na suluhisho

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  13. kidereko

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata TIN NUMBER ONLINE

    Wakuu habari, Kuna mtu anaitaji TIN ya TRA , Je! anaweza kuipata ONLINE wakuu?! Kwa namna zipi
  14. Mes92

    JamiiForums Tanzania Nafasi zimetangazwa 12 Utumishi interview tumeenda 8. Je, kuna uwezekano kweli wa kupata kazi wote au sheria ndo inafuata mkondo?

    Msaada kwa wadau mwenye uzoefu au aliyewahi kukutana na situation hii
  15. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

    Inasikitisha. Kulikuwa hakuna utii bila shuruti?
  16. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Kila nikiwaza haya majanga nakosa hamu ya kupata mtoto

    Natamani sana kuwa na watoto, ila nina mambo yanayonikosesa furaha kila nikiwaza juu ya kuwa na watoto,. Miongoni mwa mambo hayo nina makubwa mawili nayo ni;- 1. Umasikini, Umasikini ni janga kubwa kwa upande wangu, huwa nakosa amani pale ninapoiona kesho ya watoto wangu kwenye swala...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Barabara ya milimani huko Yichang mkoani Hubei yawasaidia wanavijiji kupata utajiri

    Katika miaka ya hivi karibuni, eneo la Yiling huko Yichang mkoani Hubei limeendelea kuhimiza ujenzi wa miundombinu, kwa kujenga barabara zinazounganisha vijiji vya milimani, na kuunda mtandao wa usafiri kati ya miji na vijiji, na kuwasaidia wakulima wa milimani kusafiri na kuuza bidhaa za...
  18. President of China

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata nguvu za kiroho

    Za siku nyingi wana JF. Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa namna nitakavyo weza kufundisha somo hili tajwa. Leo nimeona niweze kutoa utangulizi wa mambo ya kiroho na kuweza kuzipata guvu zake. Watawala wengi duniani na makundi mbalimbali huzitumia nguvu za kiroho katika kujinufaisha kwenye...
  19. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mahakama yaridhia uamuzi wa Polisi aliyepata ujauzito nje ya ndoa kufutwa kazi

    Mahakama Kuu Nchini Nigeria imedumisha uamuzi wa kikosi cha Polisi kumfuta kazi afisa wa polisi wa kike ambaye alipata ujauzito nje ya ndoa mwaka jana. Jaji Inyang Ekwo amesema hakuona sababu ya kutosha kuvuruga nidhamu ya jeshi. Kesi hiyo iliwasilishwa Mahakamanina Chama cha Wanasheria wa...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama mmefikia kuwa na hoja duni kama hizi, mtapata nafasi ya kupata sapoti tena toka kwa wananchi?

    Sasa huku ni kukengeuka au kutokuwa na watu makini maana mnashupalia hoja zisizo na mashiko kabisa na kuonekana kama majuha. Hivi rais wa JMT kupanda dege la Emirates ni hoja ya kuishupalia ili mpate kick? Sakata la Ngorongoro je? Mbona mnalielezea vingine kabisa? Sakata la Ngorongoro nalo...
Back
Top Bottom