Njia za kupata elimu bila kwenda chuo kikuu

Mr sule

JF-Expert Member
Oct 14, 2021
607
1,097
Teknolojia imekuwa muhimu na msaada kwa kila mtu, jinsi inavyoszid kukua na ndivyo inavyoleta mabadiliko.

Leo nataka tuangazie njia kadha unazoweza kuzitumia kupata elimu bila kwenda chuo kikuu. watu wengi wana ndoto ya kufanya vizuri katika elimu lakini kwa namna moja ama nyingine huwa zinabaki kuwa ndoto tu.(yanachangia maswala ya uchumi, changamoto za maisha na mambo mengine)

Ikiwa ulifeli shule kama mimi, sehemu hii itakuhusu, maana ni mambo ambayo nimejifunza katika experince yangu yangu ya kuishi bila elimu baada ya ku stop Shule ya msingi.

Elimu ya sasa ni tofauti na zamani si lazima kwenda chuo ili kupata maarifa fulani maana maarifa yote yanapatikana online, ni wewe mwenyewe sasa kuchagua una focus kwenye mambo gani au unataka kujua kitu gani.

Naomba nikukumbusha kwama Elimu si tu madarasa, mitihani na vyeti, na kuwa umeelimika si lazima kuwa na degree, masters au Phd, mbali ni kuwa na mtazamo mpana, Kuyatambua madhaifu yako na kujiimarisha mwenyewe, Pia elimu inahusu kugundua ujuzi unaohisi unahitaji ili kujiboresha katika mambo yako, mfano: biashara, kazi, jamii nk..

Naomba nikukumbushe kwamba, chochote unachofanya husifirkir bila degree huwez kukifanyikisha au bila degree haiwezekani.

Habari njema ni kwamba mambo yamebadilika, unahitaki tu internet kufanya yote hayo , na haya ni mambo unaweza kufanya ili kujiboresha kielimu.

Kusikiliza habari.
Njia moja wapo ambayo inaweza kukuendeleza kielimu ni kupenda kusoma magazeti au kusikiliza sana habari, matukio na vipindi mbali mbali vya Radio au Tv,
Njia hii itakusaidia sana maana utakuwa unajua mambo muhimu yaliopita, matukio ya sasa yanayoendelea duniani na mambo ambayo yanayokuja, maana kwenye Radio na Tv kuna vipindi mbali mbali vitakuelemisha , maswala ya jamii, mambo ya sayansi na teknolojia. utajifunza mambo mengi kutoka watu mbali mbali. unaweza kuwa karibu na BBC, DW, VOA na JF unaweza kujifunza mambo mengi sana tajwa hapo juu.

Kujaribu kufanya kitu kipya kila siku.
Kujaribu kuwaza kufanya kitu kipya kila siku ni sehemu nyingine ya kupata elimu, labda wewe unakipaji fulani, au una passion na kitu fulani, ni vizuri ukawa unajaribu mbinu mpya ya kuendeleza kipaji chako. ikiwa wewe ni dancer basi jaribu style mpya ya kucheza kila siku. Yaani jaribu kufanya tofauti na ulivyozoea.

Soma masoma ya mtandaoni.
Kuna tovuti nyingi zinatoa elimu bure mtandaoni, dunia ya sasa ni kiganjani, ni simu na internet yako tu, kila kitu unaweza kujifunza kutoka kwenye simu yako. Mwenyewe nimejifunza mambo ya computer skills kwenye hizi tovuti za bure, imenisadia kwenye AWS, azure google, Cybersecurity, web design, digital marketing nk... . tenga muda wako, changua vitu ambazo vinakupa changamoto kwa wakati huo, anza kujifunza mambo hayo bure.

Tumia google na youtube.
Google ni zaidi ya chuo kikuu, kila kitu unachotaka kujua Google search ni njia rahisi ya wewe kujua na kujiongezea maarifa zaidi na zaidi kila siku. mfano, ukitaka kujua Code number ya Rwanda, Google kwa muda huo itakupa majibu, ukitaka kujua Tanzania ilipata uhuru mwaka gani?, Google itakupa majibu, ukitaka kujua tajiri namba moja ni nani, ansihi wapi, ana umri gani, anautajiri wa kiasi gani, basi Google ni suluhisho wa mambo yote. ndio maana nasema ni zaidi ya Chuo kikuu.

Youtube imekuwa sehemu bora kujifunza, mfano simu yangu ilikuwa inaonyesha tu logo kwenye screen, hata sikupata shida, nili ingia youtube na kuandika how to remove iphone logo on screen. niilipata majibu mengi, nikaangalia Video moja tu na nikaweza kutatua tatizo langu.

Kwaiyo hapo siku nyingine ikitokea haitokuwa shida maana elimu tayari ninayo ya kutatua shida yangu.
Nilipata vitu viwili youtube, niliokoa simu yangu, pili nilibaki na ujunzi.

Vitu vingine vya kujiendeleza kielemi ni
Penda kuhudhuria semina.
Jifunze kutoka kwa watu wengine.
Kuwa muulizaji mzuri.
Penda kujua sana, maana ukitaka kujua kitu lazima utapenda kujifunza.

Njia hizi nimezipendekeza kutokana na experience yangu, mambo yanayonisadia sana katika maisha yangu.

Unaweza ku share na wewe za kwako ili tuelimishane zaidi.

🧑🏼‍💻💪🙏
 
Umeandika ya maana Sana.
Nimejifunza ku-formulate vipodozi kupitia google na YouTube..nimefika hatua kubwa ya makeup sababu ya YouTube..Nawashukuru hao mafounder wa hizo mitandao kwakweli na bado naendelea kujifunza kila week napata kitu kipya.. Alhamdullilah
 
Pamoja
 
Tunakushukuru sana kwa kuwa na moyo huo, kwani angekuwa mwingine angeamua kukaa tu na uzoefu wake bila kushare na wengine. Ubarikiwe mtumishi.
 
Asee ni nzuri kwa vijana wadogo.
Naweza kuset dish mwenyewe kupitia JF.
Simu kali,tv,(gadgets) kwa ujumla sahiv hunishikishi kiboya JF inaniongoza.

Usitaarabu wa kuongea na kujibu topcs mbalimbali nimejichotea JF!

Tutumie mitandao kwa manufaa!
 
Kikubwa hapo endelea kujifunza mkuu kupata maarifa mapya
 
Asee ni nzuri kwa vijana wadogo.
Naweza kuset dish mwenyewe kupitia JF.
Simu kali,tv,(gadgets) kwa ujumla sahiv hunishikishi kiboya JF inaniongoza.

Usitaarabu wa kuongea na kujibu topcs mbalimbali nimejichotea JF!

Tutumie mitandao kwa manufaa!
Kweli mkuu
 
Me naomba kuuliza inawezekana vipi ikiwa vitu vingine vimeandikwa katika lugha ya kingeleza na wakati mimi nimeishia 7 D
 
Tumia Google stanslate itakusaidia, hata ukiwa unaangalia video youtube unaweza kuset hvyo, mtu anaongea kwa kingereza ila huku inatafsiri kiswahili.

kwenye Google search set kwenye chrome yako kabisa kwamba kila web unayoingia ibadili maandishi kwa lugha yako.

Alafu jifunze kingereza youtube kitakusaidia, si lazima uende English class
 
Nakushukuru mkuu, sikujuwa kama kuna kitu kinaitwa google translate
 
Teknolojia imekuwa muhimu na msaada kwa kila mtu, jinsi inavyoszid kukua na ndivyo inavyoleta mabadiliko.

Leo nataka tuangazie njia kadha unazoweza kuzitumia kupata elimu bila kwenda chuo kikuu. watu wengi wana ndoto ya kufanya vizuri katika elimu lakini kwa namna moja ama nyingine huwa zinabaki kuwa ndoto tu.(yanachangia maswala ya uchumi, changamoto za maisha na mambo mengine)

Ikiwa ulifeli shule kama mimi, sehemu hii itakuhusu, maana ni mambo ambayo nimejifunza katika experince yangu yangu ya kuishi bila elimu baada ya ku stop Shule ya msingi.

Elimu ya sasa ni tofauti na zamani si lazima kwenda chuo ili kupata maarifa fulani maana maarifa yote yanapatikana online, ni wewe mwenyewe sasa kuchagua una focus kwenye mambo gani au unataka kujua kitu gani.

Naomba nikukumbusha kwama Elimu si tu madarasa, mitihani na vyeti, na kuwa umeelimika si lazima kuwa na degree, masters au Phd, mbali ni kuwa na mtazamo mpana, Kuyatambua madhaifu yako na kujiimarisha mwenyewe, Pia elimu inahusu kugundua ujuzi unaohisi unahitaji ili kujiboresha katika mambo yako, mfano: biashara, kazi, jamii nk..

Naomba nikukumbushe kwamba, chochote unachofanya husifirkir bila degree huwez kukifanyikisha au bila degree haiwezekani.

Habari njema ni kwamba mambo yamebadilika, unahitaki tu internet kufanya yote hayo , na haya ni mambo unaweza kufanya ili kujiboresha kielimu.

Kusikiliza habari.
Njia moja wapo ambayo inaweza kukuendeleza kielimu ni kupenda kusoma magazeti au kusikiliza sana habari, matukio na vipindi mbali mbali vya Radio au Tv,
Njia hii itakusaidia sana maana utakuwa unajua mambo muhimu yaliopita, matukio ya sasa yanayoendelea duniani na mambo ambayo yanayokuja, maana kwenye Radio na Tv kuna vipindi mbali mbali vitakuelemisha , maswala ya jamii, mambo ya sayansi na teknolojia. utajifunza mambo mengi kutoka watu mbali mbali. unaweza kuwa karibu na BBC, DW, VOA na JF unaweza kujifunza mambo mengi sana tajwa hapo juu.

Kujaribu kufanya kitu kipya kila siku.
Kujaribu kuwaza kufanya kitu kipya kila siku ni sehemu nyingine ya kupata elimu, labda wewe unakipaji fulani, au una passion na kitu fulani, ni vizuri ukawa unajaribu mbinu mpya ya kuendeleza kipaji chako. ikiwa wewe ni dancer basi jaribu style mpya ya kucheza kila siku. Yaani jaribu kufanya tofauti na ulivyozoea.

Soma masoma ya mtandaoni.
Kuna tovuti nyingi zinatoa elimu bure mtandaoni, dunia ya sasa ni kiganjani, ni simu na internet yako tu, kila kitu unaweza kujifunza kutoka kwenye simu yako. Mwenyewe nimejifunza mambo ya computer skills kwenye hizi tovuti za bure, imenisadia kwenye AWS, azure google, Cybersecurity, web design, digital marketing nk... . tenga muda wako, changua vitu ambazo vinakupa changamoto kwa wakati huo, anza kujifunza mambo hayo bure.

Tumia google na youtube.
Google ni zaidi ya chuo kikuu, kila kitu unachotaka kujua Google search ni njia rahisi ya wewe kujua na kujiongezea maarifa zaidi na zaidi kila siku. mfano, ukitaka kujua Code number ya Rwanda, Google kwa muda huo itakupa majibu, ukitaka kujua Tanzania ilipata uhuru mwaka gani?, Google itakupa majibu, ukitaka kujua tajiri namba moja ni nani, ansihi wapi, ana umri gani, anautajiri wa kiasi gani, basi Google ni suluhisho wa mambo yote. ndio maana nasema ni zaidi ya Chuo kikuu.

Youtube imekuwa sehemu bora kujifunza, mfano simu yangu ilikuwa inaonyesha tu logo kwenye screen, hata sikupata shida, nili ingia youtube na kuandika how to remove iphone logo on screen. niilipata majibu mengi, nikaangalia Video moja tu na nikaweza kutatua tatizo langu.

Kwaiyo hapo siku nyingine ikitokea haitokuwa shida maana elimu tayari ninayo ya kutatua shida yangu.
Nilipata vitu viwili youtube, niliokoa simu yangu, pili nilibaki na ujunzi.

Vitu vingine vya kujiendeleza kielemi ni
Penda kuhudhuria semina.
Jifunze kutoka kwa watu wengine.
Kuwa muulizaji mzuri.
Penda kujua sana, maana ukitaka kujua kitu lazima utapenda kujifunza.

Njia hizi nimezipendekeza kutokana na experience yangu, mambo yanayonisadia sana katika maisha yangu.

Unaweza ku share na wewe za kwako ili tuelimishane zaidi.

🧑🏼‍💻💪🙏
Na pia Jamiiforums ni shule tosha kwa maarifa yote!
 
T
Umeandika ya maana Sana.
Nimejifunza ku-formulate vipodozi kupitia google na YouTube..nimefika hatua kubwa ya makeup sababu ya YouTube..Nawashukuru hao mafounder wa hizo mitandao kwakweli na bado naendelea kujifunza kila week napata kitu kipya.. Alhamdullilah
Tupe ujuzi ulianza anzaje?
 
Soma vitabu mbalimbali vya kuelimisha mfano vya kiuchumi, kijamii, kisiasa, afya n.k

: Vitabu vina tanua ubongo kifikra.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom