kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wateule wa Rais wapitishwe Jeshini kupata mafunzo

    Wabunge na Watumishi wa Bunge waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa wameiomba serikali kuweka utaratibu wa viongozi wanaoteuliwa kupewa mafunzo ili kuwajengea moyo wa uzalendo, utii, uhodari na wepesi katika maamuzi kwenye nafasi zao. Wabunge 21 na watumishi wa Bunge 18 wamepata na...
  2. R

    Kuhakiki vyeti vya kuzaliwa RITA ili kupata mkopo

    Mwenye kujua nini kinafanyika anijuze please. How long dose it take to get feedback? If the delay is inordinate, what should I do?
  3. SoC02 Wateule wa Rais msiwapotezee muda wananchi kupata haki zao katika migogoro ya ardhi

    Siku za hivi karibuni hasa kuanzia serikali ya awamu ya tano mpaka sasa, wananchi wameacha kuamini mifumo rasmi ya utoaji haki badala yake wanaamini viongozi wa kisiasa mfano wakuu wa wilaya, mikoa, mawaziri na watendaji katika vyama vya siasa katika kudai haki hasa ile inayojikita katika...
  4. L

    Ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China yafanya safari ya majaribio ili kupata hati

    Julai 31 ndege ya abiria aina ya C919 iliyotengenezwa na China ilifanya safari ya majaribio kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing Daxing kwenda mji wa Guilin, ili kupata hati itakayotolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya China.
  5. SoC02 Mimi ni USAILI/INTERVIEW''; Kilio cha Usaili. Je, Wapi nakosea?.

    Miongoni mwa jambo pasua kichwa kwa watafuta ajira wengi wenye vyeti vilivyoosheni GPA zenye vigezo vya mtu kupata nafasi ya kuwajibika eneo husika basi kuhusu USAILI huwezi kuacha kuzungumzia. Kuna haja ya kuliangalia hili swala la mfumo wa umimi/ubinafsi katika mfumo mzima wa usaili...
  6. Huduma ya online copy haipo katika website ya nida

    Habari wakuu, huduma ya online copy haipo katika website ya nida ila kuna wataalam huwa wanauwezo wa kuzipata. Hivi ujanja gani wa kiteknolojia hutumika?
  7. Waziri Mkuu: Wanaolalama kupata ongezeko la 20,000 ni wale wenye mishahara mikubwa

    Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02% Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata...
  8. K

    Kwa anayejua utaratibu wa Dispora kupata vitambulisho vya taifa

    Nasikia hata Tanzania utaratibu wa vitambulisho vya taifa haueleweki kwa sasa kuna watu wanapewa namba lakini card hazitoki. Kwa dispora hatujui utaratibu ukoje ! Najiuliza kwanini balozi waweze kufanya passport lakini washidwe vitambulisho vya taifa? Kama kuna mtu anajua utaratibu naomba...
  9. M

    Ni aibu kubwa, vijana wa kiume kuishi kwa kukata viuno kwenye mabaa ili kupata riziki. Kwa nini wasilime?

    Inashangaza sana eti kunakuwa na mashindano ya vijana wa kiume kukata mauno kwenye mabaa na kujiita wacheza dance. Wanashindwa kulima bustani za mbogamboga? Mbaya zaidi wanakata mauno kuliko hata Wanawake
  10. S

    SoC02 Funguo za kupata fursa zaidi

    Kwa majina naitwa Steven J ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo cha Dodoma, Shahada ya utawala katika elimu. Naomba nikuletee makala fupi kuhusiana na Funguo za kupata Fursa zaidi, ambavyo ni vitu nilivyojifunza kupitia maisha niliyoyaona kwa watu lakini pia niliyoyaishi mimi mwenyewe. Makala...
  11. Licha ya Yanga sc kupata mafanikio ndani ya nchi msimu huu ila ndiyo club inayoongoza kwa mashabiki wake kutokuwa na furaha

    Mashabiki wa Yanga kwa mafanikio waliyoyapata msimu huu walipaswa kuwa na furaha sana ila imekuwa ndivyo sivyo hizi hapa sababu. 1: licha ya kuwa mabingwa kwenye michuano ya champions league wanaanzia kwenye mchujo. 2: Mayele katetema mwaka mzima ila kaambulia ng’ombe hii inauma sana. 3...
  12. M

    Chimbo la kupata vifaa vya simu- Kariakoo

    Wadau, Natafuta machimbo ya kupata vifaa vya simu kwa bei ya jumla kwa kariakoo, vifaa navyotaka: Covers Earphones Chargers Protectors Batteries LCDs Msaada wenu wadau
  13. Kama ulikua unaenda siku 28 za mizunguko wa hedhi halafu hujaona siku zako hadi siku 30 unaweza kupata mimba?

    Habari Naomba kuliza, Kama ulikua unaenda siku 28 za mizunguko wa hedhi halafu hujaona siku zako hadi siku 30 unaweza kupata mimba?
  14. Wapi naweza kupata setup ya Efootball 2022?

    Wapi naweza kupata setup ya efootball 2022?
  15. Msaada: Wapi naweza kupata mbegu za Safflower au Katamu?

    Habari wadau wa kilimo. Naomba kufahamishwa sehemu inapopatikana mbegu ya zao la Safflower au Katamu kwa jina jingine?
  16. M

    SI KWELI Watu wenye kundi la damu O+ hawawezi kupata maambukizi ya VVU/UKIMWI

    Kumekuwa na uvumi kuwa watu wenye kundi la damu O+ hawawezi kupata maambukizi ya VVU/ UKIMWI. Hata hivyo, wanasayansi wanasema kundi la damu halina uhusiano wowote na kutopata maambukizi ya UKIMWI. JE NI KWELI UKIWA NA KUNDI “O” LA DAMU HUWEZI PATA MAAMBUKIZI YA UKIMWI?
  17. S

    MSAADA: Naomba msaada wa jinsi ya kupata social security number

    Nimejiajiri, nataka kupata social security number, msaada tafadhali
  18. Ushauri wangu kwa vijana mliofanikiwa kupata ajira hasa za hivi karibuni

    Awali ya yote niwapongeze sana. Kama mjuavyo, hizo fursa kuna wengi walizitamani lakini hawakufanikiwa. Kwahiyo hongereni sana. Nimeamua kufungua uzi huu ili ku-share nanyi vitu angalau kwa uchache ambavyo vinaweza kuwasaidia. Hii ndio faida ya JF. 1) Kwanza kabisa, natambua vijana mlio wengi...
  19. M

    Ukraine inataka zana za kijeshi za Ujerumani. Ujerumani inataka gesi ya Urusi ili kuimarisha uchumi wake. Ukraine inazuia Ujerumani kupata gesi

    Kuna hili jambo linalozihusu Urusi, Ukraine na Ujerumani. Ujerumani inaitaka sana gesi ya urusi kwa ajili ya uchumi wake. Viwanda vingi hata vile vya kijeshi vinatumia umeme unaotokana na gesi toka Urusi. Inabidi iendelee kupata gesi hiyo ili uchumi wake uendelee kuwa vizuri hata imudu kuisaidia...
  20. Je, kuna uwezekano wa kupata mkopo university kama ukitokea diploma kwenda degree

    Naombeni msaada wenu wakuu. Nimemaliza diploma na nilikuwa napenda kuendelea na elimu ya juu lakini kulingana na hali ya maisha naweza nikashidwe kujihudumia na kama mnavyo fahamu chuo kikuu ni gharama kubwa. Naomba kufahamishwa kama naweza pata mkopo ili niweze kuendelea na elimu yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…