kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nikiokota Diary Yako itaninufaisha au nitaishia kupata karatasi za kufungia nyanya?

    Salaam Nimekaa nimefungua Diary yangu nimepitia pitia mara nikakutana na budget niliyoiandaa kwa mshahara wangu wa kwanza baada ya kuanza kazi. Nikagundua kumbe nilikuwa na utaratibu wa kuandika matumizi ya Kila mwezi na kiasi ninachokiacha kama akiba lakini nilikuja kuachana na utaratibu...
  2. JamiiForums Tanzania Je kuna miracle money? Je ni nani ameshawahi kupata miracle money?

    Miracle money ni hela unayoipata kwa njia ya ajabu kabisa ambayo hukuitarajia. Siku za hivi karibuni kuna wakuu wa dini wamejitokeza wakosema eti wana uwezo wa kukuombea ukapata miracle money. Nijuavyo mimi, miracle money huombewi na mtu yeyote, ila unaomba wewe mwenyewe, na huipati hadi uwe...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ni sehemu gani unaweza kupata Chemicals mbalimbali

    Mfano labda nahitaji calcium carbonate, silicone ,Polyol Nk ni sehemu gani naweza kupata vitu kama hivyo labda TDI please Nisaidieni wana jamvi.
  4. JamiiForums Tanzania Njia ya kupata mwanamke yeyote umtakaye

    Chukua mdudu aitwaye CHANDE mchome kisha mtwange na ungawake uweke kwenye kiganja Nenda kwa demu umtakaye na umpulizie. Hapo umeuwa kabisa mtongoze au mvute geto. Nb: Hii njia niliambiwa na watoto wenzangu utotoni sijawahi jaribu
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Tumsaidie Rais Samia kupata wasaidizi waadilifu

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na waumini waliohudhuria mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran tukufu yaliyoandaliwa na taasisi ya Aisha Sururu Foundation (ASF) jijini Dar es Salaam amesema Rais Samia Suluhu Hassan anaguswa na suala la maadili hasa kwa vijana...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais kupata majina ya watu wanaofaa kupewa uwaziri, anatusikiliza

    Mhe. Rais anatamamani Sana kupata watu wakumsaidia kwenye uwaziri; lakini may be Hana majina mengi ya watu wanaofaa na hivyo kulazimika kutumia majina yale yale. Great thinkers tunaweza kutumia fursa hii kumsaidia baadhi ya majini anayoweza kuyatupia macho aboreshe Baraza la Mawaziri Uzi huu...
  7. JamiiForums Tanzania Msanii Mimi Mars atamani kupata mtoto

    MSANII wa Bongo Fleva, Marianne Mdee ‘Mimi Mars’ ameweka wazi kuwa anatamani kupata mtoto. Mimi Mars amesema baadhi ya watu wanadhani kuwa hapendi kuwa na mtoto, isipokuwa aliamua kujipa muda kidogo na kwamba hivi karibuni ataitwa mama. “Kila kitu ni mipango hivyo nilikuwa najipanga nikiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna hujuma za upangaji wa matokeo ya kupata kinara wa D kombe la shirikisho?

    Katika kundi hili gumu miamba ya Afrika Young Africans wanaongoza kundi D,Kwa tofauti ya goli moja huku ikimuacha nyama Monastir aliye nafasi ya pili Yanga na Monastir wameachana goili moja huku wakilingana point 10 na mechi za kesho zote mbili dhidi ya hizi timu mbili Zina maslahi makubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hekima ya siasa zidi ya Hekima ya uongozi na jinsi ya kupata Hekima ya uongozi na siasa

    1. Hekima ya siasa ni muhimu sana katika uongozi wa taifa au jamii yoyote ile. Hekima hii inahusisha uwezo wa kufikiri kwa makini na kutumia busara katika kutatua matatizo yanayohusiana na utawala wa nchi. Hekima ya siasa inahusisha pia uwezo wa kuwa na maono na mikakati madhubuti ya kukuza...
  10. JamiiForums Tanzania Marubani wa ndege ya shirika la Precision kumbe walikaidi ushauri wa waongoza ndege wakaishia kupata ajali?

    https://www.yahoo.com/news/tanzania-pilots-failed-heed-warnings-194627197.html
  11. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata Hallucinogens (DMT, LSD, PCP) na psychedelics kwa Dar?

    Hello wakulungwa, Ninatafuta vidonge vya hallucinogens kama DMT, LSD, PCP au psychedelics kama Psilocybin, Salvia,Mushrooms etc. Kwa dar naweza kupata wapi hizi dawa? Asante
  12. JamiiForums Tanzania Maulidi kitenge: Wanawake wajipaka tumbaku sehemu za siri kupata msisimko wa mapenzi

    Assalam aleykum Kama mnavyosoma hapo inaaminika wanawake zaidi ya asilimia 80 wanatumia tumbaku ili kujiongezea hamu ya mapenzi. Sasa ninachojiuliza ni kwamba mbona vitu vya kuongeza ashki ni vingi sana kwanini watumie ugoro?? Dah Kama wanawake wenzangu hadi tumbaku mnaweka kwa bibi basi mna...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, neno lako tu litasaidia wakazi wa Mpiji na Makabe kupata Lami

    Rais wetu Mpendwa, binafsi najiona mwenye bahati kuwa na Rais wa aina yako. Kikubwa zaidi ni kwa jinsi ulivyoubeba uhusika wa kuwa Kiongozi usiyebagua watu wako. Zaidi ya kuwa Kiongozi wa Taifa letu lakini pia Umejaaliwa SANA UTU. Mama yetu pamoja na Majukumu mengi uliyonayo natamani japo...
  14. JamiiForums Tanzania Kuzaa mapema sio kupata msaada/ suluhu za uzeeni

    KUZAA MAPEMA SIO KUPATA MSAADA/SULUHU ZA UZEENI Anaandika Robert Heriel, Kionambali. "Nazaa mapema ili nipate wakunisaidia uzeeni" Hapo ataanza kupiga hesabu, "nikifikisha miaka 35 mtoto atakuwa na miaka 10, nikifikisha 45, mtoto wangu atakuwa na 20, hapo nguvu zitakuwa zinaanza kuyoyoma...
  15. JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kupata mchongo mzuri wa kukuinua kimaisha ila tamaa zako zikakuharibia?

    Rejea mada tajwa hapo juu, nia ni vijana kujifunza ni jinsi gani tamaa zetu binafsi zinapoteza uaminifu wetu kwa wengine na vile zinarudisha maisha yetu nyuma. Karibuni.
  16. JamiiForums Tanzania Leo taifa linaenda kupata aibu

    Baaada ya jana Mnyama mfalme wa nyika mwenye pori lake kuwatafuna na kuwavulumisha timu nguri ya Horoya kwa magori saba kwa nunge, na kuipa nchi sifa kedekede hatimae leo Taifa litapokea aibu toka kwa vyura wa Jangwani yaani Utopolo max Sasa kwa siku ya leo ndugu watanzania na wapenzi wa mchezo...
  17. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata viti vya ofisini vya mtumba? Bei zake zikoje?

    Asalaam Aleikh. Wakuu wapi naweza kupata viti vya ofisini vya mtumba. Viti vile unaweza udjust urefu na vya kuzunguka. Bei yake ipo namna gani? Natanguliza shukrani.
  18. JamiiForums Tanzania Njia za kupata VISA ya Portugal ni zipi?

    Habari wana-JF. Ningependa kufahamu kwa nchi ambazo hazina balozi hapa nchini (Portugal) ni njia zipi za kufuata kufanya application hasa kwa Visa ambazo inakubidi application ufanyie nchini kwako. Retirement Visa / Portugal D7 Visa.
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata marafiki na kushawishi watu (Tafsiri ya kitabu How to win friends and influence people cha Dale Carnegie)

    Pictuspublishers tumefasiri kitabu How to win friends and influence people. Kila wiki siku ya ijumaa tutasoma sehemu moja. Unaweza kusoma sehemu iliyofasiriwa ndani ya maktabaapp. kuungwa tucheki whatsapp 0715278384. Muandishi: Dale Carnegie, 1936. Mtafsiri: Pictus Publishers ltd Email...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Iundwe tume kufatilia urasimu uliopo Muhimbili unaopelekea wagonjwa hasa wenye magonjwa dume kukosa haki ya kuendelea na matibabu

    Nianze kwa kuhoji; Hivi mmegundua kwanini ktk maeneo ya taasisi za Umma kuna katazo "HURUHUSIWI KUPIGA PICHA". Na mnaweza kujiuliza kuna uhusiano gani, wateule wanapokula kiapo cha uamijifu husema "Sitotoa nje siri za Serikali." Serikali ni sisi wananchi kwa kuwa tumeiweka madarakani. Bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…