kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vishoka wanaweza kunisaidia kupata chombo Cha moto?

    Wakuu Kuna bodaboda nimemaliza mkataba kutoka bank Sasa bank wananisumbua kunipa kadi je vishoka wa tra wanaweza kunisaidia kufyatua kadi mpya ya bodaboda??
  2. JamiiForums Tanzania Tuendelee kupata matamko ya Hayatollah Khomein kuhusiana na vita ya Israel vs Iran. Toka Al Jazeera

    Wakati Makobazi yanasema Israel imepiga upepo. Khayatolla aanza kutoa Milio. Tupate habari toka Al Jazeera. Nuclear Sites zimepigwa na Makamanda kuuawa. Na Nuclear scientists wameuawa pia.
  3. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata office space km hii

    Habari wana JF Moja kwa moja kwenye mada. nimechoka kufanyia kazi nyumbani mimi ni frelancer nahitaji office space ukubwa km huu kwenye hii video maana wateja wangu wengi ni wa online. naomba km kuna mtu anaweza kuniunganisha na dalali au muhusika anaeweza kunisaidi. najua JF humu wadau wapo...
  4. JamiiForums Tanzania UJUMBE WA LEO: Ukitaka Kupata Vitu Haujawahi Kuvipata Inatakiwa Kufanya Vitu Haujawahi Kuvifanya

    Comfort zone is toxic☣️ Comfort zone is a trap🪤
  5. JamiiForums Tanzania Ukitaka uchumi wako ukue kwa kasi hapa Tanzania jifunze kusifu na kuabudu

    Wewe jitoe ufahamu na kuimba sifa utaona kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi wako. Vyombo vyote vya dola vitakushabikia nawe utakula mema ya nchi.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua mashine ya kufulia nguo, ni mambo yapi niyazingatie ?

    Bajeti yangu ni shilingi laki 7,nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo Ni mashine ipi nzuri pamoja na model yake Mashine ambayo hata ikiharibika spea zimejaa na mafundi wengi wanaziweza
  7. JamiiForums Tanzania SWALI KWA DEEP SEEK:Serikali inaweza kupata madhara gani ikifunga Kanisa ikiwa kisheria inakubalika?

    JIBU LA DEEP SEEK:Kufunga Kanisa kisheria kunaweza kuleta madhara kadhaa kwa serikali, hasa ikiwa hatua hiyo inapingwa na sehemu kubwa ya wananchi au inaonekana kukiuka haki za kimsingi za kidini. Kwa kuzingatia mazingira ya kisiasa, kijamii, na kiuchumi, baadhi ya madhara yanayoweza kutokea ni...
  8. JamiiForums Tanzania Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako

    Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako Nafanya hivi, masaa 3 kwa siku ⏳💰 Watu wengi wanadhani lazima waache kazi ili waanze maisha mapya ya kujiajiri online. Mimi nilifikiri hivyo pia. Ukiangalia mitandao, unaona Influencers, wafanyabiashara, watu wa YouTube, wataalam wa...
  9. JamiiForums Tanzania Kupata Mke China: Safari Takatifu Kati ya Mila, Maadili na Umuhimu wa Dhamira

    Katika ustaarabu wa China, ndoa haikuwahi kuwa tu muungano wa wapendanao wawili; bali ni muungano wa koo, uzalishaji wa urithi, na uendelevu wa heshima ya familia. Kila hatua ya harusi ilikuwa ibada; kila zawadi ilikuwa ishara; na kila makubaliano yalijengwa juu ya heshima, sio haraka ya hisia...
  10. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata vitu hivi?

    Milk thistle Turneric Cinnamon Stevia au moringa Gymnema sylvestre Ginseng Gotu kola Tangawizi & mint Peppermint Pineapple Enzymes Rosemary ( majani)
  11. S

    JamiiForums Tanzania Simba wataenda uwanja gani kupata point 3 hiyo tarehe 15?

    Kama YANGA hawatoandaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!! Hii movie ni Kali sana 🙌🏻🙌🏻
  12. JamiiForums Tanzania Kivipi naweza kupata email ya ikulu, serikali, international organisations ili kuwasilisha malalamiko yetu eneo la kazi (whistleblowing)?

    Ninapofanya kazi sio shwari kuna mambo mengi hayapo sawa. Huyu muwekezaji ana nguvu na anajeuri ya kupindisha mambo ya kisheria kuanzia kwa wafanyakazi mpaka mambo ya kimamlaka na ukosefu wa uadilifu. Nataka nifikishe ili jambo kwenye vyombo vya serikalini na watetezi wa haki za wafanyakazi...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa wapi naweza kupata Star Anise

    Habari, Mwenye kujua wapi naweza pata star anise na bei yake ntashukuru sana. Nimeambatanisha na picha na nahitaji liwe jekundu hivo hivo
  14. JamiiForums Tanzania Profesa Mkenda: Mtoto wa waziri kupata mkopo wa elimu ni wizi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema mtoto wa waziri au katibu mkuu wa wizara kupata mkopo unaotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni wizi kwakua kitendo hicho kinawanyima fursa wanaostahili. Prof...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Naamini mda umefika wa kupata msaada wa kifikra kutoka Kenya ili tujielewe sisi ni kina nani?

    Nakumba Mzee jomo kenyata aliwa kusema sisi ni maiti,kilikuwa ni kipindi cha utawala wa Nyerere, Ni kauli katika makuzi yangu nilikuwa siipendi hata kuisikia,baada ya kupata ufahamu akili na uwezo wa kuchambua mambo nikaona kama kuna ka ukweli vile Lakini mwaka huu nimejiridhisha na kujikubali...
  16. JamiiForums Tanzania Kila mtu anajua kupata lakini wangapi wanajua kujitoa?

    "KILA MTU ANATAKA KUPATA, LAKINI WANGAPI WANAJUA KUTOA?" Maudhui ya Post: Ni rahisi sana kusikia mtu anasema: “Natafuta connection... nisaidieni fursa... ntaanza biashara nikipata mtaji... nangoja mtu anielekeze njia...” Lakini ni wachache sana wanaojiuliza: "Mimi mwenyewe natoa nini kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania Usisome Master's kabla ya kupata experience ya kazi . Utakufa na msongo wa mawazo

    .
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Salum Mwalim hakuhamia ACT Wazalendo ambapo angeweza kupata chochote upande wa Zanzibar?

    Nikitafakari hili swali ndiyo napata uhakika kwamba CHAUMMA ni CHAMA CHA UDALALI NA MAPANDIKIZI YA MAMA. Mtu angeweza kupata kanafasi hata ka uwakilishi kule viunga vya Kizimkazi kupitia ACT ila unaona kwa kuwa ni mkataba lazima utekelezwe. Kazi kwenu madalali wa MAMA.
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Je, G55 walitapeli wenzao? Mzee Rungwe ameamua kupata kiinua Mgongo? Movie inaanza kuharibika

    Kwenye video wanaonekana wanachama wawili wa CHAEma wanaosema waliambiwa wanaenda kuhudhuria mkutano wa CHADEMA Dar lakini walipofika wakashangaa kukuta ni mkutano wa CHAUMMA. Wanasema wao si CHAUMMA, bali ni CHADEMA japokuwa walihudhuria mkutano huo?
  20. I

    JamiiForums Tanzania NISAIDIE KUPATA KAZI SONGEA KWENYE MAKAA YA MAWE.

    Ndugu zangu kwema poleni na majukum. mimi operator wa excavator mzoefu naomba msaada wenu kwa yeyote anaeweza kuniunganisha songea kwenye makaa ya mawe japo nipate hata nafasi ya kutest kuonyesha nilicho nacho naimani humu kuna watu wengi wa aina tofauti naomba msaada wenu. shukrani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…