Hello wakuu
Najua bongo mambo yote yanawezekana.
Kuna dili nimeipata mahali,ila sharti natakiwa kuwa na cheti cha ndoa.so nimeumiza kichwa hapa nikaona nije humu niwaulize wazoefu kama kuna anaejua kama naweza kupata cheti cha ndoa nikiwa sijafunga ndoa?zaidi ningepata cheti kilichotolewa bomani...
Sijajua tatizo lao huwa nini. Lakini Yanga inategemea Simba itafute wachezaji halafu yenyewe ianze kuwavizia.
Wema wa Simba unaiimarisha timu ya Yanga!
Title ya Uzi (Mada):
Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania
Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania.
Maswali yangu makuu ni:
Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato?
Ada ya malipo TRA ni kiasi gani kiasi gani kwa...
Title ya Uzi (Mada):
Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania
Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania.
Maswali yangu makuu ni:
Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato?
Ni mitihani gani hupaswa kufanya (nadharia na...
Je Nguruwe wako wamedumaa?
wamekonda?
wamedhohofika?,
vifo vya mara kwa mara?
wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara?
umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe .
Pole sana na karibu Mfugo plus group...
Magaidi wa Houth huko Yemen wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu kutoka majeshi ya Marekani baada ya vituo vyao vya kuhifadhia mafuta kuangamizwa na majeshi ya Marekani usiku wa kuamkia leo. Kipigo cha leo kitasababisha upatikanaji wa mafuta nchin humo kuwa mgumu sana kwa wananchi na utawala...
Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...
Hutaki kazi ngumu na kazi huna....
Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..
Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..
Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu...
Habarini wakuu, natumaini mnaendelea vyema na shughuli za kulijenga taifa.
Kuna jambo moja nimelifatilia Kwa watu mbalimbali japo nimepata majibu mchanganyiko. Kwa hivyo nimeona nililete kwenu pia kama kuna watu mnaofahamu tushauriane. Nitumie mfano: Labda nimesoma Bsc with Education (Biology...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiwa na heshima na kuheshimika ni jambo la kawaida kukutana na kukutanishwa na watu wenye heshima kubwa katika jamii. Ni kawaida kwa mtu anayeheshimika kuona akifanya mazungumzo na majadiliano na watu wenye heshima kubwa .
Ni kawaida kwa chama kinachoheshimika kama CCM...
Acha mihemuko ya kuniambia "tafuta hela wewe"
Acha mihemuko ya kuniambia "sasa unataka uhongwe wewe?
Simaanishi kui-normalize hii ila more and more nazidi kuheshimu wale wana wanaotoa escorts mitandaoni na kwenda physically pale riverside, wanapigana nao mieleka baada ya hapo shughuli na yeye...
Kiapo cha JWTZ ni kulinda mipaka ya nchi na si kulinda chama cha siasa. Ni aibu mvaa kombati ya ulinzi wa nchi kujikomba na kuwa chawa wa mwanasiasa!
Aibu yenu!
https://twitter.com/EggleVuvu/status/1911627918297510122?t=DZmaso4Rq_BLUHV-3rc_vA&s=19
Wakuu habari za usiku?
Aisee jana hali yangu kiuchumi haikua nzuri,nikaona ngoja ninunue mkate nile nilale,mkate nimeula saa 3 usiku,ila hivi sasa ni saa 9 usiku usingizi umekata kabisa nimeamka kukoroga hata uji ninywe maana sio kwa njaa hii ninayoisikia aisee.
Hivi nyie wenzetu hasa wa hapo...
Kusajili biashara ni suala moja, ku finance hio biashara ni suala lingine kabisa.
Swali la muhimu hapa ni namna gani wafanya biashara hu finance biashara zao?
Kwenye Thread hii nimekuorodheshea baadhi ya njia hizo;
1. Hisa
Wafanyabiashara wanaofungus Kampuni LLC huuza hisa za Kampuni husika...
Habari wakuu
Ivi ni kweli kahawa hua inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba .
Hii ni kutokana na experience niliyoiona kwa sehemu ambazo zinazalisha zao la kahawa wanaume wengi ambao wana umri wa miaka zaidi ya 45 kua na tazizo hili. Kwenu wakuu
Magaidi wa Houth wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Marekani. Kipondo hicho kimefanya wapate kiwewe na walipohojiwa huku wakiwa wamebugia miru hi mdomoni walisema
“ Imekuwa kila usiku watu wana kosa Amani maana hatujui leo Marekani itashambulia wapi, maisha kama haya ni lazima...
Wakuu naomba kujua nawezaje kupata kitambulisho Cha nida kwa nimeshapata namba Sasa sijajua utaratibu wa kukipata hiki kitambulisho Cha nida sababu namba nilizojaza kwenye fomuya kuombea nida namba Sasa hivi sizitumii baada ya kupata nida namba yangu Sasa nilikua nauliza nitapataje ujumbe wa...
Nimemsililiza mhe. Lema akitoa mfano wa jinsi viongozi wa Tume ya Uchaguzi wanavyopatikana na waimamizi wanavyoteuliwa. Hakika Kikwete ni muislam. Japo ana mapungufu yake mengine lakini walau ana hofu ya Mungu.
Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu sana naona maji yamezidi Unga
Naja kwenu JF Experts mnisaidie kutafuta ajira hapa na Pale katika field za Logistics and Transport
Napatikana Jijini Mwanza, itapendeza zaidi nikifanikisha hapa maana siwezi kusafiri kwenda Mbali kwa sababu ya mzazi wangu.
Masoko ya hisa nchini Marekani yaneporomoka vibaya na kupata hasara kubwa ya $6trion ndani ya siku mbili tu hivyo kufikisha hasara ya $11 trion kwa masoko ya hisa na kifedha tangu Trump aingie madarakani, hali ilikuwa mbaya zaidi baada ya china kulipiza kisasi kwa kutoza ushuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.